joseph mbilinyi

Joseph Mbilinyi (born 1 May 1972), known for his stage names Mr. II, Sugu and 2-proud, is a Tanzanian politician, human rights activist and rapper. He was also elected to the Tanzanian Parliament in 2010 and then 2015 to 2020.Mr. II was stems from Songea in Southern Tanzania, started to rap in 1990, in his youth when he was still in school. His inspirations were Ice Cube, Niggaz With Attitude and above all Tupak Shakur. Mr. II was the first Tanzanian rap artist to have major success with his music. Through his music and language he express and addresses politics, social inequalities and other problems that affected Tanzanians. Most would consider his music as a voice for the voiceless, his brand of rap is soulful, lyrical, rhythmical and from the heart. This is because Mr. II is not afraid to tell it like it is, undertaking sensitive issues of concern to many Tanzanians such as democracy, child prostitution, police brutality and corruption.He became so popular that his music reached audiences even in rural areas where rap had not been heard before. Due to the quality of his music and the message in his music, older people were more acceptance to his music and contributed to making him the first Tanzanian rapper to have a mainstream hit. Also making Mr II the M-Net Best Male Artist Grammy Award Winner for Tanzania in 2001. Mr. II is the African Great Lakes region's most popular Bongo Flava icon, and through this genre he was able to make a difference and create opportunities for the youth.

View More On Wikipedia.org
  1. Sugu: CCM sasa hivi hawatawali nchi, inatawaliwa na Dola. Huenda CCM wamenyang'anywa jukumu la kufanya Siasa

    Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwa kwenye mahojianao na Mwananchi Digital, amesema "CHADEMA siyo chama kikuu cha upinzani, CHADEMA chama kikuu cha Siasa Tanzania kwasababu kingekuwa chama cha upinzani kama kungekuwa na chama tawala lakini CCM sasa hivi hawatawali nchi inatawaliwa na Dola" Ameongeza...
  2. Sugu: Nilikuwa team Mbowe, ila Lissu ni mwanangu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, amesema kwamba ingawa katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho alimuunga mkono Freeman Mbowe, katika maisha yake binafsi alikuwa rafiki zaidi wa Tundu Lissu tangu walipokuwa pamoja bungeni...
  3. SAFI SANA, Trump amejishusha na kukubali kusitisha mashambulizi Iran

    Niaje waungwana Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya. Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na Marekani huku ikiwa imeungana na Israel Pili Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia nchi 10 kwa wakati...
  4. Sugu: Aliyemuweka huyu jamaa karibu yangu ni kama alikuwa analengesha nitekwe

    Anaandika Joseph Mbiliyi (Sugu) Aliyemuweka huyu jamaa karibu yangu ajue Mungu anamuona NB: Ni kama alikuwa ananilengesha nitekwe, MATAKO YAKE.
  5. (Kumbukizi) Sugu: Tunawang'oa watu kucha kwa koleo kwakuwa na misimamo tofauti

    Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu, alipokuwa akizungumzia sakata la kutekwa kwa Dk. Olimboka, alisema kuwa tukio hilo ni mwendelezo wa kile alichokitaja kuwa ni utamaduni wa CCM na serikali wa kuwateka watu, kuwashambulia kwa mapanga, na kuwany’oa kucha kwa koleo...
  6. CHADEMA yafuta uteuzi viongozi kamati za Kanda ya Nyasa

    Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imefuta uteuzi wa wenyeviti na makatibu wa kamati za kudumu za chama hicho, Kanda ya Nyasa. Januari mosi, 2026 Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu alifanya uteuzi wa makatibu na wenyeviti wa...
  7. SI KWELI Lema na Sugu wamepongeza tume ya uchunguzi

    LEMA, SUGU WAMPONGEZA DKT. SAMIA KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA UVUNJIFU WA AMANI Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu wamempongeza Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio...
  8. R

    Anayedhaniwa kuwa Sugu asimamishwa na wasiojulikana leo, haijulikana kama yupo sawa au la

    Clip ya video inayosambaa mtandaoni kwa sasa ikimuonyesha Sugu amesimamishwa na watu wasiojulikana DSM katikati ya mji, na kubishana nao mpk sasa haijajuliakana. Mmoja alishika bunduki.
  9. PostGE2025 Lissu uso kwa uso na Sugu. Amwagiza akamtembelee gerezani, Sugu ajitetea

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam leo Novemba 12, 2025 akiteta jambo na John Heche, Said Kubenea (aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mbunge Mstaafu wa Ubungo kupitia chama hicho). sauti ya Lissu imesikika ikisema...
  10. GE2025 Sugu: Wenje rudisha familia yako Tanzania kutoka Canada, kwasasa huna tishio la kisiasa na sio Mkimbizi

