jitihada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume: Jitihada zetu za kutafuta maisha Zinatuangamiza

    Wanaume Tubadilike Tunatafuta maisha kwa nguvu zote kwa Ajili ya familia zetu na inapotokea tumefanikiwa tunafeli sehemu ndogo sana: .Adui huwa hatoki mbali na wewe hata siku moja. .Kwa nn watu waanze kukutafuta baada ya mafanikio. .Kuna watu walikuwa hawana Time kabisa na wewe Utashangaa hata...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kuna jitihada zozote za kutengeneza maprofesa wengi huko vyuoni?

    Wanachuo wengi wanasoma kwa kutegemea ufadhili wa kutoka sehemu mbalimbali, inawezakuwa kwa: serikali, shirika, chuo, familia n.k Gharama za kusoma degree, na masters sio kubwa sana, ndio maana hata ufadhili wake hauna changamoto sana. Ukija upande wa PhD , gharama zinakuwa kubwa sana na wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Timu inayofungwa 3-0 inakuzaje utalii nchini?

    TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini. Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita, inaunga mkono jitihada za kukiendeleza Kiswahili

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tannzania inathamini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili duniani na kuifanya lugha hiyo kuwa yenye hadhi. Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango wakati wa ufunguzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Nyerere alitunukiwa na Mwinyi medali ya dhahabu kwa jitihada za uhifadhi

  6. JamiiForums Tanzania Jitihada za kuikomboa familia zimemuacha mama katika hali ngumu.

    Familia ya baba mama na watoto wawili iliamua kusafiri ili kutafuta elimu nzuri ya watoto na maisha bora kwao wenyewe. Walifika Canada na kuanza maisha. Hali ilikua ngumu, walikaribishwa na rafiki. Kukaribisha watu wanne nyumbani si rahisi hivyo ilibidi watafute kibarua kitakachowawezesha...
  7. JamiiForums Tanzania DSTV fanyeni jitihada kuongeza FTA channels za Tanzania

    Uongozi wa DSTV fanyeni jitihada muongeze channels za Tanzania, badala ya kuturundikia channels za Kenya tu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nipongeze Serikali kwa jitihada za Viwanda

    Lazima tuweke utamaduni wa kupongeza. Uwekezaji umeongezeka na kwenye hili hakuna ubishi. Lakini cha kufurahisha ni kwamba uwekezaji umeongezeka wakati bado kuna Covid. Hii imetokana na uwezo mkubwa wa mawasiliano kutoka juu yaani Raisi wetu amekuwa mtu mzuri kwa mawasiliano ukilinganisha na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kiarabu (machotara) wa Tabora, Shinyanga hawachangamani na jamii?

    Kuna muda huwa nashindwa hata kuelewa kama hawa ni wenzetu. Sizungumzii waarabu original wale wa Oman, Dubai, n.k ni hawa waarabu wa hapa hapa bongo wengi wakiwa machotara waliochanganyikana kabisa na wabantu, wengi wapo Sikonge, Igunga, Ngega, Tinde, Itobo, n.k Yani wao ni ndani tu mda wote...
  10. JamiiForums Tanzania Kibonzo: Kweli tozo za miamala huenda ni kazi bure?

    Ukiangalia kwa makini kibonzo cha Masoud kipanya unafikilia mengi, nikama kodi zote zinazo umiza wana nchi, hazitafaidi nchi hi paka pale watakapo ziba matundu yanao vujisha maji. Wewe umeelewaje hili litakua na ukweli wowote
  11. JamiiForums Tanzania Kuenzi jitihada za kudai katiba mpya za kamanda Mbowe, makongamno yendelee nchi nzima

    Dawa ya moto ni moto, ili katiba mpya ipatikane basi ni mwendo wa makongamano uanze. Kama lile la Mwanza liliwatetemesha na kukubali matokeo basi tujipange kama chama tuanzishe makongamano tena. My take: Hakuna kubaki nyuma na kurudi nyuma. Mbele kwa mbele kudai katiba mpya.
  12. JamiiForums Tanzania Mbinu na jitihada muhimu za kuchukua pale unapopatwa na mafuriko

    Hivi karibuni tumeshuhudia nchi mbalimbali ziiathirika na majanga ya mafuriko na mioto ya msituni. Je ushajiuliza kama janga kama hilo likitokea eno lako hatua za kuchukua na hatua gani ya kuanza nayo? Nchi ambazo zina miundombinu bora lakini bado zimeathiriwa na mafuriko kama Ujerumani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro jitihada za kudhibiti uhalifu wa CHADEMA zisiishie kwa viongozi, kamata na wafuasi wao wanaotaka kuharibu amani

    IGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni. Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane, kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi zaidi ya 50 zilizo kwenye orodha iitwayo "RED LIST". Serikali inafanya jitihada zipi kujitoa humo?

