jkci

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) – Hospitali ya Dar Group yaboresha huduma za matibabu ya moyo

    Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Dkt.Tulizo Shemu akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mashine mbili za kisasa za kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiogram – ECHO) zilizofungwa...
  2. Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama alazwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

    Mkurugenzi wa Msama Promotions na muandaaji wa Matamasha ya Injili nchini ambaye ni mdau mkubwa wa maendeleo ya sanaa Alex Msama amelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) akisumbuliwa na maradhi. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Mkurugenzi huyo amesema siku chache baada ya kumalizika...
  3. Waziri Ummy Mwalimu, unafahamu uhuni na danadana za kituo cha JKCI?

    Wananchi wanateseka sana wanagungushwa sana hope wanataka rushwa, ndio kama sio rushwa nini? Huyu mgonjwa ni moja ya wagonjwa wanaoteseka sana ingawa tukiwa pale nimeona kundi kubwa, ipo hivi? Kwanza Jack alipima vipimo mwaka jana kuelekea Krismas, then tukaambiwa vipimo vimepotea anatakiwa...
  4. Hospitali za Dar Group na Chato zachukuliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

    Serikali imeagiza Hospitali ya Dar Group iliyochukuliwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ijikite katika matibabu ya moyo ya watoto chini ya miaka 15, huku ikitoa maelekezo kwa taasisi hiyo kwenda kuwekeza katika Hospitali ya Chato. Dar Group ambayo ilikuwa chini ya Wizara ya Fedha kwa...
  5. JKCI: Wenye shida Moyo 60% hufika Hospitali wakiwa wamechelewa

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imesema asilimia 60 ya watu wanaowapokea wanakuwa wamefikia hatua mbaya ya magonjwa ya moyo, kutokana na kuishi muda mrefu pasipo kutambua hali zao, hivyo kujikuta wakilazimika kutumia gharama kubwa zaidi kwenye matibabu, ambazo zingeweza kupungua...
  6. JKCI: Mwanaume anatakiwa kunywa Bia 2 na mwanamke Bia 1 tu kwa siku

    MWANAUME anatakiwa kunywa uniti mbili za bia sawa na chupa mbili wakati mwanamke anapawa kunywa unit moja ambayo ni sawa na chupa moja ili kuepuka magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo Moyo. Hayo yamesemwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Tatizo...
  7. J

    Waziri Ummy: Rushwa sekta ya afya inatisha imefika hatua Daktari anamuomba rushwa Daktari mwenzake. Nashauri JKCI ihamie Mloganzila

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema rushwa katika sekta ya afya imefikia hatua mbaya kwani sasa madaktari wanaombana Rushwa hata wao kwa wao. Waziri Ummy amesema hili halikubaliki kabisa. Aidha Waziri Ummy ameishauri bodi ya Kituo cha moyo cha Jakaya Kikwete kuhamia Mloganzila ambako wanaweza...
  8. Physiotherapist Officer II - 2 post at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)

    PHYSIOTHERAPIST OFFICERS II – 2 POST EMPLOYER Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-09 2022-07-22 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To contribute ideas to primary and secondary prevention of functional disabilities; ii.To identify predisposing...
  9. Assistant Nursing Officer II - 10 post at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)

    POST ASSISTANT NURSING OFFICER II – 10 POST EMPLOYER Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-09 2022-07-22 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To assess patients’ conditions and identify their needs; ii.To ensure treatments are carried out as prescribed...
  10. Medical Specialist II - 12 post at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)

    MEDICAL SPECIALIST II – 12 POST EMPLOYER Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-09 2022-07-22 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To provide routine specialized medical services for in-patients and out patients; ii.To supervise ward rounds and advice on...
  11. Medical Officer II - 8 Post at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)

    POST MEDICAL OFFICER II – 8 POST EMPLOYER Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-09 2022-07-22 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To perform Medical duties; ii.To perform daily ward rounds with specialists on call and prepare patients case notes...
  12. Health Laboratory Technologist II - 4 post at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)

    POST HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II – 4 POST EMPLOYER Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-09 2022-07-22 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To prepare re-agents for routine examination of patients; ii.To carry out diagnostic procedures as advised...
  13. Watoto wagonjwa kutoka Kenya waja kutibiwa JKCI

  14. Nani anatoka Marekani kuja kutibiwa Tanzania?

    Juzi wakati Rais Samia alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [siyo ule moyo wa Kikwete 🤣 uliopo ndani ya kidari chake], alisema kuwa alifarijika kusikia kwamba miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hapo kutibiwa, wanatoka nchi za jirani na hata Marekani. Hapo kwenye Marekani alisema kwa...
  15. Rais Samia Suluhu azindua mtambo wa kisasa taasisi ya moyo Jakaya Kikwete. Asema Kazi ilifanyika Awamu ya Tano

    Mambo yanaendelea huko tufuatilie kasi ni ile ile kazi iendelee. ======== Rais Samia Suluhu ameongoza shughuli za kuzindua Mitambo na kwa sasa zoezi linaloendelea salamu za watu mbali mbali. Alianza Professa Janabi ambae ametambulisha watu wote anaofanya nao kazi kila siku. Dkt. Janabi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…