MASACHE KASAKA ASHINDA KWA KURA 5,572 JIMBO LA LUPA, CHUNYA
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Lupa, Masache Njelu Kasaka ameibuka kidedea kwenye kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Lupa akipata kura 5,572 huku akiwaacha mbali washindani wake.
Masache amepata ushindi huo dhidi ya...