Mahakama Kuu Kanda ya Tanga imewahukumu kifungo cha maisha Hamisi Jamali Mkufya (22) na Abdallah Sebo (20), wakazi wa Mbugani, kwa kosa la kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 16 mkazi wa Mikanjuni, Wilaya ya Tanga.
Tukio hilo lilitokea Desemba 26, 2023 katika eneo la Mikanjuni, Wilaya ya...