jmt

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
  1. Yajue mambo 22 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Je, Muungano umekuwa na tija gani kwa pande zote mbili?

    kumekuwa na sintofahamu nyingi katika masuala yanayohusu Muungano baina ya Zanzibari na Tanganyika huku tatizo kubwa likiwa ni Elimu kwani asilimia kubwa ya wananchi hatujui masuala yahusuyo Mungano baina ya nchi izi mbili suala linalopeleka Muungano baina ya nchi izi mbili kuonekana kuwa ni...
  2. Huenda Dkt. Mwigulu Nchemba akawa waziri mkuu kwa awamu tatu mfululizo kabla hajawa Rais wa JMT 2040-2050

    Hili liko wazi na kila mTanzania na mdau wa JF anashuhudia. Dr. Mwigulu kwa sasa ni waziri mkuu katika ngwe ya pili na ya mwisho ya uongozi madhubuti sana wa Dr. Samia Suluhu Hassan. Na pasinashaka yoyote, Dr. Mwigulu Nchemba, atakuwa waziri mkuu katika vipindi viwili katika ngwe za uongozi wa...
  3. TCRA wanakiuka ibara 18 ya katiba ya JMT . Mpaka sasa hawajaifungulia JamiiForums kitendo ambacho ni kinyume na sheria za nchi hii

    Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari. Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima Watanzania kilisha keo saa sita usiku. Lakini mpaka sasa hivi Jamii forum haijafunguliwa Jambo ambalo...
  4. Mdau ukipewa nafasi ya kuwa rais wa JMT kwa masaa 24 ungetamani kufanya nini?

    Watangazaji waandamazi wa Clouds Redio wakijibu swali linalouliza Je, ukipata nafasi ya kuwa rais kwa saa 24 ungetamani kufanya nini au ungebadilisha kitu gani? binafsi nimependa REFORMS na katiba mpya.
  5. Election Predictions: Unaweza usiamini, Kura za ACT Wazalendo kwa Urais wa JMT, ni kwa Samia, Mgombea wa Urais wa CCM!.

    Wanabodi Mimi ni Mzee wa trends and analysis, trends and analysis ya kwanza ya uchaguzi huu ni hii Thread 'Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!' PreGE2025 - Mwana JF, Be The First to...
  6. GE2025 Imfikie Rais ayafanye ili kuondoa kinachoendelea kwa wananchi

    Mheshimiwa rais, Nakusalimu kwa unyenyekevu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mheshimiwa rais, nafupisha sana nisikupotezee muda wako adhimu. Mheshimiwa rais, yafuatayo ni mambo niliyoyatafiti na hivyo nimeona vema kukushirikisha kwa njia hii: 1. Nchi haijakushinda kama baadhi ya...
  7. GE2025 Wazanzibar wawili wajibakisha kuwania urais wa JMT

    Naandika Kwa uchungu sana, Mtanganyika mwenzetu TUNDU LISU anasoteswa mahakamani bila kosa lolote, Ili asigombee urais chura kiziwi apite, akajitokeza mh. Mpina Mtanganyika mwenzetu naye kawekewa Pingamizi la kihuni Ili kizimkazi aendelee kutapanya mali za Tanganyika Kwa waarabu. Watanzania...
  8. Rais Wa JMT hajui kama wananchi wanasafirishwa kama ng'ombe. mfikishieni Taarifa

    Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi) Mh. Rais SSH hana hizi taarifa Huu usafiri sio salama
  9. Inawezekana siku moja Rostam Aziz akagombea urais wa JMT?

    Rostam anazo sifa zote za kikatiba kugombea urais wa nchi, zaidi sana amekuwa ni mtu aliye mstari wa mbele kabisa kwa wazi katika kujishughulisha na siasa za juu kabisa za nchi hii. Inawezekana siku moja tukamuona akitaka kuingia magogoni ofisi namba moja kabisa kufanisha ndoto zake za Tanzania...
  10. Kumbe 2015 Warioba angelikuwa rais wa JMT na 2025 angalimwachia Polepole. JK atamtupa Burundi na SHS akamtupa dogo Cuba. Siri kaitoa mwenyewe dogo

    Jana Humphrey Polepole ameweka wazi kile anachokililia ambapo hapo mwanzo hakikueleweka na wengi tukadhani labda akili zimemfyatuka. Polepole ametoa siri ya mpango wa mtandao wao wa kuchukua kiti cha urais wa mwaka 2015 na 2025. Mtandao huo unahusisha vigogo kadhaa kwenye serikali ya JMT na...
  11. Pongezi CCM Kubadili Katiba Kuwatendea Haki Wana CCM, Nini Kilishindikana Kubadili Katiba ya JMT Kuwatendea Haki Watanzania?. Je Huu ni Uzalendo?

