john

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Shibuda ajibu madai ya kuwa alinunua chama cha Siasa kama Member wa JF alivyosema

    Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com lililokuwa na kichwa cha Habari ~ John Shibuda alinunua chama cha Siasa cha Oscer Kambona kisha akakiuza Unguja kwa Wapemba, kwenye Siasa lolote linawezekana Mbowe siyo wa kwanza! Shibuda mwenyewe Amejibu kuhusu andiko hilo kwa kuandika haya...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche Anaunguruma Mbivu na Mbichi za No Reform No Election Kujulikana Leo Mei 23, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Qu4cAxaw5JU
  3. U

    JamiiForums Tanzania Never heard John Heche speaks English in public,

    Wadau hamjamboni nyote? Yes never heard him before unlike his superior,
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: John Mrema alijimikishia Chadema Media TV

    Kweli CHADEMA ilikuwa ni shamba la bibi. John Mrema alijimikishia Chadema Media TV
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Devotha Minja: John Heche ameshindwa kuitisha kamati kuu kujadili kesi ya Tundu Lissu

    Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Kuna mkakati wa kutumia msajili wa vyama vya siasa na polisi kuteka ofisi za CHADEMA

    Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana. Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Salum Mwalimu na Wenzake wamefungua kesi dhidi ya CHADEMA wakidai kuwa maslahi ya Zanzibar hayapewi kipao mbele ndani ya CHADEMA

    "Rais Samia kupitia watu wake wa karibu na Afisa mmoja wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wamekwenda kuwa lubuni; 1. Said Issa Mohamed (Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mstaafu) 2. Salum Mwalum (Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mstaafu) wamefungua kesi dhidi ya Chadema kwa kile walichodai kuwa maslahi...
  8. JamiiForums Tanzania John Mrema aliyevuliwa uanachama na tawi, leo kawa miongoni mwa wanachama waliotangaza kujivua uanachama? mmemwelewa ?

    Huyu mdau , siku si nyongi alifutwa uanachama na tawi alilosajiliwa, leo amekuwa miongoni mwa g55 ambao wametangaza kujivua uanachama wa CHADEMA, kwa hiyo John Mrema anataka kutuambia kuwa hakufutwa uanachama bali amejivua yeye mwenyewe? Nb, Niridhani wenye vipara wanakuwaga na hekima...
  9. JamiiForums Tanzania Nimegeuzwa fursa? - nimeuziwa ndege John badala ya kuku?

    Ni kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani. Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema avuliwa uanachama wa CHADEMA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Tawi lake la Bonyokwa mkoani Dar es Salaam, kimemvua rasmi uanachama, John Mrema, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu, dharau kwa mamlaka halali za chama, na kukaidi misingi na maadili ya chama. Kwa mujibu wa barua rasmi...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Hakuna kikao kilichopitisha suala la kuzuia uchaguzi

    Na John Mrema kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X KWA HESHIMA NIMEJIBU ANDIKO LA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA DR. RUGEMELEZA NSHALA, GROUP LA MASWALI MAGUMU Mwanasheria Mkuu wa Chama, salaam. Nimesoma maoni yako ambayo yamejaa uchungu na maumivu ,lawama na kejeli . Umesema kuwa uongozi mpya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika amtaka IGP kuwajibika na kutoa taarifa halisi ya viongozi wa CHADEMA waliokamatwa na kuteswa

    "Tunamtaka mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP, kama haya matendo hayana baraka zake ajitoze yeye mwenyewe atoe taarifa kwa umma, juu ya matukio ya kupigwa kuteswa kuumizwa kwa wanachama na viongozi wa CHADEMA akitaja idadi halisi, akitaja sababu sababu ya hali hizo na kuwajibika kutokana na...
  13. JamiiForums Tanzania Pastor John Hegee wa Marekani atoa yake ya moyoni kuhusu utawala wa Iran

    Kiongozi mkuu wa kiinjilisti: Iran imecheza na viongozi wa Marekani kama kitendawili "Ama Jamhuri ya Kiislamu itasambaratisha mpango wake wa nyuklia kwa hiari, au ulimwengu huru utawasaidia kufanya hivyo," alisema Mchungaji John Hagee. Aprili 28, 2025 akiwa ziarani huko Israel. Serikali ya...
  14. JamiiForums Tanzania John Huss: Kichwa cha Mapinduzi ya Kidini na Vita dhidi ya Kanisa Katoliki

    John Huss: Kichwa cha Mapinduzi ya Kidini na Vita dhidi ya Kanisa Katoliki John Huss alikuwa mchungaji na mwana-theolojia kutoka Bohemia (leo inajulikana kama Jamhuri ya Czech), ambaye alijulikana kwa mafundisho yake ya kidini ambayo yalikuwa yakienda kinyume na mafundisho ya Kanisa Katoliki...
  15. JamiiForums Tanzania Papa John Paul II ndio Papa aliyekuwa na mvuto kwa miaka ya karibuni

    Mwaka 1990 au 91 sikumbuki vizuri,Papa Joh Paul II alitembelea nchini. Nimesahu mwaka maana walipishana mwaka mmoja na ujio wa Nelson Mandela. Zilitungwanyimbo nyingi sana kuhusu ziara yakenamapokezi yakehayakuwa namfano, Ziara ilifanasana kuanzia Dar mpaka Mwanza Kawekamo,mliokuwepo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania John Heche, John Mnyika, Boni Yai, Godbless Lema na wengineo, msikate tamaa, siku hadi siku Watanzania tutazidi kujengeka na UJasiri wa kupinga UONEVU

    Makamanda Msikate tamaa, tuwaunge mkono kwa TONE TONE waweze kuwa na nyenzo angalau ya pesa kufanya haya ya haki wanayoyafanya! Mushkov nimenakili sentensi yako please Erythrocyte
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Pambalu, Twaha Mwaipaya, Lucas Ngoto na wanachama kadhaa wa CHADEMA wapigwa na Polisi na kutupwa Bagamoyo

    1. John Pambalu, Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi. 2. Twaha Mwaipaya. 3. Lucas Ngoto mwenyekiti wa Chama kanda ya Serengeti. 4. Na wanachama wengine Wamepigwa na kuumizwa sana na kutupwa Bagamoyo.
  18. JamiiForums Tanzania John Heche afika Ubalozi wa Vatican kutoa pole kufuatia kifo cha Papa Francisko

    Makamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko. Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: CHADEMA imeua ndoto za waliotaka kugombea, mpaka 2030 sina uhakika kama tutakuwepo

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, John Mrema amesema kuwa CHADEMA imeua ndoto za wanachama wengi waliotaka kugombea kwenye Uchaguzi ba kuongeza kuwa hana uhakika kuwa kama chama hicho kitakuwepo hadi kufikia mwaka 2030 "Jambo la pili ni chama chetu kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi na...
  20. JamiiForums Tanzania Kumlaumu John Noble ni siasa za Simba na Yanga tu

    Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha Yanga kwenye mbio zake za ushindi. John Noble alifungwa na timu bora kama vile wanavyofungwa magolikipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…