joel nanauka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Joel Nanauka: Miradi ya Elimu na Afya Ni Msingi wa Kujenga Kizazi cha Taifa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka amesema miradi ya elimu na afya inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita siyo tu uwekezaji wa leo, bali ni msingi wa kujenga kizazi chenye elimu bora, afya njema na uwezo wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa nguvu ya soda? Waziri wa vijana kapotelea wapi?

    Ndugu zangu, baada ya kadhia ya Oktoba 29, ilianzisha wizara itayodili na masuala ya vijana tu. Sote tuliona waziri mwenye dhamana kuzunguka baadhi ya mikoa na kukutana na makundi mbalimbali ya vijana ili kusikiliza kero zao. Nini kimemkuta waziri wetu sisi vijana? Mbona hatumuoni tena?
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Vijana yaomba Tsh. Bilioni 35.9 kuimarisha Maendeleo ya Vijana 2026/27

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Nanauka leo Aprili 20, 2026 atawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma. Aidha, kabla ya bajeti hiyo kuwasilishwa, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, itawasilisha...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri Joel Nanauka vitabu vyako na kuongea kwako sasa hivi ungemzidi Modewiji kwa utajiri ila sivyo ndivyo

    Mimi navyo fahamu,watu ambao wameshafika kuandika vitabu wanauwezo wa maarifa kuyatumia. Ila hapa tanzania ni tofauti asilimia kubwa mfano Yeriko nyerere hata ujasusi wenyewe hawezi. Sasa huyu bwana Joel ni maneno mengi unaweza kusema jamaa anaweza maisha yake binafsi kumbe sio bora hata...
  5. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Joel Nanauka ndo champion wa mchezo wa jana, huyu ndo kiongozi GEN Z tuliyekuwa tunamtaka

    Sisi Gen Z tunamuunga mkono Joel Nanauka . Asante.
  6. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ujumbe kwa Waziri wa Vijana, Joel Nanauka

    Mh Joel Nanauka , Hongera unafanya Kazi nzuri Sana . kumekuwepo na mipango mingi Sana , Ila pamoja na yote lipo kundi la Vijana Ambao wameishia darasa la saba na Form four failure . kundi hili ndo kundi hatari zaidi, kwanza limeshakata tamaa ya Maisha na linajiendea tu lipo katika Autopilot...
  7. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Vijana msihadaike na Mawaziri feki kama Joel Nanauka

    Nimeshuhudia jinsi vijana wanavyotolewa kwenye reli na MAWAZIRI feki na viongozi feki kama vile Joel Nanauka ( aliyepewa uwaziri wa vijana). With due respect Kwenye uwezo wake na Elimu yake na hata kuwa mwamini mwenzangu wa Kiroho Kwenye kanisa moja ila siungi mkono uwaziri wake na Serikali...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri wa vijana Joel Nanauka ashindwa kuwapanga vijana, wampa za uso acheni tu kumsifia rais 'Mshaurini'

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka ameanza ziara yake ya kwanza kwa kusikiliza kero na changamoto za Vijana Wafanyabiashara ndogondogo (Wamachinga), bodaboda na bajaji katika maeneo ya Tunduma, Mpemba na Mbozi Mkoani Songwe ambapo amewahakikishia Vijana hao kuwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Joel Nanauka - Vijana hatutaki uwe Motivation Speaker

    Wanabodi, Kwanza nimpongeze huyu Kijana mwenzetu kwa kuteuliwa Waziri mara tu baada ya kupata Ubunge. Ushauri wangu hatutaki ukawe Motivation Speaker tunataka matokeo ya fursa za Ajira na akili iliyochangamka katika kuhakikisha Kila kijana wa Taifa anakuwa na Ajira yenye kipato cha kueleweka...
  10. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM inatamba na vigogo wa CHADEMA. Joel Nanauka, kijana mzalendo kutoka CHADEMA na badae kuibukia CCM na leo ni waziri

    JOEL NANAUKA ALIONA ISIWE TABU Waziri wa vijana, Mhe. Joel Nanauka aliwahi kugombea ubunge wa Jimbo la mtwara Mjini mwaka 2015 kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo [Chadema] lakini aligonga mwamba akaona isiwe tabu mwaka huu 2025 ameshinda kupitia chama cha Mapinduzi [CCM]. Na hii ikupe...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Did anyone here ever get inspired by the now "Youth Minister" Joel Nanauka?

    Wakuu, Has Joel Nanauka ever inspired anyone here? Because this is the same man who spent years preaching about self employment, telling young people to stop waiting for the government and create their own path And now look at him proudly walking into a government office as the so called...
  12. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Joel Nanauka ateuliwa kuwa Waziri wa Vijana

    Wizara ya vijana itakua chini ya ofisi ya Rais hivyo Nanauka hatokuwa na msaidizi
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Joel Nanauka anaenda kuibomoa heshima na hadhi aliyoijenga kwa muda mrefu

    Asipojitafakari atageuka kuwa kama akina Msukuma, Kibajaji na wasomi wengine wa CCM.
  14. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Joel Nanauka na Robert Heriel Mtibeli wamebarikiwa akili zenye maono

    Nimekuwa nikimfatilia ndugu Robert Heriel Mtibeli pamoja na Ndugu Joel Nanauka . Wote hawa huwa nasoma makala zao Facebook na katika WhatsApp Channel zao. Niseme hawa jamaa wamebarikiwa Sana . Natagemea kumuona Joel Nanauka pamoja na Robert Heriel wakilitumikia Taifa .
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Joel Nanauka aibuka kidedea kura za maoni CCM, Jimbo la Mtwara Mjini

    Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka ameibuka mshindi katika kura za maoni CCM jimbo la Mtwara Mjini Soma Pia: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM
  16. Liutenant

    JamiiForums Tanzania Nitasimama na Joel Nanauka kama atachukua fomu ya ubunge wa Mtwara mjini

    Huyu kijana nimemuona anayo maono makubwa na ataweza kusaidia ukuaji wa uchumi wa jimbo hili. Kama safari hii atagombea kwa chama chochote nitampatia sapoti yangu ya hali na mali Shehe THE BIG SHOW kipindi hiki msikosee
  17. joseph_mbeya

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Core Genius by Joel Nanauka

    Core Genius ni kitabu kinachotufundisha jinsi ya kugundua na kutumia kipaji chetu cha kipekee ili kufanikisha maisha yetu binafsi na ya kitaaluma. Joel Nanauka anafafanua kuwa kila mtu anayo “Core Genius,” yaani uwezo wa kipekee ulio ndani yetu ambao, tukiuendeleza, unaweza kutufikisha kwenye...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nanauka Foundation yakabidhi kadi za bima ya afya kwa wazee 204, Mtwara

    Taasisi ya Joel Nanauka Foundation, chini ya Muasisi wake Dkt. Joel Arthur Nanauka, imeendesha zoezi la ugawaji wa kadi za Bima ya Afya kwa Wazee 204 katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani. Zoezi hilo limefanyika katika Kata ya Chuno, Mtaa wa Ligula B, likihudhuriwa na Wazee kutoka...
  19. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Joel Nanauka atunukiwa Doctorate

    Nguli katika Ujasiriamali na ushauri wa Maisha duniani. Ametunukiwa Doctorate kutoka Chuo Kikuu (jina Kapuni) kwa kazi alizofanya nchini na duniani. Asanteni. **New Dr in town
  20. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM

    I. Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara). II. Hii ni kutokana na CV ya Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi, kuzingatia uwakilishi wa viongozi wakuu wa Chama na...
Back
Top Bottom