    Haya sasa urudishe familia yako toka Canada, maana sasa huna tishio la Kisiasa tena na sio Mkimbizi. Na yule kaka yako (RIP) ambaye ulisema aliuwawa na CCM kwenye uchafuzi wa 2020 uwaombe sasa WAMFUFUE pia… NB: Matako yako Wenje.
  11. R

    SI KWELI Sugu: CHADEMA imekimbia kupiga kura, inashambulia Upinzani

    Wakuu, Huu ni ujumbe wa Sugu kweli?
  12. POTOSHI Kupitia kikao cha mtandaoni CHADEMA, Joseph Mbilinyi asema wanaikataa No reforms, No election

  13. GE2025 Sugu: Siyo lazima tuuane ndio tukae mezani, tuzungumze kama Taifa, huo ndio uzalendo

    Akizungumza leo Agosti 20, 2025 kwa njia ya Mtandao, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema Taifa halitakiwi kuishi kwenye makovu, bali Wadau wanatakiwa kuzungumza kuokoa Taifa kuingia kwenye machafuko.
  14. W

    GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) afunguka mabadiliko wanayoyahitaji, awapongeza pia Askofu Gwajima na Polepole

    Wakuu tusubiri madini kutokea Kanda ya Nyasa hapo saa 7 https://www.youtube.com/watch?v=uKYw8JinUVc === Sugu anabainisha kuwa hadi hakuna hatua zozote zilizochukuliwa licha ya watu kupotea akiwemo Deus Soka na wenzake. Aidha ameeleza kuwa dola imeendelea kuonesha ubabe kwa kufanya mambo...
  15. SI KWELI PreGE2025 Sugu amelalamikia kutengwa na kamati kuu ya CHADEMA

    kumekuwa na chapisho linalo sambaa kwenye mitandao ya kijamii likionesha ukurasa wa joseph mbilinyi umeweka chapisho la kutokuwa na imani dhidi ya uongozi uliopo madarakani "Nukuu ya chapisho hil o inadai kuwa nimekuwa nikihisi haklli ya kutengwa mara baada ya kuhusishwa kujiunga na chama cha CHAUMA
  16. PreGE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) azima uvumi wa kuhamia CHAUMMA: Hakuna Mbowe wala Lissu, sisi ni Watu wa CHADEMA

    Baada ya Taarifa za Kada wa CHADEMA kuhusishwa na kuhamia CHAUMMA kwasabu ya kuwa mfuasi wa Mbowe, mwenye afunguka. "Sio kweli kwasababu unaniona hapa, sio kweli aliyehama ni mtu wa Mbowe. Mimi naamini mambo hayo yalishakwisha, Uchaguzi ulishakwisha, sasa hivi hakuna mtu wa Mbowe wala hakuna...
  17. PreGE2025 Wadau Wampongeza Joseph Mbilinyi kwa kuandaa Mikutano ya 'No Reform, No Election' yenye hadhi ya Kimataifa

    Ni Wazi kabisa kwamba siasa za kisasa zinahitaji watu wa kisasa, namaanisha wale waliotoa tongotongo machoni mwao, kwa maana ya watu waliotembea na kuona mambo kwenye mataifa mengine kwa kiwango cha Uongozi. Huyu Sugu kabla ya kuongoza kampeni Tukufu ya No Reform No Election, alikuwa ziarani...
  18. PreGE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu): Wanawake walibakwa ili mimi nitangazwe kuwa Mbunge Mbeya mjini

    Wakuu Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mhe Joseph Mbilinyi (Sugu) akizungumza na wananchi amefunguka baadhi ya sababu za CHADEMA kuanzisha kampeni ya "No reforms no Election" akumbushia hali ilivyokuwa mwaka
  19. PreGE2025 Joseph Mbilinyi: Tunapush "No Reforms, No Election' kwani lengo ni kugombea kwenye Uchaguzi

    Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema licha ya kutokuwa sehemu ya uamuzi wa kugawa jimbo hilo, lakini ni miongoni mwa wanaosubiri mchakato huo kukamilika, huku akikanusha taarifa za kuwa hatagombea. Pia, amesisitiza anachosubiri ni uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya...
  20. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akijivua uanachama Chadema, nitampigia kampeni Tulia Ackson achukue ubunge wa Mbeya Mjini

    Nasikia kina Sugu na MBOWE wanataka kuanziaha chama chao ambacho kipo sponsored na CCM na wameahidiwa kwamba chama hicho kipya ndio kitabeba viti vingi vya upinzani. CHADEMA wameshasema No Reform no election, kina Sugu waroho wa madaraka wanadhani wataenda bungeni kirahisi, nawahakikishia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…