jeshi

  1. Bado haingii akilini mtu anawezaje kuuawa na risasi mbele ya Askari jeshi wa nchi husika ?

    Toka tarehe 29 mpaka leo bado nawaza mwananchi anawezaje kulengwa shaba mbele ya askari wa jeshi la wananchi naye askari akabaki anashangaa tu kama sanamu. Moja mwananchi anapigwa virungu mbele ya askari jeshi, jeshi bado linashangaa inafuata anauawa bado tu mwanajeshi anashangaa wala hatua...
  2. UTAFITI: Una imani na Jeshi la Polisi la Tanzania?

    Wote tunajua jukumu na wajibu wa jeshi la polisi. Lakini kwa hivi karibuni kumekuwa na migogoro sana baina ya wananchi wa kawaida na majeshi ya ulinzi na usalama; hasa jeshi la police. Kila mtu akiwa na maoni yake juu yao. Je wewe una maoni gani?
  3. Jeshi la police kwanini mnawapeleka vijana walioandamana mahakamani wakiwa uchi na wamedhoofika kiafya?

    Hivi polisi mbona imekuwa taasisi iliyokosa hekima? Yaani unamtoa mtuhumiwa mahabusu hadi mahakamani bila kuwa na mavazi tena mbele ya hadhara na camera za waandishi Vijana walikuwa hawana nguo wala viatu Sasa kama mtu anafikia mahakamani akiwa uchi, huyu mtuhumiwa anaishije huko mahabusu...
  4. M

    Ni mengi tunapitia lakini sio sawa kulisema vibaya jeshi letu, hakuna aliekamilika 100%

    Jeshi letu ni taasisi imara, ni wazalendo, tunalipeda, tunajivunia kuwa nala, ni nembo ya ujasiri na ulinzi si hapa Tanzania pekee bali Afrika Mashariki nzima kwa muda mrefu limekuwa jeshi lenye heshma yake kubwa. Tupunguze lawama, haijakaa sawa kabisa, Na pia Tukumbuke jeshi ni Mfumo, Jeshi...
  5. Nampongeza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa na jeshi zima la mkoa huo kutokuwa na mauaji ya raia kwenye maandamano

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kuwa hakuna mwananchi au askari Polisi wa Jeshi hilo Mkoani humo aliyejeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na Vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025. Hata hivyo nawapongeza kwa kuwaachia huru vijana mia 300...
  6. Mzee wetu Mwandambo ana ujumbe kwa Jeshi letu la Wananchi

  7. Mauwaji ya watu 1000 yalitokea kiholela holela jeshi tujiulize sisi tunalinda nini sasa inakuwaje raia wafe kwa kiwango kikubwa hivi na sisi tupo tu?

    Mauwaji ya watu 1000 yalitokea kiholela holela jeshi tujiulize sisi tunalinda nini sasa inakuwaje raia wafe kwa kiwango kikubwa hivi na sisi tupo tu?. Hili wala aio suala la mkuu wa majeshi hili ni suala la kila askari wa JWTZ sasa mnalinda nini watu wameuwawa na nyinyi mlikuwa mitaani sasa...
  8. M

    (Kumbukizi) - Kamanda Muliro: Kwa jeshi hili, sidhani kama yupo anayependa kufa

    Aliyazungumza hayo Agosti 20 katika Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  9. Pole kwa mmiliki wa kituo cha mafuta Lake Oil company

    Huyu mmliki amepata hasara kubwa sana sheli zake nyingi zimeharibiwa vibaya kwa moto, watu wamepora mitungi ya gesi yotee yaani kweupe. Lakini pia nitoe pole kwa watz waliouawa kwenye maandamano, pia natoa pongezi kwa JW walikuwa maeneo ya Igoma jijini Mwanza hakuna raia aliyepigwa risasi .
  10. PostGE2025 JWTZ ni "Jeshi la Wananchi" au "Jeshi la Wanasiasa"?

