jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunifu wa jina la Tanzania, Mohammed Iqbal Dar afariki Dunia nchini Uingereza

    Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza. Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. "Jamhuri ya Tanzania" wakati wa mashindano ya kitaifa siku ya 19 Nov 1964 Wizara ya habari na utalii Tanzania ilitambua mchango...
  2. JamiiForums Tanzania Maana ya jina Tanganyika: ( Likud Observation)

    Hata Nyerere aliwahi kusema hajui nini maana ya jina Tanganyika. But as for me, baada ya kutafakari kwa kina nimejidhirisha kwamba ifuatayo ndio maana halisi ya jina " Tanganyika" . Tanganyika means = The first Land ama nchi ya kwanza/ . How and why? Tanga = A kwanza/ Alie tangulia. Una...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini biashara kubwa ikifika level VAT kodi inapokuwa kubwa uzifunga au ubadilisha leseni na jina la kampuni au biashara.

    Ili swala sio geni kusikia kampuni au biashara nyingi zikipitia ili,Hapa nimeweza kuwapa sababu kuu zinazowafanya wafanyabiashara kufunga biashara zao au kubadilisha jina na leseni ya kampuni mara wanapofikia kiwango cha kulipa VAT ni pamoja na: 1. Mzigo Mkubwa wa Kodi • Kodi ya VAT ni...
  4. JamiiForums Tanzania Haya andika jina lako la hapa jukwaani kwa Kijapan

    Tunaanza na mimi MEKATANOKATOKA Haya twende kazi....lazima tukutane na matusi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bado tupo utumwani? kwanini tunasita kubadili jina la jiji kubwa zaidi Afrika mashariki

    Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ? Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said Kabla ya hapo, eneo hilo...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kubadili jina NIDA inachukua muda gani

    Naomba msaada kujua kubadili jina nida inachukua muda gan..mpka kukamilika..ukifata taratbu zao.zote
  7. JamiiForums Tanzania Fisi aliyeuliwa amekutwa na chapa ya jina kwenye paja lake

    SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS Askari wa Mamlaka ya Wanyamapori kwa kushirikiana na TANAPA na Jeshi la Polisi wamefanikiwa kumuua fisi mmoja katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, baada ya kuingia katika makazi ya wananchi. Cha kushangaza, fisi huyo alikutwa na maandishi kwenye paja lake la...
  8. JamiiForums Tanzania Popo mwenye uwezo wa kuambukiza corona amegundulika huko China.

  9. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu ina mkakati gani na hawa wanauza mihadarati ya kiimani kwa jina la Yesu au ukristo?

    Taifa linaangamia na kutengeneza jamii ya mataahira. Wakuu wangu wa serikali nawaheshimu sana lakini hapo mmekaa kimya. Kusema serikali haina dini mnamaanisha matapeli waliojificha kwenye imani ya dini mkono wa serikali ambao tunajua ni mrefu hauwafikii hawa matapeli na ambao asilimia kubwa wapo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kina John wamefanikiwa sana kuingia kwenye Siasa na Serikali Tanzania, nini siri ya jina John?

    1. John Kijazi 2. John Magufuli 3. John Heche 4. John Mnyika 5.John Kaijage 6. John Kitwanga 7............. Aliyepata hasara ni John Babptist tu. Kama una akina john wengine wataje
  11. JamiiForums Tanzania Jina gani la uwanja wa soka linakuvutia sana?

    Mimi navutiwa na uwanja wa Atletico Madrid. Jina la uwanja wao ni Wanda Metropolitano. Tuambiwe inavutiwa na jina gani la uwanja?
  12. JamiiForums Tanzania Wakati yanga wana screen protector(Diarra) simba mkaleta tapeli na kulipa jina spider.

    I salute you kinsmen. Inabidi tu tukubali kuwa diarra ndio role model wa makipa wote nchini kwa sasa na baadaye. Kama ilivyo kwa mchezaji fundi kuwahi kutokea Tanzania laudack Chasambi kukubali max ni role model wake why huyo tapeli camara asikubali kuwa diarra ni role model wake? Ifike muda...
  13. JamiiForums Tanzania Jina gani hapa JF limekuacha hoi?

    Kuna yule mwamba anaitwa tako_la_mtemi Nikifa MkeWangu Asiolewe 😅😂
  14. JamiiForums Tanzania Ila wachambuzi wa Soccer wa bongo😂, mnakumbuka kipind kile Shaffih Dauda alikuwa anatuambia kuwa Rashford jina lake halisi ni Rashid na ni Mtanzania

    Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts. Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂
  15. JamiiForums Tanzania Jina lipi zuri kwa ajili ya Poti?

    Kamanda tumpe jina gani?!
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

    Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake?? Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yao na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu. Juzi hapa...
  17. JamiiForums Tanzania Jina lake ni ushairi na ni milele

    . Aliitwa Phillis, kwa sababu hilo lilikuwa jina la meli iliyomleta, na Wheatley, ambalo lilikuwa jina la mfanyabiashara aliyemnunua. Alizaliwa Senegal. Akiwa na miaka kumi na tatu, tayari alikuwa akiandika mashairi katika lugha ambayo haikuwa yake. Hakuna aliyeamini kuwa yeye ndiye...
  18. JamiiForums Tanzania Huko Arusha kuna ndoa imevunjika kisa mke kachora tattoo yenye jina la nabii GeorDavie

    Ule msemo wa mwanamke mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe unaendelea kujidhihirisha. Mkoani Arusha kuna mama mmoja mrwmbo kajilipua kuchora jina lanabii GeorDavie begani. Mama huyo mrembo kweli kweli baada ya kuchora tatoo hiyo, mumewe alimkomalia aifute ila akagomaa Baada ya kugoma mume aliamua...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ati Mungu Mwenyezi ni jina la Mungu? Hizi PhD za biblia hawa wahubiri wetu huwa wanazipata wapi?!

    Nimemsikia nabii mmoja wa Arusha ambaye ana cheo cha daktari wa falsafa (PhD) akifundisha kwenye radio yake kwamba Mungu hujifunua kwa majina tofauti kila anapofanya agano. Sasa ananukuu pale Mungu anapoongea na Musa kumwambia alimtokea Ibrahimu kama Mungu mwenyezi lakini hakujulikana na...
  20. JamiiForums Tanzania Shitukeni SUA hawauzi miche ya matunda ni wahuni wanatumia jina la SUA

    Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa wanao itwa SUA miche imefika haifai hata kuitwa imezalishw na mtu wa mimea. Sasa wengi hawajui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…