Wanabodi,
Kwanza nimpongeze huyu Kijana mwenzetu kwa kuteuliwa Waziri mara tu baada ya kupata Ubunge.
Ushauri wangu hatutaki ukawe Motivation Speaker tunataka matokeo ya fursa za Ajira na akili iliyochangamka katika kuhakikisha Kila kijana wa Taifa anakuwa na Ajira yenye kipato cha kueleweka maana Maafisa Wasafirishaji hii si Ajira rasmi tunataka Ajira rasmi ziwe za kumwaga mtaani.
Wewe ni TO hivyo Rais anakutegemea utatuvusha salama hakikisha wizarani kwako Kuna kuwa na watendaji wenye akili nyingi kuliko kuwa na vijana wa kisiasa wa UVCCM ambao wengi wao ni machawa kama kina Mwijaku.
Hatutaki Ajira za machawa.
Nawasilisha