Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 12 Machi,2026, katika ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Jimbo la Nebraska nchini Marekani (Nebraska National Guard)...
Jeshi la Marekani limethibitisha Ndege yake ya Kijeshi kuanguka nchini Iraq.
Ndege hiyo ya kijeshi ya KC-135 ilianguka baada ya ajali kati ya Ndege mbili.
KC-135 ni Ndege iliyotengenezwa na Boeing ambayo hutumiwa kusafirisha na kuhamisha Mafuta.
Makao Makuu ya kanda ya Jeshi la Marekani...
Maafisa wawili wa Marekani wamekiambia chombo cha habari cha Reuters, kuwa Jeshi la Marekani linajiandaa kwa uwezekano wa operesheni endelevu za wiki moja dhidi ya Iran ikiwa Rais Donald Trump ataamuru shambulio.
Ufichuzi huo wa maafisa hao, ambao walizungumza kwa sharti la kutotajwa majina...
Hii ni ishara kuwa bado kutakuwa na safari ndefu ya mkanganyiko ndani ya Venezuela. Jeshi tiifu kwa Maduro. Wapinzani hawakubaliki na wananchi
Makamu wa Rais anakosa nguvu za kisheria kufanya makubaliano yoyote.
Yaani ni kama Kongo nyingine hivi.
-------------------
Jeshi la Kitaifa la...
Ndege za jeshi la marekani zinaingia kwa wingi uingereza na nchi zingine za ulaya ikiwemo uturuki
Inaongeza wasiwasi kwamba huenda Iran itakumbwa na kile kilichoikumba Venezuela
Iran kwa upande wao wameweka bango lenye picha za majeneza yenye bendera za marekani na Israel yenye ujumbe 'jalini...
Wamerekani wamekuwa wakionesha Dunia kuwa Hesabu ndio kila kitu Jeshini kwani 100% ya maamuzi yanayofanyika jeshini/vitani ni Hesabu & Physics
Mfano:
1. Kurushusha mabomu ni hesabu kwa huku kwetu ipo kwa kidato cha tano Phy/maths
2. Mambo mengi vitani yanahitaji prediction (probability) ipo...
BBC: Rais wa Venezuela akamatwa na jeshi la marekani ndani ya nchi yake kwa mda mchache tu.
Sasa kwenye nchi ya cuba huku kila mtu ni mpenda rushwa akitakiwa kukamatwa na ICC ni dakika chache tu washa mtoa chura kiziwi.
Rais wa Marekani, Donald Trump amedai Taifa hilo limefanya shambulio kubwa Nchini Venezuela na kuwakamata Rais wake, Nicolas Maduro, na mkewe na kusafirishwa kwa ndege kutoka nchini humo
Kupitia chapisho lake kwenye mtandao wa Truth Social, Trump ameandika: “Marekani imefanikiwa kutekeleza...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa Marekani imefanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya Venezuela na kufanikiwa kumkamata Rais wa nchi hiyo, Nicolás Maduro, pamoja na mke wake.
Kupitia taarifa aliyotoa kwenye mtandao wake wa Truth Social, Trump amesema operesheni hiyo...
Najua Ubalozi wa Marekani mpo Active JF
Kwa kuwa Serikali ya Marekani imetoa tamko rasmi kuoneshwa kuguswa na ushenzi unaofanywa na Serikali ya CCM na Samia dhidi ya Watanganyika sasa tunawasiliaha maombi rasmi kwa Rais Trump atume jeshi lake lije kulinda Waandamanaji tunaotarajiwa kuandamana...
Nawashangaa sana wa Afrika kwa ufinyu wa kufikiri , miaka ya hivi karibuni jeshi la Marekani limekuwa likitoa nafasi za kazi katika jeshi lao kwa watu wa mataifa mengine na wamekuwa wakitoa mshahara mzuri wa kushawishi , wa Afrika kutokana na kuwa na mihemko na ulimbukeni wanakimbilia huko...
Manhattan Project ulikuwa ni mpango wa siri wa Marekani wa kutengeneza silaha ya nyuklia (atomic bomb) wakati wa Vita ya Pili ya Dunia. Mpango huu ulianza mwaka 1939 lakini ukawa rasmi zaidi mwaka 1942, ukiendeshwa na serikali ya Marekani kwa ushirikiano na Uingereza na Kanada.
Wazo la bomu la...
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Marekani inaweza kumuua Supreme Leader Ali Khamenei kwasababu ni "easy target" na inajua wapi alipo ila haitafanya kwa sasa
======
Trump: US could kill Iranian leader but won't - "for now"
Donald Trump says the US knows where Iranian Supreme Leader Ali...
Wana jamvi, naomba kupata elimu kuhusu Watanzania wanao hudumu kwenye jeshi la marekani. Watanzania ambao si wanajeshi wa JWTZ lakini ni wanajeshi wa jeshi la Marekani,
Je wakirudi nyumbani wanatambulikaje na jeshi letu hasa wanapokuwa likizo?? Je hawa watu wanajiungaje na jeshi la Marekani??
Yani mngejua tu namna China anavyoichukia Marekani ya awamu hii na jinsi walivyo na hasira acheni tu, Soko kubwa la dunia nzima lipo Marekani wao wamepigwa pin kwa ushuru mrefu halafu nchi zingine wamepunguziwa 10 % tu, Hawajakaa sawa Marekani imewashinikiza Panama kuwafukuza wachina kwenye...
Kama unayajua piga kimya.
Kama huyajui haya hapa:-
Mambo 7 muhimu kuhusu Aircraft Carrier ya Marekani:
Idadi ya Waajiriwa – Kila aircraft carrier ya Marekani ina wastani wa 5,000 – 6,000 waajiriwa, wakiwemo marubani, wahandisi, wahudumu wa meli, wataalamu wa silaha na wahudumu wa matibabu...
Aliyekuwa mkuu wa CoastGuard Commandment Marekani Linda Fagan ( four star admiral) kafukuzwa kwenye kota za Serikali kwa kupewa notice ya masaa matatu.
Linda ambaye alitenguliwa na Trump kwenye nafasi yake siku mbili tu baada ya kuapishwa kuwa rais wiki mbili zilizopita alipewa siku 60...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.