jemedari said

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Anaandika Jemedari Said kuhusu sakata la Simba

    Kuna tafsiri ambayo wana Simba SC Tanzania wanayo kwa Mwenyekiti wa Klabu yao MURTAZA MANGUNGU na kuna tafsiri wana Simba wanayo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi CRESENTIUS MAGORI. Bahati mbaya sana nadiriki kusema wengi wanawatafsiri hawa watu TOFAUTI (Vice Versa) na ukweli ulivyo. Mmoja...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Jemedari Said ajitosa kuwania Ubunge Mtama

    Mchambuzi wa soka na mchezaji wa zamani wa timu ya Kariakoo Lindi, Jemedari Said Kazumari (kushoto) amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Mtama leo Juni 30, 2025. Kazumari amekabidhiwa fomu hizo na Katibu wa Wazazi Wilaya ya Lindi Vijijini katika Ofisi ya CCM wilayani...
  3. JamiiForums Tanzania Ameandika Jemedari Said Bin Kazumari

    Ameandika Jemedari YATWAA UBINGWA WA 31 KWA KUIZABUA SIMBA 2-0. Timu Bora kiwanjani (YANGA) imeshinda ✅ Simba wamezidiwa kuanzia Unyayo hadi Utosi ✅ Marefa wamechezesha kwa KIWANGO cha KIMATAIFA ✅ Yanga SC wamestahili kila walichopata msimu huu, ndiyo TIMU BORA NA IMARA ZAIDI ✅ Simba SC...
  4. JamiiForums Tanzania Mzee Mpili: Hatuchezi, na Jemedari Said acha kuongea ujinga, nitakuvisha sanda nyeupe

    Mzee Mpili anasisitiza Yanga haichezi, na Jemedari Said aache kuongea ujinga. Ameapa mara 3 kumvika sanda nyeupe.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwako Jemedari Said, JefLea na Collegemate Wilson Oruma

    Watajwa hapo juu tangu juzi hadi leo baada ya habari ya Yanga kuandika barua kuomba pointi 3 kutoka Bodi ya Ligi, Mmekuwa kwa kujiamini mkidai kuwa Yanga hawezi kupata pointi hizo kwakuwa Mechi iliahirishwana na Bodi ya Ligi na Simba asingeweza kupeleka timu uwanjani wakati mchezo umeahirishwa...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu Jemedari Said ndio maana Yanga hawampendi, amenyooka sana

    Rais wa Yanga amekaa na kamati yake ya utendaji wanadai hawatacheza mechi itakayopangwa.Yaani vichwa vyote vile vinatarajia kupewa point 3 za mezani!
  7. JamiiForums Tanzania Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba

    Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba "Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”. Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Haji Manara Yuko Wasafi FM, Ally Kamwe kaenda Crown FM kwa hasimu wa Haji Jemedari Said, Yanga is very unprofessional

    Cjui wanayanga mumsikilize nani, Manara Yuko Wasafi badala ya kuhamasisha watu waende uwanjani kesho yeye anatamba Simba haitofunga Yanga hadi mwaka 2030, huyu mwenzake naye kavalia bukta na mjezi wa Yanga akiwa na wapambe wake wameingilia Crown FM ambayo Manara hawezi kwenda kwa sababu Yuko...
  9. JamiiForums Tanzania Jemedari said: wachezaji toka nje ni Kwa ajili ya mechi za kimataifa

    Jemedari said kasema uwezo wa wachezaji toka nje waliosajiliwa Simba na Yanga , uhalali wao wa kusajiliwa unatakiwa uonekane kwenye mechi za kimataifa na siyo kwenye mechi za ndani ya nchi. Ana hoja, asikilizwe.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said CEO mbabaishaji mkubwa asiejielewa

    JKT ilimpa kazi Jemedari ya kuwa mtendaji wake mkuu lakini pia jamaa ni mwajiriwa wa Crown FM, unajua being a CEO is a big task, mipango yote ya klabu iko kwako, Sasa huyu jamaa ukimsikiliza anapokuwa hewani anavyoshambulia watu personal badala ya issues unaweza sema ni msomi au pundit katika...
  11. JamiiForums Tanzania CEO wa JKT, Jemedari Said ataweza kuikosoa timu hiyo redioni Crown FM?

    Nauliza tu huyu jamaa ambaye huku ni mchambuzi wa mpira Crown FM huku ni CEO wa JKT Tanzania ataweza kutofautisha vipi haya mawili? Asije kuongea kwa hisia akajikuta amefungiwa muda mrefu TFF
  12. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

    asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini. Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
  13. JamiiForums Tanzania Niliposema Mayele ni overrated na ni striker wa kawaida mlidhani natania

    🛑JEMEDARI SAIDI Niliposema Mayele ni overrated na ni striker wa kawaida mlidhani natania, nadhani kila mtu ameshuhudia jinsi alivyo wa kawaida sema anapambwa tu na Gongowazi FC. Msimu wa pili mfululizo sasa Mayele anakosa kiatu cha ufungaji bora NBCPL, mwaka jana kwa George Mpole mwaka huu kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said ni aina ya watu wenye chuki na wivu mbaya

    Leo ndio nimeona sura dhahiri ya Jemedari Said ni mtu mwenye wivu na roho yenye chuki kali sana kwa watu anaohisi wana utofauti na mitazamo yake. Hii imetokea leo muda wote alikua kimya hata pale yaliposemwa maneno ya hekima na yanayohitaji kuungwa mkono yeye alichagua kuchuna. Ila kwenye...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

    Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho. Kutokana na kutofautiana ubora kufunga goli kwenye ligi ya mabingwa ni vigumu zaidi kuliko Shirikisho hivyo magoli ya...
  16. JamiiForums Tanzania Jemedari Said wa EFM: Gael Bigirimana hakuwahi Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza, wana Yanga SC walidanganywa pakubwa

    Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe. Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Jemedari Said: Kipa wako akiwa "Man of the Match" basi mjue mlizidiwa

    Comment ziwe fupi fupi tafadhali.
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?

    Mtangazaji Maulid Kitenge Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya? Mchambuzi Jemedari Said Ushahidi wa Tuhuma za Haji Manara ziko wazi na hata Yeye Mwenyewe amekiri kupitia Msamaha wake aliouomba na Kuukiri. Mtangazaji Maulid Kitenge...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said amuumbua Mubashara Maulid Kitenge kwa Kushadadia Kwake Kuvuja kwa Jezi bora ya Simba SC

    "Nasikitika kuona tunaacha Kupambana kwa Matokeo ya Uwanjani tuko katika Upuuzi wa Kushindanisha Jezi na Kushadadia kama zimevuja au hapana. Arsenal FC ndiyo Klabu yenye Jezi nzuri mno ila Uwanjani ina Matokeo mabovu na ya Aibu. Kama wana Habari sidhani tunapaswa Kushangilia Kuvuja kwa Jezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…