Yo my Gs, listen up real quick!
Hii dunia tunayoishi sai, si kama zamani. Mchezo umebadilika, na kama hujaamka, unaweza kuishia kujichimbia kaburi ukiwa bado kijana. Bro, wanawake siku hizi sio wote ni fair game—some got traps set like landmines, ukikanyaga tu, boom! Kesi ya ubakaji juu yako...