Jiji refers to an ethnic and linguistic group based in Kigoma Region, Tanzania.
If tribes are classified by language and not by race, Bajiji (Jiji people) are part of Baha (Ha people) since their language is the same. Traditionally they were organized into a separate kingdom, Bujiji (Swahili Ujiji, same as the Arab town of Ujiji near Kigoma), and formed part of Buha (Uha, Ha territory) with other kingdoms: Heru, Bushingo (Ushingo), Ruguru (Luguru), Muhambwe and Buyungu, all of them in Kigoma Region, Tanzania.
Sis watanzania na Serikali yetu hii yaani jiji la Arusha linakuwa na uwanja wa ndege wa ajabu ajabu namna ile mapato ya utalii yanaenda wapi? Kwanini serikali isiupanue uwanja na kuwa wakimataifa zaidi.
Just imagine AFCON2027 itakuaje kama kiwanja cha ndege ndo kile ukitoa hako kajengo...
Kumekuwa na ubadilishwaji wa matumizi ya maeneo ya umma ya wazi kuwa maeneo ya shughuli za halmashauri.. Ni lini tutakuwa na mipango endelevu ya kulipanga jiji na kutokubadilisha matumizi ya maeneo? Mfano: Kinondoni Biafra sasa kumejengwa yard ya magari, Kinondoni Ada Estate eneo la wazi...
DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k.
MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara.
ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana
Mbeya - Watu wa Njombe
Dodoma na Tanga sijajua
Mabingwa watetezi kunako ligi kuu Tanzania bars(NBC PL) watashuka dimbani leo saa moja usiku kupepetana na walima zabibu kutoka Dodoma. Je nani kuibuka na ushindi?
Hebu tutafakari kwa pamoja Wakuu,
Vigezo gani vilitumika na CAF kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027? HIYO NI KESHO TU ETI
Kwanza, Kenya na Uganda wamekwishamaliza ujenzi wa viwanja vitakavyotumika kwa fainali hizo, Tanzania bado nywinywinywi hakuna kitu
Dar es Salaam ambayo ndiyo...
Jiji la Dodoma wametangaza yeyote aliyegawiwa kiwanja, ndani ya muda halisi wa kuendeleza, usipoendeleza, wameanzisha kampeni ya kunyang'anya viwanja hivyo.
Wameweka tangazo tayai. Kuna watu wawili nawafahamu, walikuwa na karatasi za uhakiki na mikataba kuuziwa na wazawa, kilichotokea maafisa...
Habari Tanzania
Nawaomba wenye mamlaka na wale wataalamu wa mambo ya Sheria na watunzi wa sera; na wale wote wapendao maendeleo.
Ikiwapendeza; Muunde Shirika la Taifa ambalo litajenga Mfumo wa Grid ya Maji ya Taifa na kuiunganisha nchi nzima. Alafu Mamlaka za Maji Vijijini na Mijini ziwe...
Leo jijini Mwanza kumekuwa kama ghost city yaani hakuna watu kbs na baadhi ya maeneo machache tu ndo utakuta watu. Sikutegemea kuona hili yaani jiji zama limetulia limepigwa baridi kinoma polisi wamejazana kila pahala.
Maduka mengi yamefungwa jiji letu halikuwa hivi asee .
NB: sikupiga picha...
Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani
Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya.
Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi...
Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani
Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya.
Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi...
siku moja majira ya jioni ya saa kumi na nusu hivi kwenye mtaa wa Bani hashem katikati ya jiji la Tehran, walionekana watu wawili wakiwa wamebebana kwenye pikipiki. Baada ya kumkaribia mtu fulani aliyekuwa akijiandaa kuingia kwake baada ya kutoka kazini, walichomoa bastola zilizofungwa silencer...
Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji.
kwa...
Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama.
Vipi hali huko mitaani wakuu?
Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji.
Shetta alipata jumla ya kura 48 za ndiyo kati...
Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumpata mgombea wa Umeya wa Jiji la Dar es Salaam umeingia katika sura mpya baada ya matokeo kumuibua Nurdin Juma (Shetta) kuwa mshindi.
Katika uchaguzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa CCM Wilaya ya Ilala, Diwani wa Mchikichini...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na...
Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar
1) Kuna barriers kila sehemu, ukipita lazima uwe na ID to verify your identity. Ni Polisi na Wanajeshi
2) Bolt ukimwita akupeleke Airport tokea maeneo ya Sinza, anataka LAKI 2 au zaidi
3) Ukiwa unaenda Airport, lazima ueleze unaenda wapi na kufanya...