jeshi la marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sir John Deere

    Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

    Jeshi la Urusi hii Leo limeuzuia msafara wa Majeshi ya Marekani uliokua unataka kuingia katika mji Qamishlo nchini Syria na kuualazimisha kugeuza kurudi ulipotoka. Source: Visegrad24 X account
  2. U

    Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Mambo bado mazito huku maandalizi mazito yanazidi kufanywa. Jeshi la Marekani limeamua kufunga mitambo ya kisasa kabisa ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu huko Israel Yadaiwa ni sehemu tu ya maandalizi ya Israel kuishambulia Iran. Mitambo hiyo aina ya...
  3. Webabu

    Pamoja na kipigo chote hicho, jeshi la Marekani lasema halitaweza kuwazuia Houth kwa njia ya vita.laomba itafutwe njia mbadala kupambana nao.

    Tamko la aina hiyo limeshatolewa huko nyuma na makamanda wa jeshi la Marekani na ikaonekana kama ni utani.Kwa mara nyengine limetolewa na kamanda mkuu wa vikosi vya wanamaji wa Marekani eneo la mashariki ya kati,vice admiral George Wikoff. Katika hoja zake kamanda huyo amekumbusha kuwa vikosi...
  4. OCCID Dominik

    Kwa wale tunaofuatilia Masuala ya Kijeshi kimataifa naomba ufafanuzi wa hili

    Habari ya wakati huu nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano🖐️🖐️🖐️, Isee kwa wale mnaofuatilia au kufahamu maswala ya kijeshi kuna jambo huwa naliona ama kulisikia linanichanganya nisijue why. Ipo hivi ni kwanini jeshi la ulinzi la Marekani hupenda kutumia kamandi ya wanamaji (MARINE...
Back
Top Bottom