jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ati Mungu Mwenyezi ni jina la Mungu? Hizi PhD za biblia hawa wahubiri wetu huwa wanazipata wapi?!

    Nimemsikia nabii mmoja wa Arusha ambaye ana cheo cha daktari wa falsafa (PhD) akifundisha kwenye radio yake kwamba Mungu hujifunua kwa majina tofauti kila anapofanya agano. Sasa ananukuu pale Mungu anapoongea na Musa kumwambia alimtokea Ibrahimu kama Mungu mwenyezi lakini hakujulikana na...
  2. JamiiForums Tanzania Shitukeni SUA hawauzi miche ya matunda ni wahuni wanatumia jina la SUA

    Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa wanao itwa SUA miche imefika haifai hata kuitwa imezalishw na mtu wa mimea. Sasa wengi hawajui...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jokate apongeza matokeo kidato cha nne shule iliyopewa jina

    Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amewapongeza Wanafunzi, Walimu na Uongozi mzima wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani ikiwa ni sehemu ya furaha ya kuona Shule ya sekondari ya Wasichana iliyopewa jina lake Jokate Mwegelo Girls, imepata ufaulu mkubwa katika matokeo ya kidato cha nne ambapo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Si rahisi kwa Marekani kujijengea jina kwa kujiingiza kwenye ushindani na China kwenye ujenzi wa miundombinu barani Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni Marekani imekuwa ikitekeleza kile inachokiita kurudi Afrika, sera ambayo hapo awali ilitajwa kuwa ni kurekebisha makosa ya kisera na kutambua umuhimu wa kimkakati wa bara la Afrika, sio tu kwa siasa za ndani za Marekani, bali pia kwa uchumi wa Marekani na nafasi...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Marwan Barghouti: Kwanini mfungwa huyu anahusishwa na mpango wa amani wa Israel na Hamas?

    Barghoit anasadikiwa kuwa ndio Mandela wa Palestina. Habari kamili: Mwanasiasa wa Kipalestina, Marwan Barghouti, kiongozi wa vuguvugu la Fatah ambaye kwa sasa anazuiliwa katika jela ya Israel, ni mhusika mkuu katika makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas. Katika mpango huo...
  6. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Clouds Media, Wampiga Stop Tundu Lissu kutaja jina la Abdul kwamba alimpelekea Rushwa. Idrissa Rubibi na Daniel Naftari wadakwa na Pesa

    Maelezo ya Tundu Lissu *Mimi wanasema sina pesa. Na kama sina pesa sina pesa za kugawa. *Mimi sitoi Rushwa na Sipokei Rushwa. Nililetewa hapa kwenye Sebule hii na Abdul Mtangazaji: Mheshimiwa tunaomba tusitaje Majina. Tundu Lissu: Kwanini nisitaje kama vinaweza vikathibitika? Mtangazaji...
  7. JamiiForums Tanzania naomba kujua jina na tiba la ugonjwa huu

    habarini wana Jf,kuna mdogo wa mke amepata ugonjwa wa ajabu amekuwa ananyonyoka nywele kama mnavyoona yeye ni umri wa miaka 13 ,je huu ni ugonjwa gani tiba ni ipi.
  8. JamiiForums Tanzania Niko na shida nahitaji kumbadilisha jina mwanangu kutoka Samia kuwa Amina, Utaratibu ukoje?

    Kiufupi baada ya kupata mtoto wangu 2021 nilimpa Jina la Samia kutokana na mafanikia ya bi mkubwa mmoja mtaani ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza pale mtaani kuwa na Master of Science in Computer Science, lakini namna alivyokuwa ghafla hizi siku za karibuni, siamini kama anaweza kuwa mfano mzuri...
  9. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wimbo mpya wa dizasta Vina "Utaliimba Jina Langu " ft G Nako

    Wimbo huu wa Dizasta Vina ft G nako "Utaliimba Jina Langu," unachambua masuala ya maisha, kifo, na umuhimu wa kujitambua, pamoja na changamoto za maisha. Kila kipengele cha wimbo kina maana nzito na kinaangazia hali ya msanii kwenye maisha, mahusiano, na mazingira ya kijamii. Hapa chini ni...
  10. JamiiForums Tanzania Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

    Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa. Katika maisha yangu nimekuwa nikiugua magonjwa mengi ya aina mbalimbali. Kifuani, tumboni, miguuni, katika vidole, machoni, masikioni, puani, kichwani, nk, nk. Muda hautoshi kuyaeleza kwa kina. Kwa haraka haraka naweza kusema tangu ujana wangu nimeugua zaidi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Taja jina moja la mbwa hapo 😂

    Taja jina ya mbwa Moja hapo 😂
  12. F

    JamiiForums Tanzania Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi au Kikwete?

    Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi, Mkapa au Kikwete? https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/sgr-expansion-fourth-emu-train-passes-final-tests-4875584
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kama umeanza mwaka 2025 ukiwa na zile nywele zenye jina baya hutoboi, utatoboka.!

    Hizo nywele za katikati ya miguu, zina balaa na mikosi kibao. Na ndiyo maana saloon zote duniani hazikubali kutoa huduma ya kuzinyoa hizo nywele. Imekula kwako kama umeingia na nywele hizo mwaka 2025.
  14. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kubadilisha jina kwenye passport?

    Msaada wa haraka tafadhali! Kuna mtu anahitaji kubadilisha majina kwenye nyaraka zake za muhimu: PASSPORT, DRIVING LICENSE, NIDA, KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA, n.k. Majina yanayobadilishwa ni mawili: la kwanza na la kati. La mwisho (la ukoo) litabaki kama lilivyokuwa. Utaratibu ukoje? 1...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamke jina Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake kwa kukataa asisome sms kwenye simu yake baada ya kuchelewa kurudi nyumbani

    #Repost @wasafifm —— Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake Charles Peter kwa kosa la kukataa asisome ujumbe mfupi (SMS) kwenye simu yake mara baada ya kuchelewa kurudi nyumbani. Tukio hilo limetokea mnamo tarehe Desemba 15, 2024 katika kata ya...
  16. JamiiForums Tanzania Napendekeza bara la Afrika libadilishwe jina

    kwa sababu zile zile ambazo makampuni hubadili majinanyao, basi hata hili bara letu imefika muda muafaka sasa tubadili jina lake… Napendekeza liitwe… ‘New Heaven’
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tambi za Santa Lucia zimebadilishwa jina?

    Tambi za Santa Lucia zimeadimika sana kitaa, nikajikuta nauliza kwa wadau wa dukani wakaniambia ni kama zimebadilishwa jina na sasa zinaitwa Olivoila. Yaani ni kama Tigo ilivyobadili jina na kuitwa Yas basi ndio hivyo hivyo kwa Santa Lucia. Je, kuna ukweli kwenye hili?
  18. JamiiForums Tanzania Maana ya jina la Butesi

    Butesi ni jina la kike la Kihaya. Je lina maaana gani kwa anayejua?
  19. JamiiForums Tanzania Trump kulipwa bilioni 37 na kituo Cha TV Cha ABC kwa kumchafulia jina

    Kituo Cha televisheni Cha ABC kimeamua kukubali kumlipa Rais Donald Trump kiasi Cha Bilioni 37 za kitanzania kama fidia ya kumchafulia jina Rais huyo mteule wa Marekani. Rais mteule Donald Trump aliamua kufungua kesi dhidi ya ABC baada ya mtangazaji wa ABC Bwana George Stephaphoulous kutangaza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Mzee Mbowe ni CHADEMA kutegemea Jina la Mtu badala ya Taasisi

    Moja ya kosa kubwa ambalo wafuasi wa CDM watakuja kujutia ni kuruhusu chama chao kujengwa kwa kutugemea majina ya watu badala ya kujenga Taasisi . Leo hii ,Menyekiti kaguswa kidogo tu ,mayowe kila mahali,ukienda kanda ya kasakazini takribani miaka ishirini kuna jina moja tu la Lema. Majina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…