Elimu siyo tu madarasa ya kifahari, bali ni msingi wa maadili, busara, na hekima. Watoto wa viongozi wanaosoma shule za kawaida kama St. Kayumba hukutana na changamoto nyingi zinazowajenga kiakili na kimaisha. Hawa watoto hujifunza kuwa na nidhamu, kuwaheshimu watu wa kila hali, na kuthamini...
Wakati akifanya mahojiano na Millard Ayo hivi karibuni, Jesca Magufuli ameeleza kuwa Rais Samia Hassan ameendelea kuwa na mchango mkubwa katika familia yao.
Ameeleza kuwa bado anaendeleza matibabu ya bibi yao ambaye amekuwa akiugua hata kabla John Magufuli hajafariki. Aidha wadogo zao waliokuwa...
Ushabiki wa kisiasa pembeni, nafikiri mahojiano haya yametupa taarifa nyingi mpya za maisha binafsi na ya kifamilia ya Hayati Magufuli ambazo zilikua hazifahamiki hapo kabla.
Kipi umejifunza kuhusu hayati Magufuli na familia yake kupitia hii interview?
Binafsi kwa mara ya kwanza nimejua...
CCM kuweni makini msirudie makosa tena.
Hawa watoto wa viongozi hawawezi Kufanya Kazi nyingine .
Au waliambiwa wao ndio wanastahili kuongoza hii nchi .
Gharama alizompa Millardayo kwanini asingesaidia kununua hata madawati
We are not serious.
To be honest Jesca Magufuli, she is not smart and visionary.
Hakuna kitu kibaya Kama hawa watoto wa viongozi kuamini kuwa they deserves kuwa viongozi wao tu.
Wananchi wa Chato mpigeni chini huyo Jesca Magufuli.
Mirrad ayo unatumika vibaya.
Kuna siku Baba alisema anatutoa OUT...! Tulijiandaa tukavaa vizuri ila tukashangaa tunaenda kukagua daraja la Kigamboni na sisi tukageuka wasaidizi wake akawa anaomba tumpigie picha...! Tulivyomaliza akasema OUTING imeisha turudi nyumbani...! Akatupatia hela kidogo"-JESSICA
Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.
Katika kumbukizi ya Miaka minne ya kifo cha Magufuli yaliyoazimishwa Wilayani chato, Binti wa HAYATI Magufuli, Jesca alihutubia mamia ya wanacchi waliohudhuria katika Ibada hiyo. Moja ya sehemu ya hotuba yake nanukuu "katika safari yake ya uongozi ALIJIFUNZA toka kwa viongozi waliomtangulia...
Familia ya Hayati Rais John Pombe Magufuli ikiongozwa na Mtoto wa Dr. Magufuli aitwaye Jesca Magufuli, imeongoza maandamano ya amani leo March 16 2025 Chato, Geita kumuenzi Hayati Magufuli na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza na kukamilisha miradi iliyoanzishwa na Hayati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.