Mama Hawa hawakurudi ccm kwamba wanaipenda nchi au wanataka siasa safi walikuja kufata vyeo vya udc au UuRC
Mama wakumbuke Hawa watu walizunguka nchi nzima kuisema chadema ilivyo mbaya na Ili Hali haishiriki uchaguzi.
Wenje aliongea mpaka kujikojolea jukwaa
Mzee wasukuma ndani yeye ni ccm...
Anaaandika Mwanasiasa Jerry Muro kupitia ukurasa wake wa Instagram,. 👇👇
"Wakikuulza naendeleaje waambie naendelea vizuri zaidi ya wao, Tunashukuru kwa mkutano mzuri wa Mgombea Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama cha mapinduzi CCM Mheshimiwa Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan katika...
Jamani nimeitizama hii video ya Jerry Muro hadi machozi yakatoka! Anaonesha kabisa hayupo sawa na anahitaji msaada wa haraka mnoo
Video inamuonyesha akiwa kwenye mkutano wa kampeni ya mgombea urais wa CCM halafu cha kushangaza amesimama kwa wanazengo wengi kama vile yeye ajawahi kuwa kiongozi...
Ilikuwa ni moja ya mvutano huku Jerry Muro akionekana akimlalamikia moja ya kiongozi ambaye Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru Dkt. Wilson Mahera Charles kwa kuchelewa kufika katika ziara. Naye wakati anaambiwa hivyo alionyesha kucheka na Muro kutafsiri kama kitendo cha...
Ikiwa imebaki siku moja kuhitimisha zoezi la uchukuaji fomu za Udiwani, Uwakilishi na ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makada mbalimbali wameendelea kujitokeza na kuchukua fomu za kuomba ridhaa ndani ya CCM, mchakato uliotawaliwa na sura ngeni na wale makada maarufu kwenye siasa za...
Jerry Muro sikupingi wewe kumjibu Gwajima sababu alijitokeza hadharani kuongea aliyoyaongea na kujibiwa ni sawa .
Sasa wewe unakuja kumjibu halafu unabagaza hadi viongozi wa nchi hii waliotoa maisha yao kupigania nchi, unasema utekaji ulikuwepo tangu enzi ya mwalimu..Yani unamwingiza baba wa...
Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale...
Wakuu
Nimesikiliza press ya Jerry muro nimelia sana yn ningekua ndugu yangu luka ningesema nimebubujikwa na machozi
Yani kanavoongea unaona kabisa kama njaa anafukuzia teuzi
Yan mtu kabsa unaitisha press kusema lazma umtetee mtu kwa sababu alikuteua?
Kwahiyo kukuteua tuu imetosha kumtetea...
Mimi ni mwanaCCM niliye na kadi hai ila napinga vikali tabia ya makada kuandaa mikutano na waandishi wa habari wakiwa hawajajipanga. JERRY MURO kaharibu sana zaidi ya kujenga. Kakurupuka mno na kuongea uharo mtupu. Ishu ya Gwajima ni sensitive na ya kujibiwa kiakili kwa sababu Gwajima pia ni...
Jerry Muro naona huelewi kama hakuna mwekezaji anaweza kwenda kufanya uwekeza kwenye nchi ambayo anajua muda wowote anaweza kutekwa na watu wasiyojulikana.
Mwanasiasa Jerry Muro amezungumzia ujumbe uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima kwa kusema “Sijui unatafuta nini baba yangu, kuna kitu fulani naona una kitu, kuna kitu unakitafuta, lakini hakuna kitu kimefanyika Rais Samia hajawahi kutolea maelekezo.”
Soma Pia: Askofu...
Wakuu,
"Tunajua Rais naye kuna saa anahemewa. Lakini mzee, sisi tuko kwa ajili ya kumlinda Rais wetu. Hebu kaa sawasawa. Sitaki kukujibu kwa sababu nitakukosea adabu. Naogopa kushindana na wewe, najua mashindano yako. Najua unapenda mashindano. Najua umeshahindana na watu wengi huko ulipotoka...
Hili lijitu baada ya kukuona limesahauliwa na Uongozi wa Kifisadi wa Awamu ya Sita sasa limeona like na Ujuha na Upumbavu wa kijinga ili lionekane linatetea Awamu ya Sita.
Huwezi kuhalalisha UTEKAJI na UUAJI unaoendelea nchini, Kwa kusema Et "Toka Enzi za kambona watu waliotekwa".
Swali la...
Ulipotea kwenye ulingo wa siasa, now you want to maka use of this "opportunity" to impress Samia na hivyo akukumbuke.
Jaribu unaweza kupata bahati!
Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Wakuu,
Kwenye press yake leo, Jerry Muro amesema kuwa Gwajima aache kutengeneza "drama" na kwamba anapaswa kutambua kuwa kwa sasa wako kwenye kipindi cha Uchaguzi.
"Ningependa kukwambia kuwa huu sio wakati wa kuanza kutengeneza drama za kutuondoa kwenye Uchaguzi Mkuu. Huu ni wakati taifa...
Wakuu,
Jerry Muro kwenye press amesema kuwa Gwajima anatakiwa arudi kwa Dkt Slaa amuulize yaliyomo kwenye kitabu chake cha nyuma ya pazia.
Muro amesema kuwa hata Dkt Slaa alishawahi sema kuwa kuna baadhi ya vyama vya siasa vinateka watu ili kuichafua serikali ambapo katika press yake amemtaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.