Siku hizi naambiwa ni Bora ukutane na jambazi akishakupora atakuacha salama kuliko ukutane na Polisi
Ukishawapa tu hela, wanakufunga pingu, wanakupeleka kwako ukawape hela nyingi zaidi, na wakizikosa wanakubambikizia kesi ya kukuta na bunduki.
Jeshi hili linatakiwa mabadiliko kuanzia kwenye...