jeuri

Raymond Jeuris (23 January 1928 – 14 March 2021) was a Belgian politician of the Christian Social Party and was 20 years mayor of Alken between 1975 and 1994.Jeuris started his career as teacher at a agricultural school. He became active as a schepen in the local politics before he became mayor of Alken in 1975. In his twenty years as mayor he has started many projects including the industrial estate, playground in the centre of Alken, sports fields and sports hall, youth clubs, and neighborhoods. He retired in 1994.
After his retirement he stayed livind in Alken with his wife. Jeuris died in the Residential care center Sint Cecilia in Alken where he lived his last years on 14 March 2021, aged 93.

View More On Wikipedia.org
  1. BIG BROTHER ALEX

    Kombe la mapinduzi Zanzibar ni jeuri, dharau au kutojielewa kwa waandaaji?

    Waliitisha press, wakasema kombe la mapinduzi kuanzia Sasa ni la kimataifa, wakimanisha zitakazo shindana ni nchi na nchi, sio klabu za kawaida. Tukasema sawa, akaitwa Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi japo wengine walilikataa wakajitoa, haya likafanyika, Zanzibar heroes sijui ni nchi ya...
  2. Sister Abigail

    Kila ninaposaidia mtu, narudishiwa jeuri

    Kila ninayeshikamana nae kwa shida na raha ikifika zamu yangu naambulia kupotezewa au jeuri, au mie ndo nina shida guys? Siwekagi matarajio kabisa, najitoa kwa kidogo nilicho nacho, kwa muda nilionao, kwa utu na ama kwa nguvu nilizonazo, lakini kama ujuavyo maisha kuna nyakati yananifika...
  3. The Father of All

    GE2025 Ni jeuri, kiburi, au ujinga kwa Samia kutojifunza toka kwa Magufuli?

    Mgombea wa kujiteua wa CCM, Samia Suluhu Hassan anahitaji msaada tena wa bure na haraka. Tokana na kuabudiwa kichawa na kizwazwa, anajiona kama muungu mtu. Ni ajabu hakujifunza kwa muungu wake John Pombe Magufuli aliyetenda makufuru hadi, watu tuliodhani wasomi na wazima, bila aibu wala woga...
  4. Mlaleo

    Sasa ni Rasmi - Gaza kuwa Jewish City Netanyahu akubali - Arabs wote kufukuzwa Dawa ya Jeuri ni Kusudi, hard kuishi na waongo Aamua kufuata Quran 5:21

    Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21 Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
  5. Carlos The Jackal

    Huwezi Mtenganisha MULIRO na Matendo ya kiovu yanayoendelea Nchini. Maelezo yake ynaonyesha pia kuwa Jeshi la Polisi limeshindwa KAZI ya kulinda Taifa

    Huyu Jamaa kama ni Roho mbaya, basi ni Shetani ,amejawa Kiburi, jeuri ya Mamlaka kiasi kwamba Licha ya kua anajua anaongea Upumbavu anaelewa fika hamna wa Kumfanya kitu chochote. Huyu Jamaa kama tutapata Taarifa zake Binafsi za Akaunti za Benki ni wazi atakua na Mabilioni Kadhaa ya Fedha ...
  6. Expensive life

    Msoga, kijiji maarufu kinachompa jeuri bi mkubwa.

    Wakuu, Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua. Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima haraka sana akimbilie kijiji kile. Ukileta dharau dhidi ya kijiji kile ni ngumu sana wewe kutoboa...
  7. A

    Dawa ya mwanamke akianza ujeuri katika ndoa

    Baada ya kuishi katika ndoa ndo nimejifunza kuwa ndoa ni sawa na mashindano ya mpira kila team inapambana ili ichukuwe point 3 Mume na mke kila mmoja anapambana ili atawale mwenzake japo kuwa watu usema kuwa mke na mtii mume wake ukiingia katika ndoa inawezekana utii uo ukauona miezi miwili...
  8. Technophilic Pool

    Nimemfungulia wife biashara ndogo tu! Ila naona kama ishaanza kumpa jeuri Najutaaa

    Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi. Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka. Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno Nikiazima hela yake kama nina...
  9. kavulata

    Kwa jeuri hii bodi ya ligi na TFF hawako huru, hawako peke yao

    Bodi ya ligi na TFF hawajali timu na wadau wanasema nn kuhusu mechi zinavyochezeshwa. Nijuavyo mm bodi ya ligi na TFF hawana ubavu wa kuahirisha mechi ya derby kihuni namna ile. Timu hata za jeshi kuonewa uwanjani kwa kuchezeshwa kihuni hakuwezi kufanikishwa na bodi ya ligi pekee.
  10. THE BIG SHOW

    Kwa kuwa platform atayobakia nayo kuendeleza chuki kwenye jamii ni lile kanisa lake, mamlaka zimfungie huduma hiyo tuone jeuri anaitoa wapi

    Friends and Our Enemies, GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake. Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali...
  11. THE FIRST BORN