    JWTZ Haina Sifa ya Kuwa Jeshi la Wananchi Katika muktadha wa mageuzi ya kijeshi na kisiasa duniani kote, tunapaswa kujiuliza: je, Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lina sifa ya kuitwa "Jeshi la Wananchi"? Au ni jeshi la watawala na wateule wachache? Ingawa JWTZ inajivunia historia ndefu ya...
  11. GE2025 Kwa tuliyoyaona na Hatua zilizochukuliwa na Vyombo vyetu vya Usalama; Tunahitaji Silaha Kujilinda

    Naleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA? Yaliyotokea ni wazi yana ripple effects kuu tatu: 1. Maandamano kutokutokea tena kwani watu wataogopa kuuwawa. Hii scenario naipa...
  12. M

    GE2025 Samia Suluhu Hassan kuapishwa kesho, Novemba 3, 2025 saa 4 asubuhi

    Kutoka BBC | Novemba 2, 2025 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapishwa rasmi Jumatatu Novemba 3 Jijini Dodoma. Kulingana na taarifa ya serikali iliyotangazwa kupitia runinga ya kitaifa ya TBC, sherehe ya uapisho itafanyika katika uwanja wa kijeshi ambapo raia wa kawaida...
  13. K

    Jeshi chukueni nchi na CCM ivunjwe na ijiunde upya baada ya Katiba

    Jeshi chukueni nchi na CCM ivujwe na ijiunde upya baada ya katiba. Stadium zote zirudishwe kwa serikali kuu na Chama kiundwe upya lakini hii CCM ya sasa ambayo ndiyo imesababisha kuchomwa kwa hii nchi kote ni lazima iwajibike na kufutwa na jeshi. Mateso yote yameletwa na CCM
  14. Chanzo kutoka UN: Samia yupo mpaka wa Tanzania na Uganda. Jeshi malizeni kazi, mkamateni mkabidhini kwa Wahaya wamalize kazi

    Inaelezwa kuamkia jana Samia alikimbilia Uganda na kuhifadhiwa kwa Museveni. Chanzo kutoka UN kimedai amehifadhiwa mpakani mwa Uganda na Tanzania. Wazalendo wetu mliotukuka JWTZ tunaomba kikamateni hicho kikaragosi na mkikabidhi kwa Wahaya wakishughulikie kwa damu alizomwaga za kina Mdude...
  15. GE2025 Rais anachaguliwa na sio anajichagua yeye mwenyewe kinyume na Katiba. Jeshi kumpigia saluti ni uasi, yeye sio Rais wetu

    Rais anachaguliwa na sio anajichagua yeye mwenyewe kwa njia za kinyume na katiba jeshi kumpigia saluti ni uasi yeye sio rais wetu ni muhaini.
  16. R

    Kosa watalolifanya wakuu wa Jeshi la Wananchi

    Wakuu habari. Nimewaza na kuona kuwa kosa atakalo fanya kwanza CDF na wakuu wengine wa jeshi la wananchi ni kutotumia nafasi hii kuwakomboa watanzania kutoka kwenye uongozi usiofata sheria na wenye wizi wa kura nk. Kwani tujikumbushe jinsi Mkuu wetu MABEYO alivyosimama kuhakikisha Samia anakuwa...
  17. Sio wajibu wa jeshi kushughulika na vitendo vya kihalifu mtaani, hiyo ni kazi ya polisi.

    Wenye wajibu wa kukemea na kupambana na vitendo vya kihalifu ni polisi na sio jeshi la wananchi. Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, katiba na uhuru wa nchi. Vitendo vya kihalifu mitaani havihusiani na usalama wa mipaka ya nchi, katiba na uhuru. Wanaofanya uchaguzi haramu unaopelekea hadi...
  18. GE2025 CDF Mkunda: Wanaofanya vitendo vya kihalifu waache mara moja na wananchi endeleeni kuwa watulivu

    Ametoa agizo kupitia TBC, ITV. Video:
  19. Uchaguzi Ufutwe, Jeshi litangaze Uchaguzi mpya na wao ndiyo wausimamie, vyama vyote vishiriki, mshindi apatikane kwa haki.

    Hii ndiyo inapaswa kuwa way-foward itakayowatuliza wananchi: 1. Jeshi linapaswa lifute uchaguzi huu usio na relevance. 2. INEC ivunjwe na iundwe tume mpya shirikishi kutoka vyma vyote vya siasa. 3. Wanasiasa wote walioko mahabusu waachiwe hasa wa CHADEMA. 4. Uchaguzi mpya utangazwe ndani ya...
  20. JWTZ msiendekeze mazungumzo na Samia wala CCM. Tume ikimtangaza Jeshi la Uganda linaingia full force kumsaidia kutawala

    Nasema kwa mara ya mwisho. JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais. Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu. Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…