Askofu Gwajima amesema kuhusu suala la utekaji hamuogopi mtu hata kama kanisa litafungw akwa miaka 100. Ameyasema hayo wakati kizungumza na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025. Amemalizia kwa kusema haina maana kuwa CCM ndiyo watekaji.
"Nimeshauri yote haya kwa namna nzuri kanisa likafungwa...
"Askofu Gwajima, haya anayoyafanya kumtukana Mama aliyemsaidia kumuweka pale si sahihi."
"Tundu Lissu sio wakufanya hivi, Mama kamfanyia hisani, Tundu Lissu alikuwa Mkimbizi. Mama kafunga safari akaenda kumjulia hali, Mama kampigania maisha yake Bungeni akarejeshewa akamwambia rudi sio Mkimbizi...
Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akizungumza na Clouds TV, Juni 18, 2025, amesema;
"Chama cha Mapinduzi CCM hakimzuii mtu kuhoji. Mtu yoyote anaweza kuhoji chochote na hakatazwi yoyote. Mfano Luhaga Mpina anaongea ulishawahi kusikia amekatazwa na mtu kuongea? Hata juzi ameunga...
Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo.
Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka.
Pia...
askari
askari polisi
dar
dar es salaam
gwajimajosephatgwajima
kanisa
kanisa gwajima
kanisa gwajima lafungwa
kanisa la askofu gwajima
makanisa ya gwajima
mkali
polisi
ubungo
ufufuo na uzima
ulinzi
ulinzi mkali
Askofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa
"Nafasi ya kujitetea hatujapewa, kwahiyo tuna-confirm wazi kwamba Kanisa letu halijafungwa na kwasabau hiyo kwa kuwa...
Maaskofu na Wachungaji wanaohudumu kupitia Kanisa la Glory Of Christ Tanzania Church(Ufufuo na Uzima) 'kanisa la Gwajima' wakiingia na kukaa katika chumba cha mahakama hapa katika Mahakama Kuu Tanzania Kanda ya Dodoma kwa ajili ya kufuatilia shauri la kanisa wanalohudumu ambalo limezuiwa kutoa...
Mimi nakupenda sana tangia kipindi cha covid 19. Misimamo yako naipenda sana ikiwa unasema ukweli. Siku unahubiri kanisani kuhusu utekaji nilikuwa nakufuatilisa vizuri. Tangia unaingika kanisani nilikufuatilitia vizuri.
Lakini mh Askofu niliingiwa na hofu kuu sana nikajiuliza hiki nini...
Askari waliovalia sare za Polisi bado wameendelea kulizingira Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima ikiwa ni baada ya taarifa ya kufungiwa kwa kanisa hilo.
Ikiwa leo ni Juni 6, 2025 ni siku ya nne mfululizo tokea ilipotolewa taarifa ya kufungiwa, askari wameendelea...
Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima.
ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
Waumini wamejua kuonesha umoja ambao watanzania wengi tunakosa, inabidi tuchukue mfano huu kutoka kwao. Maelfu kwa maelfu tukikemea uonovu wataweza kukamata nchi nzima?
====
Wakili wa utetezi wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, Peter Kibatala amesema waumini...
Watu wanauliza na ku - speculate Askofu Gwajima alipo na anafanya nini...
Wengine kina DC wa Ubungo mhuni Albert Msando wanadhani na kudai labda Mchungaji wetu kajificha eti kwa kuwaogopa polisi..
Anadai kama ana haki na yuko sahihi, basi ajitokeze na kueleza nini kimetokea hadi ikawa vile...
Kanisa hilo mpaka sasa limezungushiwa utepe wa njano wenye maandishi meusi, likiwa chini ya ulinzi wa polisi na hakuna muumini anayeruhusiwa kusogea, tangu alfajiri ya kuamkia Juni 3, 2025.
Juni 2, 2025, Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta kanisa hilo kutokana na...
Kufuatia Press conference ya Askofu May 24, 2025 kuhusu utekaji, utesaji na mauaji, ambapo alidai huenda kipo kikundi kinachotenda mambo haya kwa maslahi ya mwanasiasa fulani, kumekuwa na mijadala mingi kitaifa yenye hisia mchanganyiko, huku chama chake kikimwona kuwa aliyepotoka.
Pamoja na...
Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:
"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika...
KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi..
Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa kuhubiri kinyume na alivyotegemewa.
Kama ni kweli; tujifanye kuuliza? Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwanini kanisa lifungwe? Yaani mdomo utoe...
Watu aminaaaaaaaaaaa
Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na Uzima, Askofu Gwajima ameendelea na mahubiri kwenye kanisa hilo licha ya kusambaa barua ya kufungiwa. Gwajima amesema hakuna wa kufunga kanisa la Mungu duniani.
Gwajima: Nafikiri umeona kwenye mtandao watu wanapitisha karatasi kwamba kanisa...
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, leo Jumatatu Juni 02, 2025, aliitwa na Mwenyekiti wa Bunge kutoa swali kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo.
Askofu Gwajima amesema "Mimi nimetumwa na Mungu kwenye hii Nchi na safari hii ndio mtajua kwamba Mungu amenituma, Mungu huwa anatuama watu kwa kusudi maalumu, na Mungu akiwatumwa watu huwa anawalinda, anawatunza mpaka watimize kusudi. Yule anayenivamia hovyo hovyo hautaweza yeye anilindaye...
Gwajima anasema sasa hivi ameanza kuongelewa nchi nzima, badala ya watu kujibu kama wamechukua ushauri au lah.
Anasema kwa press inayofuata atakuja na list ya wanaonaofanya vitendo hivyo.