jijini mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya maji Mwanza wamenipa bili kubwa huku mita ikiwa imejaa uchafu ndani hata kusoma ni shida

    Kero yangu inahusu utaratibu wa utoaji wa bili unaofanywa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza. Nimepokea bili kubwa ya maji, huku mita ikiwa imejaa uchafu kwa ndani kiasi kwamba usomaji wake hauonekani. Sijui hiyo bili imetolewa kwa msingi gani, wamefanyaje usomaji wa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Upanuzi wa barabara jijini Mwanza

    Habari zenu wanaJF, natumaini nyote mnaendelea na pirika za kila siku kwa ajili ya familia na ujenzi wa taifa. Twende kwenye hoja yangu direct! Swali langu ni kwamba "Ni lini serikali itapanua barabara hizi muhimu zinazounganisha Mwanza mjini na maeneo kuanzia Usagara hadi mjini kati na Kisesa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kukosekana kwa Maji ya Bomba maeneo ya NYANG'HINGI - MKOLANI Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza

    Maeno haya yamekuwa na ukosefu wa maji kwa muda mrefu licha uwepo wa miradi mikubwa ya maji kuzunguka maeneo husika. Hali hii inaathiri sio tu wananchi wa maeneo hao bali pia taasisi za elimu zilizopo maeneo hayo. Kwa wanafunzi wamekuwa wakipata magonjwa ngozi kutoka matunizi ya maji ambayo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Nani anaweza kupatambua hapa? Moja ya maeneo muhimu Jijini Mwanza

    Mwanza CBD
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 DW yathibitisha aina ya Risasi zilizotumika kwenye mauaji ya Oktoba 29, 2025 zilikuwa ni za Polisi na Jeshi la Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu zilizofuata uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania. Maandamano yalizuka katika miji mikubwa ikiwemo Mwanza...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga hapa jijini Mwanza

    Msaada natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili na sebule sina familia kubwa ninawatoto wawili na house girl sina mke. Nahitaji maeneo haya ya Kisesa, Kishiri na Igoma. Nina 100k kwa mwezi ikizidi sana iwe 150k kwa mwezi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Magari ya CCM, nyumba ya mgombea udiwani vyachomwa moto na waandamanaji jijini Mwanza

    Hali jijini Mwanza leo Oktoba 31 imeonekana hivi:
  8. JamiiForums Tanzania Gen-Z jijini mwanza wachoma moto vituo vya polisi

    Kituo cha polisi cha nyegezi kimechomwa moto wandamanaji wapambana vikali na jeshi last polisi .. Kituo cha mafuta GBP cha shambuliwa na gen-z wamevunja warehouse na kubeba maji na vinywaji musoma Road nyamhongolo near nanenane. Taifa gas pia yavunjwa na wandamanaji kubeba mitungi ya gesi...
  9. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Jabal school jijini Mwanza mnafeli

    Yaani watoto kutoka saa kumi na mbili wanasubiri usafiri hadi saa mbili hii
  10. JamiiForums Tanzania Leo Agosti 26 ni siku ya kuupokea mwenge wa uhuru jijini Mwanza katika viwanja vya Nyamhongoolo

    Sisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo . Kila kitu kitakuepo kama ●Pombe ●Nyama choma ●Wazee wa pisi hapa ndo kwenyewe ila tumia mpira ●Na burudani za...
  11. JamiiForums Tanzania Safi sana mama yangu samia suluhu hassani kwa hili

    Naanza kwa kumpongeza rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania , mama yetu Samia Suhulu Hassan katika raisi aliefanya mambo makubwa pia jina la Samia suluhu hassani haliwezi kukosekana. Leo ukifika kishiri hkuna vumbi tena ni mwendo wa lami ni kuteleza tu mwaaaaaah hakuna kupauka na wasukuma...
  12. D

    JamiiForums Tanzania 200 na 100 ni sarafu hadimu saana haswa hapa jijini mwanza

    Mwanza sarafu za 100 na 200 ni kama hazipo tena tunapata tabu kubadilishana pesa na bidhaa hasa hizo sarafu.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
  14. JamiiForums Tanzania Uchangishaji wa fedha kwaajili ya mwenge jijini Mwanza kata ya kishiri

    Nawasalimu kwa jina la Gwajimanizer, hili la uchangishaji wa fedha kwa wanachi wa kata ya kishili jijini Mwanza ili kuwezeaha kuleta mwenge wa uhuru, ivi serikali sI huwainatenga kiasi kwaajili ya Mwenge wa uhuru inakuaje wananchi tuchangie fedha za mwenge?? Inahitajika 2M kuleta mwenge aisee
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wapo LIVE Jijini Mwanza muda huu Juni 3, 2025

    https://www.youtube.com/live/e-gAjW47RNY
  16. JamiiForums Tanzania Uwanja wa maonyesho ya nanenane jijini Mwanza wajengwa baa za kuuza pombe.

    Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto. Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na serikali kwaajili ya maonyesho ya nanenane inakuaje ujengwe baa??
  17. JamiiForums Tanzania MWENYE CONNECTION YA KAZI JIJINI MWANZA

    Habari wanajamii forum samahan kama ntakuwa nje ya mada ila nilikuwa nahitaji msaada wenu mtu yeyote mwenye connection ya kazi aniambie elimu yangu ngazi ya Diploma ya manunuzi
  18. P

    JamiiForums Tanzania KERO Bajaji jijini Mwanza wanapaki hovyo sehemu ambazo si salama na usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara

    Ukiwa KENYATA ROAD (Mataa/Makoroboi) hadi kufika nata bajaji zimekua nyingi sana wa mbaya zaidi wanavunja sana sheria. Wanapaki wanavyojisikia, wanageuza katikati ya barabara kuna wakati unaweza kuta zinatembea Bajaj mbili lane moja wamejaa wao mmoja kushoto mwingine kulia na wanatembea mwendo...
  19. JamiiForums Tanzania Support ya media kwa wasanii wa hip hop jijini Mwanza

    MOVEMENT YA HIP HOP KUPITIA MEDIA ZA MWANZA. Mwanza kupitia Radio Free Africa na Kiss FM walifanya mapinduzi makubwa sana kwenye kuiendeleza Hip hop na hii waliifanya makusudi ili kutoa ile dhana kwamba ukiwa Dar ndio utatoka kimuziki. Kwenye harakati hizi za kuhakikisha Hip hop inafika mbali...
  20. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 12 amejiteka akiwa na mdogo wake huko jijini Mwanza!

    #HABARI Katika hali isiyo ya kawaida mtoto mmoja aliyefahamika kwa jina Frola Samson (12), mkazi wa wilaya ya Ilemela amepatikana baada ya msako wa Jeshi la polisi Mkoani Mwanza akiwa eneo la Buhongwa ambako alijificha yeye na mdogo wake aitwaye France Samson (8) huku akidanganya kuwa wametekwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…