kumekuwa na sintofahamu nyingi katika masuala yanayohusu Muungano baina ya Zanzibari na Tanganyika huku tatizo kubwa likiwa ni Elimu kwani asilimia kubwa ya wananchi hatujui masuala yahusuyo Mungano baina ya nchi izi mbili suala linalopeleka Muungano baina ya nchi izi mbili kuonekana kuwa ni...
Hili liko wazi na kila mTanzania na mdau wa JF anashuhudia.
Dr. Mwigulu kwa sasa ni waziri mkuu katika ngwe ya pili na ya mwisho ya uongozi madhubuti sana wa Dr. Samia Suluhu Hassan. Na pasinashaka yoyote, Dr. Mwigulu Nchemba, atakuwa waziri mkuu katika vipindi viwili katika ngwe za uongozi wa...
Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari.
Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima Watanzania kilisha keo saa sita usiku.
Lakini mpaka sasa hivi Jamii forum haijafunguliwa Jambo ambalo...
Watangazaji waandamazi wa Clouds Redio wakijibu swali linalouliza Je, ukipata nafasi ya kuwa rais kwa saa 24 ungetamani kufanya nini au ungebadilisha kitu gani? binafsi nimependa REFORMS na katiba mpya.
Wanabodi
Mimi ni Mzee wa trends and analysis, trends and analysis ya kwanza ya uchaguzi huu ni hii Thread 'Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!' PreGE2025 - Mwana JF, Be The First to...
Mheshimiwa rais,
Nakusalimu kwa unyenyekevu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Mheshimiwa rais, nafupisha sana nisikupotezee muda wako adhimu.
Mheshimiwa rais, yafuatayo ni mambo niliyoyatafiti na hivyo nimeona vema kukushirikisha kwa njia hii:
1. Nchi haijakushinda kama baadhi ya...
Naandika Kwa uchungu sana, Mtanganyika mwenzetu TUNDU LISU anasoteswa mahakamani bila kosa lolote, Ili asigombee urais chura kiziwi apite, akajitokeza mh. Mpina Mtanganyika mwenzetu naye kawekewa Pingamizi la kihuni Ili kizimkazi aendelee kutapanya mali za Tanganyika Kwa waarabu.
Watanzania...
Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi)
Mh. Rais SSH hana hizi taarifa
Huu usafiri sio salama
Rostam anazo sifa zote za kikatiba kugombea urais wa nchi, zaidi sana amekuwa ni mtu aliye mstari wa mbele kabisa kwa wazi katika kujishughulisha na siasa za juu kabisa za nchi hii.
Inawezekana siku moja tukamuona akitaka kuingia magogoni ofisi namba moja kabisa kufanisha ndoto zake za Tanzania...
Jana Humphrey Polepole ameweka wazi kile anachokililia ambapo hapo mwanzo hakikueleweka na wengi tukadhani labda akili zimemfyatuka.
Polepole ametoa siri ya mpango wa mtandao wao wa kuchukua kiti cha urais wa mwaka 2015 na 2025. Mtandao huo unahusisha vigogo kadhaa kwenye serikali ya JMT na...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo
Leo naomba nianze makala yangu kwa mafunzo ya dini yangu, yanayosema mchungaji mwema, mwenye kondoo 100, kondoo mmoja akapotea, atawaacha wale kondoo 99, kwenda kumtafuta yule kondoo mmoja aliyepotea, na itakuwa furaha...
https://www.youtube.com/live/SLd-cTx-idU?si=mNjNJacGsstDpqwD
Leo ndo nimemwelewa pole pole anachokimaanisha!!
Yani katibu ya JMT iliposema kuwa ikiwa makamu wa rais atachukuwa madaraka baada ya rais kufariki ,kwa utaratibu wa chama imara kama CCM ,ilitakiwa kuwepo utaratibu wa kutia Nia Yani...
Kila mwana CCM anawaza kwenda kuvuna pesa tu wala sio kutumikia wananchi.
Hii ndio sababu ya watu elfu nne kwenda kuwania 300 hii ni dhahiri kuwa sasa ubunge ni biashara inayolipa iliyozalishwa na CCM
👇
Mambo vipi wana jamvi?
Huu ni mtazamo binafsi tu juu na namna ambayo mimi mzalendo namba moja ingekuwa kama ningepata wasaa huo wa kuitengeneza na kuiongoza (serikali).Nitasema kwa kifupi sana na nitafafanua mawazo yangu kadri tunavyosonga mbele, ruksa kutoa mawazo kinzani, si kwa matusi bali...
Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni?
Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
Bila kujali kama waliingia kwa mlango wa mbele au waliingizwa kupitia mlango wa nyuma, bunge lina Wabunge alau hata 5?
Nimejaribu kuwahesabu bila mafanikio. Nimepata kama watatu tu:
1. Jumanne Kishimba!
2. Josephath Gwajima!
3. Luhaga Mpina!
Hao tu ndiyo Wabunge waliopo kwa sasa bungeni?
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gezeti la Mwananchi.
Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, leo nikijikita kwenye umuhimu wa mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, kuna Watanzania wengi wamelisikia hili neno minimum reforms, baada ya Chadema kulivalia njuga na kutoa kauli...
Tanzania Visiwani au Zanzibar ina ukubwa wa 2,462 km za maraba ikilinganishwa na Bara yenye ukubwa wa kilometa za mraba 944,841 ni sawa na 1/383.
Je ni haki kwa sehemu hizi kuwa na haki sawa? Je nani anamnyonya au kumtumia nani? Je nini kifanyike kutenda haki kulingana na ukubwa na mchango wa...
Hamfai na hamna sifa ya kurudi. Hilo mnalithibitisha wenyewe ndani ya bunge.
Kila anayezungumza anasifia kila jambo kuwa Rais Samia kafanya yeye sasa nyie mmefanya nini kutumiza wajibu wenu? Msije mkasema wajibu wenu ni kupiga makofi kwa kila kiletwacho na serikali.
Yale ya wajibu wenu...
https://youtu.be/cfHzDQSD8vs?si=8UR5XPRjzS4yzanv
Mwanasheria msomi na Wakili wa LHRC amempinga Mkurugenzi wa Tume isio Huru ya Uchaguzi Tanzania Bwana Ramadhani Kailima kuwa ati CHADEMA wameondolewa kwene Uchaguzi wa 2025 kwa kukataa kusaini Kanuni za maadili ya Uchaguzi.
Wakili msomi Maduhu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.