john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Tunataka kujenga taifa la watu wanaojitolea ili wawe na nguvu ya kuhoji

    Heche amesema lengo la kampeni ya Tone Tone ni kujenga jamii itakayokuwa na uwezo wa kuhoji na kusimamia vitu kwa sababu na wao wanakuwa na mchango katika kujenga chama "Tunataka kujenga jamii ya watu ambayo amabo wanajitolea, wanaifuatilia, wanaisimamia serikali, wanasimamia vyama vya saisa" -...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza kupitia East Africa Radio leo Feb 27, amesema; "Katika mazingira yaliyopo hatutashiriki na uchaguzi hautafanyika, tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki" Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Mtu mwenye degree 2 aliambiwa hajui kusoma na kuandika, akapitishwa mgombea wa CCM wa elimu ya darasa la 7

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kwamba mwaka 2019 wagombea wao wengi walikatwa akiwemo mgombea wao mwenye degree 2 aliyeambiwa hajui kusoma na kuandika lakini mgombea wa CCM, mwenye elimu ya darasa la 7 akapitishwa.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Walimu walipwe vizuri, wasipewe vitenge vya 'Mama' bure, haya ni matusi kwa Walimu kuvaa mabango

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu "Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji" Kupata taarifa na...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

    Wakuu, Kumbe Heche na Lissu walikuwa na mpango wa kando kuendeleza kampeni yao ya No Reforms No Election ukiachana na kuwaambia watu walale barabarani Erythrocyte nimeanza kukuelewa sasa =================================================== Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: CCM haitaki uchaguzi, Makalla akisema 'hatujajiandaa' aulizwe kwa nini wanaengua wagombea

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara John Wegesa Heche John Heche amesema chama hicho kimejiandaa kushiriki uchaguzi mwaka huu hivyo kikisema 'no reform no election' isitafsiriwe kama hawakujiandaa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche amtembelea muasisi wa Chadema, Mzee Ewdin Mtei

    Muasisi wa Chadema mh Mtei ameupongeza Uongozi mpya wa Chadema Chini ya Tundu Lisu na John Heche Mtei amesema hayo Wakati wa mazungumzo yake na makamu Mwenyekiti wa Chadema mh John Heche na Viongozi Wengine Mzee Mtei amesisitiza hii ndio Chadema iliyo moyoni mwake na ana Imani kubwa na Tundu...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Tumejihakikishia kwa chaguzi tatu kwamba CCM haitaki uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kutoa uchaguzi ulio huru na wa haki kwa kila chama badala yake imejimilikisha uchaguzi huo na kuona wengine hawafai kuongoza. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wajipanga kuanika madudu ya SGR, wanusa harufu ya wizi na ufisadi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Bara John Heche amesema chama hicho kina kila hoja za kushindana na chama cha mapinduzi na watazitumia pindi wakianza kufanya ziara na kuzungumza na wananchi. Heche amesema hayo leo akiwa jijini Arusha na kueleza kuwa miongoni mwa hoja...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Viongozi waliokatiwa mrija ndio wanaoleta chokochoko CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche amewataka wanachama wa chama hicho kutokuingia kwenye kile alichokiita mtego wa kukipasua chama. Soma: John Mnyika adai kuna hujuma za kuyumbisha harakati za 'No Reforms No Election' kufuatia pingamizi la uteuzi...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Vyombo vya habari vinafanya upendeleo. Wakifanya coverage ya upinzani wanafanya negative stories

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiongea hivi karibuni amesema kuwa vyombo vya habari nchini Tanzania vinaipendelea CCM na kwamba vyombo vingi vinaripoti vibaya CHADEMA Akitolea mfano, Heche alisema kuwa: "Vyombo vya habari angalia coverage wanayofanya, wanafanya coverage ya...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwita Waitara: John Heche ni mwanafunzi wangu kisiasa, hawezi nitisha uchaguzi Tarime

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema haoni sababu ya kumhofia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche iwapo atagombea nafasi ya Ubunge Jimboni humo kwasababu ana historia ya kumshinda kwenye chaguzi tangu wakiwa wote ndani ya chama...
  13. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

    Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania No Reforms, No Election 2025: Balaa la John Heche Sirari - Tarime. Maelfu wampokea. Amfyatua polisi anayeonea na kunyanyasa watu

    https://youtu.be/NRRV25wKN9U?si=Z82mG6EFcURTQFPr ➡Hii combination ya Tundu Lissu na John Heche sio mchezo. Ni wote wanajua kujenga hoja ➡Maelfu ya umati huu Sirari - Tarime leo wakimsikiliza huyu mwamba. ➡Ni ukweli usiopingika kuwa, IF THERE WILL BE NO REFORMS, THEN THERE WILL BE NO ELECTION...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msanii aimba 'CHADEMA unaishindaje', wimbo wa Harmonize kwenye mapokezi ya John Heche

    Msanii aimba remix ya wimbo wa Harmonize kwa kweka mistari ya "CHADEMA unaishindaje, kwenye mapokezi ya John Heche nyumbani kwao Tarime
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania John Heche anapokelewa nyumbani kwao Tarime muda huu

    Tazama live mapokezi ya John Heche, Makamu Mwenyekiti Chadema nyumbani Tarime Endelea kukaa karibu na uzi huu ili upate updates ya kinachojiri https://www.youtube.com/live/7OJyurWyWTM?si=7W8P31TYXlSoapMT
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Wabunge wamegeuka machawa wa Rais. Wanalipwa Milioni 18 kwa mwezi, kwa siku Laki 6 ambazo ni Kodi zenu!

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Watanzania wanahitaji mfumo wa uchaguzi utakaoamua viongozi wao halali ambao watawajibika kwao huku akikemea vikali wabunge aliodai kuwa wamekuwa 'machawa' kwa kujipendekeza kwa Rais wa Tanzania Dkt...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Tupo tayari kufa kulinda msimamo wa CHADEMA na maslahi ya Wananchi, Rais wa Tanzania amegeuka kuwa Mungu

    John Heche akitoa salamu za Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, akiwa Tarime amesema yeye pamoja na Lissu wapo tayari kufa kwa ajili ya kulinda msimamo wa Chama chao ilikutetea maslai ya Wananchi wa hali ya chini. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA anatema cheche muda huu mjini Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche leo Jumatano Februari 12, 2025, anazungumza na wananchi wa Tarime Fuatilia hapa kinachoendelea kutoka mjini Tarime https://www.youtube.com/live/3vCV_A7LVeI John Heche anasema "Hapa ndio Tarime, leo nimesimama...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!

    Wakuu, Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!
Back
Top Bottom