Mkoa wa Kigoma, Jimbo la Kigoma Mjini – Wanafunzi waliokuwa wameanza kidato cha kwanza hivi karibuni katika Shule ya Sekondari Buhanda baadhi yao wamerudishwa nyumbani baada ya kushindwa kupeleka madawati. Tatizo hilo limetokana na uhaba mkubwa wa madawati, jambo linalozidisha changamoto kwa...
Anonymous
Thread
home
jimbojimbolakigomamjinikigomakigomamjini
kisa
madawati
mjini
shule
wanafunzi
Tarehe 9, Januari 2026
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Kigoma, imetupilia mbali ombi la Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigoma Mjini na Mwanasheria Mkuu wa Serikali la kutaka kusimamisha usikilizwaji wa kesi ya kupinga matokeo ya ubunge katika jimbo hilo.
Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji...
Ukweli humuweka mtu huru haya wale wasiyojua siasa na wenye mihemko ya kisiasa yako wapi msomi wenu kashindwa na amekubali kushindwa.
Uongozi siyo elimu bali kipawa kutoka kwa mwenyezi Mungu ndiyo maana bado kuna watu wanawaheshimu wazee ktk maamuzi kuliko WASOMI.
JIFUNZENI NA BADILIKENI...
Mtu unakwenda kwaajili ya Starehe zake anasingizia kutafuta wafadhili:3Heading: hata ubunge ujaupata
===============
Miongoni mwa sababu kubwa zinazo mpeleka Dubai ni pamoja na kuzungumza na baadhi ya Taasisi kwa ajili ya uwekezaji mkubwa katika Soko la Ujiji liliopo Jimbo la Kigoma Mjini...
Huyu bi mkubwa ameongea heeee! hivi Huyu kabujanja ndio bwana Zitto Kabwe bila shaka?
===============
Aliyekuwa katibu wa ACT tawi la mwanga kaskazini, NIMBI MUSSA KINYOTA ambaye kwasasa amekihama chama hicho, amewahasa wanawake wajane keendelea kukiamini chama cha mapinduzi pamoja na wagombea...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe awaomba Wazee wa Kigoma kuitisha mdahalo baina yake na washindani wake katika jimbo hilo kisha kila mmoja aeleze yale aliyoyafanya katika jimbo hilo.
Ameyasema hayo Septemba 26, 2025 kwenye mkutano wake wa...
Mmoja wa wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, uliofanyika kata ya Buhanda, alimpa changamoto kwa kumuuliza:
"Ubunge tukupe wewe, lakini urais tumpe nani endapo chama chenu hakitasimamisha mgombea wa urais?"...
Mwananchi kaamua kujisema bila kuogopa kwamba jamaa anajuwi kusoma wala kuandika, na Jimbo la Kigoma Mjini ni jimbo lenye viwanda kwahiyo linamtaka mbunge msomi.
Na akaukubali kupiga kura kwa Zitto Kabwe kwamba yeye ni msomi
================
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia...
Ni kuhusu Jimbo la Kigoma mjini.
Ukweli wa ukweli ni kwamba, Zitto analihitaji zaidi Jimbo la Kigoma mjini kuliko wakati wowote ule wa maisha yake ya kisiasa, lakini Jimbo la Kigoma mjini, linamuhitaji zaidi Baba Levo kwa maslahi ya watu wote wa mkoa wa Kigoma na sio Kigoma mjini pekee kuliko...
Mgombea Ubunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo, amefanyiwa maombi maalum na wachungaji zaidi ya 100 mkoani Kigoma.
Mwananchi aliyehudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi, Clayton Chipando (Baba Levo) uliofanyika Kigoma mjini, amamemuuliza swali mgombea huyo juu juu ya uelewa wake kwenye ligha ya Kingereza na atawezaje kujua usahihi wa...
KWa mdomo aliokuwa nao Baba Levo ambaye hachagui cha kuongea, Zitto Kabwe kazi unayo.
Wapiga kura wa Tanzania wamebadilika, hawaangalii usomi tena ndio maana wako tayari kumpa ubunge Mr Two a.k.a Sugu au kama walivyompa Ramadhan Kihiyo mwaka 1995 akatenguliwa na mahakama.
Zitto ni msomi sana...
Baada ya kuona Baba Levo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi kulitetea jimbo la Kigoma Mjini, hili limenifanya niamini kwa 100% kuwa kuna majimbo yameandaliwa kwa ajili ya ACT Wazalendo na CHAUMMA.
Kwa akili ya kawaida sioni ni nini CCM wamekilenga kwa Baba Levo zaidi ya...
Msaanii wa muziki nchini Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo ameteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Mshindi wa kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Mjini, Shabani Kirumbe Ng’enda, ambaye anasubiri kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM, ili kugombea ubunge katika jimbo hilo baada ya kuwashinda wenzake sita akiwemo Baba Levo, amezikataa kura feki zilizokamatwa wakati wa mchakato wa kura za maoni ndani...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini ambaye anatetea kiti hicho, Kirumba Ng’enda ameongoza kwenye kura za maoni za chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika leo, akimzidi kura 88 mpinzani wake mkuu Clayton Chipando (Baba Levo).
Akitoa matokeo ya uchaguzi huo uliofanywa na Wajumbe wa Mkutano...
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini anayetetea nafasi yake, Shabani Ng’enda, ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 2,168.
Clayton Revocatus Chipando maarudu kama BabaLevo ameshika nafasi ya pili kwa kupata kura 2,080, huku Mwandishi wa Habari Baruani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.