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo Leo naomba nianze makala yangu kwa mafunzo ya dini yangu, yanayosema mchungaji mwema, mwenye kondoo 100, kondoo mmoja akapotea, atawaacha wale kondoo 99, kwenda kumtafuta yule kondoo mmoja aliyepotea, na itakuwa furaha...
  12. Z

    Baada ya kusikiliza mahojiano ya Mr Nyanda na Balozi Polepole, Nimegundua Hoja yake ilipo. Katiba ya JMt inasigana na utaratibu wa vyama vya siasa

    https://www.youtube.com/live/SLd-cTx-idU?si=mNjNJacGsstDpqwD Leo ndo nimemwelewa pole pole anachokimaanisha!! Yani katibu ya JMT iliposema kuwa ikiwa makamu wa rais atachukuwa madaraka baada ya rais kufariki ,kwa utaratibu wa chama imara kama CCM ,ilitakiwa kuwepo utaratibu wa kutia Nia Yani...
  13. Haya yote yamesababishwa na CCM kugeuza ubunge kama biashara na sio sehemu ya kuisimamia serikali kama Katiba ya JMT inavyoelekeza.

    Kila mwana CCM anawaza kwenda kuvuna pesa tu wala sio kutumikia wananchi. Hii ndio sababu ya watu elfu nne kwenda kuwania 300 hii ni dhahiri kuwa sasa ubunge ni biashara inayolipa iliyozalishwa na CCM 👇
  14. My Diary EST June 11, 2025 : "Mambo ambayo nitafanya nikiwa Raisi wa JMT

    Mambo vipi wana jamvi? Huu ni mtazamo binafsi tu juu na namna ambayo mimi mzalendo namba moja ingekuwa kama ningepata wasaa huo wa kuitengeneza na kuiongoza (serikali).Nitasema kwa kifupi sana na nitafafanua mawazo yangu kadri tunavyosonga mbele, ruksa kutoa mawazo kinzani, si kwa matusi bali...
  15. Hivi Tundu Lissu, Heche na Mnyika watakuwa kwenye hali gani ikitokea ghafla Freeman kajiunga na CHAUMA akiwa mgombea urais wa JMT?

    Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni? Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
  16. Bunge la JMT lina hata alau Wabunge 5?

    Bila kujali kama waliingia kwa mlango wa mbele au waliingizwa kupitia mlango wa nyuma, bunge lina Wabunge alau hata 5? Nimejaribu kuwahesabu bila mafanikio. Nimepata kama watatu tu: 1. Jumanne Kishimba! 2. Josephath Gwajima! 3. Luhaga Mpina! Hao tu ndiyo Wabunge waliopo kwa sasa bungeni?
  17. PreGE2025 Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gezeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, leo nikijikita kwenye umuhimu wa mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, kuna Watanzania wengi wamelisikia hili neno minimum reforms, baada ya Chadema kulivalia njuga na kutoa kauli...
  18. Kwanini Visiwani ambayo ni 1/383 ya JMT ina haki sawa na Bara?

    Tanzania Visiwani au Zanzibar ina ukubwa wa 2,462 km za maraba ikilinganishwa na Bara yenye ukubwa wa kilometa za mraba 944,841 ni sawa na 1/383. Je ni haki kwa sehemu hizi kuwa na haki sawa? Je nani anamnyonya au kumtumia nani? Je nini kifanyike kutenda haki kulingana na ukubwa na mchango wa...
  19. PreGE2025 Wabunge wa asanteni kuthibitisha kuwa Oktoba 2025 kama Uchaguzi Upo; Samia NDIO, Wabunge wa CCM Wote NO

    Hamfai na hamna sifa ya kurudi. Hilo mnalithibitisha wenyewe ndani ya bunge. Kila anayezungumza anasifia kila jambo kuwa Rais Samia kafanya yeye sasa nyie mmefanya nini kutumiza wajibu wenu? Msije mkasema wajibu wenu ni kupiga makofi kwa kila kiletwacho na serikali. Yale ya wajibu wenu...
  20. Mwanasheria wa LHRC asema Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Mhe. Kailima amekiuka Katiba ya JMT

    https://youtu.be/cfHzDQSD8vs?si=8UR5XPRjzS4yzanv Mwanasheria msomi na Wakili wa LHRC amempinga Mkurugenzi wa Tume isio Huru ya Uchaguzi Tanzania Bwana Ramadhani Kailima kuwa ati CHADEMA wameondolewa kwene Uchaguzi wa 2025 kwa kukataa kusaini Kanuni za maadili ya Uchaguzi. Wakili msomi Maduhu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…