Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,648
- 5,070
Akili itamkaa sawa tu mshamba wenu huyo asiyejijua.
Karibu siasani ndugu, kwishnei!! Kimsingi nyie ndo mmehenyeshwa, ila hamjijuo sababu ni manyumbu 🤣🤣🤣Kawahenyesha leo, siyo kwa mitutu ile 😂
Order to disorder 📍📍📌Changamoto ni mfumo, mfumo unaoruhusu uwepo unataka kila kinachoundwa/umbwa kiwe katika mfumo wa order to disorder. Kuzaliwa, kukomaa, kufa, ni vile tu mipango yetu wanadamu kuna wakati huwa hatuzingatii hizi kanuni ila mifumo iliyotuumba haijali, disorder itafika tu.
All is fair in love and war"Imethibitika haukumpa ujauzito huyu Binti, lakini tumekukuta na hatia ya kumnunulia ndimu aliposikia kichefuchefu"
Sawa, Kuna point hapaChangamoto ni mfumo, mfumo unaoruhusu uwepo unataka kila kinachoundwa/umbwa kiwe katika mfumo wa order to disorder. Kuzaliwa, kukomaa, kufa, ni vile tu mipango yetu wanadamu kuna wakati huwa hatuzingatii hizi kanuni ila mifumo iliyotuumba haijali, disorder itafika tu.
Baada kuwashinda kwa risasi zaidi ya 40 na kuwashinda tena kwenye Uhaini hamtamuweza tena, Hii kesi yake ndio mwanzo mpya wa nchi hii, shika hii sentensiAkili itamkaa sawa tu mshamba wenu huyo asiyejijua.
Sawaaaaa, endelea kuotaBaada kuwashinda kwa risasi zaidi ya 40 na kuwashinda tena kwenye Uhaini hamtamuweza tena, Hii kesi yake ndio mwanzo mpya wa nchi hii, shika hii sentensi