jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

    NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization. Makundi ya kigaidi huteka, huua. Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
  2. PostGE2025 Jeshi la polisi wakiri kumshikilia Swebe wa CHADEMA na wenzake 3 kwa tuhuma za uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za uchochezi, akiwamo Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kyela, Victoria Swebe mkazi wa Lubele na wengine watatu ambao ni Bryson Kamembe, Asajile Mwasalemba na Elia Mwalumbu wakazi wa Wilaya ya Kyela. Kamanda wa Polisi Mkoa huo...
  3. Utata kifo cha MC Pilipili: Wauaji hawajajulikana. Polisi wasema alishambuliwa, uchunguzi unaendelea

    Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma likithibitisha kushambuliwa kabla ya kifo cha aliyekuwa mchekeshaji na mshereheshaji, Emmanuel Mathias maarufu MC Pilipili, suala la kuwatambua waliomshambulia, limebaki kuwa giza nene. MC Pilipili aliyekuwa mkazi wa Swaswa Jijini Dodoma, alifariki dunia...
  4. PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

    Wakuu Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68. Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa...
  5. PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  6. B

    Boniface Mwabukusi - Rasmi jeshi la polisi ni jumuiya chini ya mwamvuli wa CCM

    14 November 2025 Rais wa chama cha mawakili Tanganyika msomi Boniface A.K Mwabukusi pia asema bora jeshi la Polisi likapewa usajili na msajili wa vyama vya siasa Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=UMmGpqh9Ask
  7. Watanzania wote, migambo, scout, jeshi la Polisi, jeshi la Wananchi tuwakatae hawa vibaka wanaopanga vurugu nchini huu ndiyo uzalendo

    Watanzania wenzangu, wazazi, migambo, scout, jeshi la Polisi, jeshi la Wananchi, tusimame kidete Kuilinda amani yetu, pasitokee mtu wa kuhujumu amani na uchumi wa nchi yetu, tusimame kidete Halmashauri hakikisheni hakuna mtu wa kuhujumu maendeleo ya halmashauri zenu kwa vurugu mwageni ulinzi wa...
  8. PostGE2025 Jeshi la Polisi: Maandamano ni biashara na wachache ndiyo wanufaika

    Kupitia page ya Instagram ya Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa nasaha wakiwaasa wananchi kuepukana na maandamano kwani ni biashara ya wachache ambao ndiyo hunufaika zaidi, na wengi wa raia huumia zaidi kwa kupoteza kazi, biashara na madhara mengine mengi! "Maandamano ni biashara, wachache...
  9. PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
  10. Jeshi la Polisi Tanzania litabaki kuwa jeshi bora duniani, hongereni kwa kufanya kazi kizalendo

    Sote tumeona uzalendo na utendaji KAZI mzuri wa jeshi letu la Polisi, tumeona kujituma kwenu katika kulinda na kutetea Mali zetu zisiibwe au kuharibiwa na majangiri kwa kivuri Cha maandamano. Hamkuruhusu majangiri na vibaka waendelee kuchoma moto na kuharibu maduka yetu, popote mlipo mlipigania...
  11. Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche

    Jeshi la Polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa CHADEMA waliokamatwa kutokana na tuhuma mbalimbali. Kati ya viongozi hao ni Makamu wa Kiongozi wa CHADEMA, John Heche, Naibu Katibu Mkuu, Aman Golugwa, Kiongozi wa Chama Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu 'Boni Yai' pamoja na...
  12. Jeshi la Polisi lawashikilia vijana 172 kwa tuhuma za kufanya vurugu na uharibifu wa mali za watu tarehe 29/30 Oktoba

    Msako mkali ikiendelea jijini mwanza ili kuwabaini vijana waliosababisha vurugu na uharibifu wa Mali za watu ikiwemo maduka kuharibiwa vibaya na kuchoma moto magari, vituo vya mafuta huku wakijificha kwenye kivuli cha maandamano. KATAA UHARIFU GARI NYINGI ZA WATOTO WA SHULE ZIMECHOMWA MOTO...
  13. K

    Serikali na Polisi, chonde mkatuepushe maandamano yanayopangwa 9 Disemba

    Zimeanza chokochoko za maandamano kuelekea siku ya uhuru kama ilivyokua siku ya uchaguzi huku serikali na raia wengi tu tulipuuzia kwamba watanzania ni waoga na hakutakua na maandamano., matokeo yake kila mtu ameyashuhudia. Hali ilikua mbaya mno kipindi amani ilipotoweka na hadi sasa usalama...
  14. Chukueni orodha ya waandamanaji wote ili wasiwe na sifa ya kuajiriwa na kuwa Watumishi wa umma

    Tunaomba kuwaondolea sifa ya kuajiliwa waandamaji wote waliobainika kuleta vurugu tarehe 29/10/2025. Hivyo basi utumishi chukueni orodha za waandamanaji kutoka Polisi then zitunzeni kwenye data zenu ili wote walioshawishi/ KUSHIRIKI wizi na uharibifu wa miundombinu na Mali za watu binafsi na...
  15. PostGE2025 Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi

    Wakuu, Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kuhusu operesheni inayoendelea ya kuwasaka watu waliopanga na kutekeleza vitendo vya uhalifu, uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali za umma kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ya nchi. Kwa mujibu wa taarifa...
  16. UTAFITI: Una imani na Jeshi la Polisi la Tanzania?

    Wote tunajua jukumu na wajibu wa jeshi la polisi. Lakini kwa hivi karibuni kumekuwa na migogoro sana baina ya wananchi wa kawaida na majeshi ya ulinzi na usalama; hasa jeshi la police. Kila mtu akiwa na maoni yake juu yao. Je wewe una maoni gani?
  17. GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

    Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025. Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer. Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. ====...
  18. Jeshi La Polisi: Dafroza Jacob aliugua ghafla wakati anaandika maelezo. Alifariki wakati anapatiwa matibabu

    Wakuu, Jeshi la Polisi Tarime/Rorya limethibitisha kifo cha Dafroza Kokwangua Jacob maarufu Mama Frank, aliyefariki baada ya kuugua ghafla akiwa kituoni akiandika maelezo. Polisi wamesema uchunguzi utafanyika kubaini chanzo cha kifo
  19. K

    Amri ya kuua ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania ilitolewa na nani?

    Hii amri ilitokea wapi na lini iliingizwa kwenye taratibu za kikazi ndani ya jeshi la polisi Tanzania? Kama amri ni kudhibiti vurugu/fujo kwa kutumia nguvu; maana yake ni kuua wahusika? Hakuna njia nyingi nyingine za kudhibiti ghasia fujo; bali kuwaua wahusika? Watu wanakimbia, polisi anapewa...
  20. GE2025 Kwa tuliyoyaona na Hatua zilizochukuliwa na Vyombo vyetu vya Usalama; Tunahitaji Silaha Kujilinda

    Naleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA? Yaliyotokea ni wazi yana ripple effects kuu tatu: 1. Maandamano kutokutokea tena kwani watu wataogopa kuuwawa. Hii scenario naipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…