    Hii Ya Askofu G ndio inaitwa Jeuri

    Kuna vitu viwili hua tunavichanganya sana DHARAU na JEURI. DHARAU ni kitu chepesi sana dharau anakua nayo mtu yeyote,...ndio maana Wanyakusya hua mnasema wandharau 😁..hakuna Mnyakusya Jeuri au mweye kiburi so elewa dharau unaweza ipata kwa mtu yeyote. Ila kuna kitu inaitwa UJEURI hii anakuaga...
  12. W

    Tiba asili tusizibeze sana, Mdudu aliekuwa ananisumbua kwenye kidole kaacha jeuri ndani ya masaa manne tu

    Siku ya juzi na janausiku nilisumbuliwa na maumivu makali ya mdudu ndani ya kidole cha pete. Huyu mdudu anakusubiri umalize mishe zako, vile umetulia au umelala yeye ndio anaanza kazi yake, ni tafrani. Nimehangaika hospitalini, daktari kaniandikia dawa ila hakuna nafuu Siku ya leo nikawa...
  13. Setfree

    Duh! Huyu baba ni jeuri na katili sana. Tusaidiane kumkemea

    Huyu baba ana watoto wengi sana, lakini hajali kuwatunza. Anadai ana mapesa mengi na mali nyingi. Lakini watoto wake wakiugua hawaambii waende hospitali, badala yake anawahimiza waende kwa waganga wa kienyeji. Amewaajiri watoto wake wamsaidie kufanya kazi zake lakini ajabu hawapi mshahara...
  14. KyemanaMugaza

    Mke jeuri

    kuna ndugu yangu analalamika hana maelewano mazuri na majirani zake kisa mkewe yaani mkewe amekuwa mtu wa vituko mara kamchamba jirani huyu mara kamuona huyu katema mate mara kesi ya kutupa taka hovyo ,imefikia akipika mayai anatupa maganda mlangoni kw jirani kifupi ni mtu wa shari Anaomba...
  15. OMOYOGWANE

    Kama unataka sex ya haraka tongoza mwanamke mwenye hasira za karibu ambaye wengi wanamuona mkorofi na jeuri

    Wakuu habari! Wanaume siku zote kazi yetu ni kutafuta pesa, kutatua changamoto na kuhudumia familia Ikitokea mtu anataka sex ya haraka basi wanawake wenye hasira za karibu na mdomo ndio chaguo sahihi Kikawaida hawa ni watu wa mihemko wao muda wote huhisi wanadharauliwa, suala la kufikiria...
  16. Webabu

    Dunia kushuhudia vita vibaya vitakavyoangusha mataifa jeuri. Iran amejirayarisha na haitanii.

    Benjamini Netanyahu amejisifu kuwa ramani mpya ya mashariki ya kati inaenda vizuri.Katika kujisifu huko ametaja jinsi ambavyo Hamas na Hizbullah zimedhoofika. Makamanda wake nao hasa waziri wa Ulinzi wamekuwa wakitoa kauli za kujiamini kiasi kama hicho zinazoenda sambamba na kuvunja maeneo...
  17. Pascal Mayalla

    Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

    Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo! Simple Mind Discuss People Ordinary Mind Discuss Events Great Minds Discuss Ideas。 Hili ni moja ya mabandiko yangu ya great minds ku discuss ideas, hakuna kutaja majina,simple minds nawaombeni kaeni pembeni!, hapa hatu discuss watu!。 Naomba wachangiaji...
  18. Adharusi

    RC Chalamila Jeuri kwa watu wenye kipato cha chini imezidi sasa, mamlaka ya uteuzi ikiendelea kumlea watavuna wote

    https://www.youtube.com/shorts/e-h8zzRwB44?feature=share RC Chalamila nazani madaraka yamemlevya ..amekua akiwadharau sana watu wa kipato cha chini ,hana lugha mzuri kundi ili la watanzania wenye kipato cha chini .amewashambulia sana wanaume wauza uduvi na kuwaambia wataolewa . Kumbuka...
  19. kavulata

    Air Tanzania ikizuiwa Ulaya, tuzuie zao pia. Jeuri hatuna?

    Air Tanzania imeingizwa kwenye mashirika ya ndege yasiyotakiwa kwenda nchi za jumuiya ya ulaya. Tanzania tuachane kabisa na mataifa ya kikoloni, kwakuwa wanajiona ni wakoloni na kutuona watawaliwa mpaka Leo. Sisi waafrika tunashida gani? Huu ni muda wa kuelekeza nguvu zetu Africa, Asia, Urusi...
  20. emmarki

    Uchumi mzuri unawapa jeuri mbaya wanawake wa kichaga

    Siwasemi vibaya dada zangu wa kichaga, mnasifika kote kwa uwezo wenu wa kusaka mahela. changamoto ninayoiona kwa manka walio wengi, uchumi ukichangamka mnakuwa jeuri na kiburi sana. Haijalishi hata kama mwanaume kamzidi kwa uchumi. Manka akishajihakikishia kuwa ana uwezo wa kusustain maisha...
Back
Top Bottom