Jesca Magufuli asimulia moja ya OUTING ya baba yeke

Jesca Magufuli asimulia moja ya OUTING ya baba yeke

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,963
Reaction score
28,205
Kuna siku Baba alisema anatutoa OUT...! Tulijiandaa tukavaa vizuri ila tukashangaa tunaenda kukagua daraja la Kigamboni na sisi tukageuka wasaidizi wake akawa anaomba tumpigie picha...! Tulivyomaliza akasema OUTING imeisha turudi nyumbani...! Akatupatia hela kidogo"-JESSICA
FB_IMG_1745866829575.jpg
 
Kuna siku Baba alisema anatutoa OUT...! Tulijiandaa tukavaa vizuri ila tukashangaa tunaenda kukagua daraja la Kigamboni na sisi tukageuka wasaidizi wake akawa anaomba tumpigie picha...! Tulivyomaliza akasema OUTING imeisha turudi nyumbani...! Akatupatia hela kidogo"-JESSICAView attachment 3318980
Nani ana namba yake... hapa kuna buku limezagaa zagaa
 
Back
Top Bottom