    Nchi zaidi ya 50 nyingi za kutoka mabara ya Afrika na Asia zimo katika orodha iiwtayo "RED LIST", Orodha hiyo iliwekwa kwa zile nchi ambazo hazitoi takwimu za kuridhisha juu ya idadi ya watu waloambikizwa ugonjwa wa Covid-19 na pia idadi ya vifo vilivyotokana na maambukizi ya ugonjwa huo...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna jitihada za kuinusuru SYMBION?

    π™·πšŠπš‹πšŠπš›πš’πš—πš’ 𝚠𝚊𝚍𝚊𝚞! π™Όπš’πšŽπš£πš’ πš”πšŠπšπš‘πšŠπšŠ πš’πš•πš’πš’πš˜πš™πš’πšπšŠ πš πšŠπš πšŠπš”πš’πš•πš’πšœπš‘πš’ 𝚠𝚊 πš”πšŠπš–πš™πšžπš—πš’ 𝚒𝚊 πš‚π™Ύπ™½π™Άπ™°πš‚ πš πšŠπš•πš’πš”πšžπšπšŠπš—πšŠ πš—πšŠ πš”πšžπšπšŠπš—πš’πšŠ πš–πšŠπš£πšžπš—πšπšžπš–πš£πš˜ πš—πšŠ π™±πšŠπš•πš˜πš£πš’ 𝚠𝚊 πš„πš‚π™° πš—πšŒπš‘πš’πš—πš’ πšƒπ™°π™½πš‰π™°π™½π™Έπ™° πš‘πšžπš”πšž πš’πš”πš’πšπšŠπš’πš πšŠ πš”πšžπš πšŠ πš‚π™Ύπ™½π™Άπ™°πš‚ πš–πš”πšŠπšπšŠπš‹πšŠ 𝚠𝚊𝚘 πš πšŠπš”πšžπš’πšžπš£πš’πšŠ πšžπš–πšŽπš–πšŽ πšƒπšŠπš—πšŽπšœπšŒπš˜ πšžπšπšŠπšπš’πš”πš’πšŠ πš–πš πš’πšœπš‘πš˜ πš–πš πšŠπš”πšŠ 2024, π™ΌπšπšŠπšž πšŠπš•πš’πš—πš’πš™πšŽπš—πš’πšŽπš£πšŽπšŠ πš‘πšŠπš‹πšŠπš›πš’ πš”πšžπš πšŠ πš–πšŠπš£πšžπš—πšπšžπš–πš£πš˜ 𝚒𝚊 πš”πšžπš˜πš—πšπšŽπš£πšŠ πš–πš”πšŠπšπšŠπš‹πšŠ πš”πšŠπšπš’...
  16. JamiiForums Tanzania TCCIA yaunga mkono jitihada zinazofanywa na jiji la Arusha kuboresha maeneo yenye uoto wa asili ili kukuza utalii

    Chama cha wafanyabiashara Mkoa wa Arusha TCCIA, Kimeunga mkono jitihada zinazofanywa na halmashauri ya jiji la Arusha kwa kuyaboresha maeneo yote yenye uoto wa asili ili kukuza kivutio cha utalii katika jiji la Arusha. Akiongea wakati wa zoezi la kuboresha mazingira hayo lililoratibiwa na jiji...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wamulikwe wanaotumiwa kudhoofisha jitihada za Rais Samia Suluhu

    Mabibi na mabwana, mama Samia kadhamiria kwa dhati kabisa kutuvusha salama kama taifa. Hii ni katika masuala yote msingi yakiwamo ya afya zetu na pia katika ujenzi wa taifa. Kuhusiana na afya zetu hasa gonjwa hili linalotikisa dunia, mama Samia aliteua tume ya wataalamu ambayo tayari imeshatoa...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge: Jitihada zinazotumika kukamata wavuvi ni kubwa kuliko zinazotumika kuwawezesha

    Mhandisi Stella Manyanya amesema jitihada za Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika kukamata wanaotumia nyavu zisizofaa au kwenye masuala yanayohusu ukusanyaji mapato ni kubwa kuliko zinazotumika kuwawezesha Mbunge huyo wa Jimbo la Nyasa amehoji kwanini mikopo ya injini za boti isitolewe kwa mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…