je ni kweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Kamal Kharaz amesema Iran ipo tayari kwa vita vya muda mrefu

    Katika mahojiano maalum, Mshauri wa Sera za Mambo ya Nje katika ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Kamal Kharazi, alimwambia mwandishi wa CNN Frederik Pleitgen kuwa ni “simulizi la uongo” kudai kwamba uwezo wa kijeshi wa Iran umepungua kwa kiwango kikubwa, na akaongeza kuwa haoni tena “nafasi ya...
  2. Traxtion

    Je ni kweli kuwa jiji la Tanga limeacha kukua?

    Nimekuwa nikisikia sana kuwa jiji la Tanga halikui, linabaki hivyo hivyo miaka nenda miaka rudi. Sasa sijawahi kufika Tanga, je madai haya yana ukweli wowote? Kama ni kweli serikali itafute namna ya kufufua hili jiji liendelee kukua. Wajenge hata vyuo vikuu, viwanda au namna yoyote tu jiji liwe...
  3. Mkalukungone Mwamba

    SI KWELI Je ni kweli Rais wa Marekani aionya Tanzania isiwajaribu?

    Kuna hii taarifa inasema Rais wa Marekani aionya Tanzania isiwajaribu? Je ni taarifa ni kweli au
  4. Dalton elijah

    Tukio hili limetokea kwenye hifadhi ya Serengeti

    Kumekuwepo na video zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania zikionyesha magari yakisombwa na maji katika mto. Baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo wametoa maoni wakidai kuwa tukio hilo limetokea katika Hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania. Waziri wa Maliasili na...
  5. opondo

    Je ni kweli hapa Tanzania soko la teknolojia na tehama ni kwenye kutengeneza na sio kuunda?

    Ninaona madogo wengi wanamaliza course ya computer au ICT, au course yoyote Ile ambayo iko related na mambo ya computer lakini kichwani hakuna kitu kabisa, ata wachache wanaojua ambao Wana uwezo wakutengeneza website, (wanaitwa madeveloper) wanakuta kazi zao hazipo, kampuni zikitaka website au...
  6. ChekoFagia

    SI KWELI Je, nukuu/maneno haya yametolewa na mzee Warioba?

    Wakuu Katika pitipita zangu nimekutana na hizi kauli ambazo zimetolewa na Mzee Warioba ni kweli?
  7. comrade_kipepe

    Kuna kitu cha kushangaza naambiwa hapa, je ni kweli?

    Mwenyeji wa Rombo tarakea hapa ananiambia wakazi wa Tarake, Rongai na maeneo mengine ya Rombo maji ni ya kuunga unga, wakati huo Kuna Bomba kubwa sana linatoa maji kutoka kwenye chem chem za chin ya mlima kilimanjaro linapeleka maji kenya yani mpaka nairobi kupitia Leitoktok. Yani wakazi wa...
  8. Dalton elijah

    Je ni kweli Samsung ina App ya Siri Ambayo Inakusanya Taarifa za Wateja Wake

    Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Kwenye Mitandao wa Facebook Ikieleza kuwa Simu za Samsung Zina App Ambayo Inakusanya Taarifa za Wateja Wake..je ukweli wa Taarifa hii Upoje? Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa...
  9. ELI COHEN

    Je ni kweli haya maneno yalitoka kinywani mwa sheikh yahaya au ni stori tu?

  10. imhotep

    Je ni kweli M23 nao wamekuja kulinda Bandari?!

    Wakuu, wakati naperuzi huko Jasusi TV nimekutana na hii habari ya kutisha sana, wadau wa maandamano ni bora muahirishe hadi siku za usoni https://youtube.com/shorts/3GCF3WoAMNg?si=QArzIsuclu4_26AG
  11. Dalton elijah

    SI KWELI Masanja Mkandamizaji amechapisha 'Wakatoliki wasipoteze muda kumtafuta padri Nikata'

    Jamii Check Kuna Graphics Ambayo Inasambazwa Katika Mitandao Ya Kijamii Ikionesha Chapisho La Masanja Mkandamizaji Kuhusu Suala La Kutekwa Kwa Polepole Na Padre Nikata Kuwa Ameuawa .je Chapisho Hilo Ni La Kweli Ama Uongo.
  12. upupu255

    SI KWELI Kuanika korodani kwenye mwanga wa jua kunasaidia kuimarisha afya ya uzazi kwa mwanaume

    Wakuu, kiusema kweli hii imenishangaza sana siku hizi huko Instagram na TikTok kila mmoja ni daktari huyu anasema wanaume wanatakiwa kuanika korodani zao ili kuimarisha mbegu za kiume. JamiiCheck na wataalamu wa maswala ya afya msaada wa hili tafadhali.
  13. baz kaiza

    Je, ni kweli hii nchi ni ya Familia zisizopungua 50 wengine sisi ni wapangaji au Vidampa

    Je kweli maana mpaka sasa Polepole anaongelea mafichoni ukiangalia hamna kosa ila ameongea yale yale familia 50 wasiyopenda. Lissu yuko jela tatizo nini kaongea yaleyale familia 50 wasiyoyapenda. Wengine tumebaki kua makasuku kuimba yale ambayo famallia 50 wanapenda Leo Maxi Mello walimwambia...
  14. DuaZaMama

    SI KWELI NIDA na RITA wametoa mkataba kwa shirika la Babu leo LTD kufanya marekebisho ya majina kwenye vyeti

    Wakuu Nimekutana na hii barua ambayo inasema NIDA na RITA wametoa mkataba kwa shirika la Babu leo LTD kufanya marekebisho ya majina kwenye vyeti? kuna ukweli wa hizi taarifa?
  15. S

    Je ni kweli zipo dawa mitishamba herbal za kusafisha mishipa ya damu

    Wakuu na wataalam je zipo kweli na zinafanya kazi ? Maana nahitaji ya cholestrol na Pressure
  16. ANOLD MEDIA

    SI KWELI Je, hiki kirusi kweli kama media zinavoripoti?

    JE NI KWELI HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI? KAMA BAADHI MEDIA ZINAPOST INSTAGRAM ZIKISEMA HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI KIKIWA KIMEKUZWA KWENYE ELECTRONIC MICROSCOPE BY ANOLD MEDIA
  17. Nehemia Kilave

    Je lina ukweli kwa kiasi gani hili "never trust colleagues at work/schools /Colledge/Universities " ?

    Habari , kwa mliwahi pitia hii hali comedian Tom Daktari kapitia mnazungumziaje level of trusting colleagues. https://youtu.be/weyJaQlchV8?si=W4MHw5DiFsmeuVUQ
  18. Dalton elijah

    KWELI Bahari ya Galilaya yageuka Nyekundu kama damu

    Nimekutana Na Chapisho Kwenye Mtandao Wa Instagram Likieleza Kuwa Bahari Ya Galilaya Imegeuka Nyekundu Kama Damu Chapisho Hilo Limechapishwa Kwenye Ukurasa Wa Global Tv Online's Nimeona Nilete hapa Kwa Ajili ya Verification
  19. Mfilisti

    Je, ni Kweli Tumefika Mwisho wa Mapambano ya Ufisadi na Utawala Mbovu?

    Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi wagombea wa nafasi za juu katika siasa za leo wanavyonyamazishwa au kwa Maksudi kabida kutoonyesha msimamo dhahiri kuhusu mapambano dhidi ya ufisadi na utawala mbovu. Hoja hii muhimu inapuuzwa, hakuna Mgombea yoyote mwenye kuonyesha hatua atakazo fanya...
Back
Top Bottom