jeshi

  1. Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

    Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi. Hakuna kitisho cha vurugu...
  2. Tetesi: MAANDAMANO 23/09: Viongozi 23 wa CHADEMA Kata ya Bunju wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani

    John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.
  3. U

    Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: One of those named by Hezbollah, Ahmed Wahabi, is identified by the terror group as a “commander.” Hezbollah rarely refers to its senior...
  4. Mwingine Auawa; Jeshi la Polisi Fanyeni Uchunguzi na Mtupe Taarifa.

    Pichani ni kijana aitwaye Aziz Alumini Njombi wa huko wilaya Nanyumbu. Huyu kijana hajihusishi na siasa wala mambo ya uanaharakati na kazi yake ni afisa usafirishaji a.k.a bodaboda. Mnamo tarehe ya jana yaani 19/9/2024 alitekwa na mtu aliyembeba kama abilia ila inasemekana hakuwa abilia bali...
  5. F

    Mwenyekiti wa CCM alipaswa kujibu “Mbowe must go “ na sio kuonesha jazba au kujibu hoja za kisiasa kama Amiri Jeshi Mkuu.

    Tumeona uwezo mdogo wa ku-engage katika siasa za malumbano ya hoja kati ya wanasiasa wetu. Nafikiri rais Samia mara nyingi hujisahau kuwa yeye pia ni kiongozi wa chama cha siasa kama walivyo wengine. Mwenyekiti wa CCM mama Samia alipaswa kujibu hoja za wapinzani kwa kutumia hoja za kisiasa na...
  6. Israel itawapa makaazi takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza. Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa; Tunduma INYALA YAWAYA MAKWENJE DARAJANI SHAMWENNGO IMEZU MWASHOMA ITEWE NYASHISHI NGUDU kIBOSHO Na maneo...
  7. Jeshi la israel kuiavamia Lebanon

    Baada ya mashambulizi yasiyokoma kutoka Lebanon kwenda Israel, siku ya jana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alikutana na maafisa wa kijeshi na usalama na kuja na uamuzi wa kuanza opereshenk nchini Israel. Siku ya leo jeshi la Israel limepeperusha vikaratasi vikiwasihi wananchi kuondoka...
  8. Polisi Arusha wachangia damu, wafanya matembezi kuadhimisha miaka 60 Jeshi hilo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, leo Septemba 13, 2024 wamechangia damu kwa wagonjwa wenye uhitaji na kufanya mazoezi ya kutembea katika Jiji la Arusha. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Debora...
  9. Rais mstaafu Jakaya Kikwete, alishawaonya CCM kuwa wasilitegemee Jeshi la Polisi kuwafanya wao waendelee kukaa madarakani

    Nakumbuka katika kikao Cha mkutano Mkuu wa CCM, iliofanyika jijini Dodoma mwaka 2012, Jakaya Kikwete, akiwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Taifa na wakati huo huo akiwa ni Rais wa Tanzania wa awamu ya 4 aliwaonya vikali CCM kuwa wasilitegemee Jeshi la Polisi, kuwafanyia siasa na badala yake wapambane...
  10. DOKEZO Kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi waliohamishwa hivi karibuni bila kupewa fedha ya uhamisho

    Dear Mama Samia, Pole na majukumu ya kulitumikia taifa letu. Kwa heshima na taadhima, naomba kukufikishia kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi ambao wamehamishwa hivi karibuni lakini bila kupewa senti tano ya uhamisho. Kwa upande mmoja, uhamisho huo wa ghafla na usio na posho za uhamisho...
  11. Ajira za maliasili, jeshi usu TFS JU 04

    TFS Tanzania wakubwa wanataka askari conservation ranger iii , changamkeni wakubwa.
  12. Askari wa Usalama barabarani mko wapi?

    Kwanini jeshi la polisi hamzishuhulikii daladala zinazosimana katikati ya barabara kwenye kushusha ama kupakia abiria? Ninyi polisi mmelizika kuchua viaftano tano ndio mmeshalizika kila dalalada isimame hata sehemu zisizo salama na kusababisha foleni ambayo huleta kero kwa watumiaji wengine wa...
  13. Wachechniya wamechukua tenda ya kuwafurusha Ukraine kutoka Kursk. Wamekomboa maeneo kadhaa huku jeshi la Urusi likisonga mbele Donest

    Wakati Ukraine ikikumbwa na hamas za chini kabisa katika vita na upungufu wa askari na silaha,imeelezwa wapiganaji kutoka Chenchnya wamefanikiwa kuwasukuma nyuma wapiganaji wa Ukraine waliojipenyeza ndani ya mipaka ya Urusi mwezi uliopita. Habari hizo zinakwenda sambamba na taarifa ya jeshi la...
  14. Pongezi kwa Jeshi letu kwa kuimarisha ulinzi na usalama Afrika ya Kati

    Luteni Jeneral Nyone amesema "Toka Kikosi kilipoanza jukumu katika robo ya mwisho ya mwaka 2023 Kimetekeleza majukumu yake ya Ulinzi wa Amani kwa weledi na kuweka mazingira salama na tulivu kwa Wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kuendelea na shughuli za kiuchumi na kijamii na pia kuwezesha...
  15. Jeshi la Ukraine lasonga mbele kunyakua ardhi ya Urusi Kursk region

    Vita sasa inaingia kwenye sura mpya Ukraine anasonga mbele kujinyakulia maeneo ndani ya urusi, 1300km square kilometers
  16. I

    Historia ya jeshi la wananchi la Tanzania

    Historia ya Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilianzishwa rasmi tarehe 1 Septemba 1964, baada ya kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika Rifles (TR) na vikosi vingine vya kijeshi. Hii ilifuatia uhuru wa Tanganyika kutoka kwa utawala wa Uingereza mnamo 1961...
  17. Serikali yatoa ndege za mafunzo ya awali kwa marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege za Mafunzo ya awali kwa marubani na Mabasi ya Usafirishaji vyote kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Pia soma: Rais Samia akitunuku Nishani ya Miaka 60...
  18. Jinsi Jeshi la Polisi linavyoendeleza vitendo vya kukikandamiza chama Cha Chadema, ndivyo wanavyokiongezea umaarufu

    Nakumbuka Kwenye ule mwaka wa mwanzoni ya 2000, aliyekuwa IGP wa wakati ule, Omari Mahita, alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kudai kuwa wamekamata "container" lenye visu vya chama Cha CUF, ambavyo vimepakwa rangi za bendera ya Chama Chao, ambazo alidai kuwa chama hicho Cha CUF...
  19. K

    Anaye liamini jeshi hili ya kiki na rushwa asimame!

    Inasikitisha sana kuona jeshi la Polisi limebaki kuwa na kiki na uongo uongo pamoja na rushwa. Ni nani leo hii Tanzania anaweza kuweka imani kwa jeshi hili? inasikitisha sana hasa sisi ambao wazazi wetu maisha yao yote walikuwa ni Polisi
  20. Rais Samia akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=2hnFr5PaqRs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Ikulu Dar es Salaam, leo tarehe 29 Agosti, 2024.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…