januari

Melipotis januaris, the January melipotis moth, is a species of moth in the family Erebidae. It was first described by Achille Guenée in 1852. The species has a wide range in the New World and has been recorded from Saint Kitts, Montserrat, Dominica, Saint Lucia, Saint Vincent, Grenada, the Greater Antilles, Florida and from Mexico to Paraguay.The wingspan is about 35 mm. It is a highly variable species. Some specimens show a strongly contrasting pattern whilst others are more uniform.
The larvae feed on Inga laurina.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuanzia Januari 01, 2026 Marekani imesitisha utoaji wa baadhi ya viza kwa raia wa Tanzania

    Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na programu za mabadilishano zilizo katika Makundi F, M, na J, pamoja na Viza zote za uhamiaji, kwa raia wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzindua jukwaa la vijana Januari 10, 2026

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, inatarajia kuzindua rasmi Jukwaa la Vijana (Youth Platform) tarehe Januari 10, 2025, katika Ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo utaongozwa na Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka, ambapo jukwaa hilo litatoa...
  3. JamiiForums Tanzania Ipo siku watakubali na kujuta waliyofanya Oktoba 29 kama Mkapa alivyojutia ya Januari 2001? Waliohusika watawajibishwa?

    January 27, 2001 yalifanyika maandamano yaliyoitishwa na chama kikuu cha upinzani CUF kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa Oktoba 2000 uliyompa ushindi mgombea wa CCM Dkt. Amani Abeid Karume dhidi ya mgombea wa CUF, Maalim Seif Hamad. Kutokana na maandamno hayo kulitokea vifo kadhaa...
  4. JamiiForums Tanzania BASATA: MC na DJ mtakiwa kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo 31 Januari, 2026

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekumbusha kuwa, kwa mujibu wa Kanuni za BASATA za mwaka 2018 na Tozo za mwaka 2025, waongoza sherehe, burudani na matukio (MC) pamoja na Manju Muziki (DJ) wanatakiwa kupata vibali vya BASATA kabla ya kufanya kazi za sanaa. BASATA imeelekeza wahusika wote...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna member Januari 1 atakuja na uzi wa alivyokula bata kwenye mkesha. Huo uzi utapata comments 300

    Mimi sio nabii ila tarehe 1 jan 2026, "daughter of long time" atakuja na uzi wa namna alikula bata kwenye mkesha na bwana wake na utapata comments 300 secretarybird Mjusi Sharobalo Vincenzo Jr Red black Mtashuhudia 😂😂 mambo ya "mkombozi wa chaputa"
  6. JamiiForums Tanzania Takwimu za Wizara zinaonesha kati ya Januari - Julai 2025 Wageni waliotembela Tanzania ni Watu Milioni 1.27

    Kwenye nchi yenye kilele cha Mlima Kilimanjaro hadi nyasi za hifadhi ya Serengeti mpaka kwenye fukwe za Zanzibar – Tanzania, hizi ni takwimu za Wageni waliotembela Tanzania ndani ya kipindi cha Januari 2025 hadi Julai 2025 ambapo jumla yao ni Watu Milioni 1.27, takwimu hizi ni kwa mujibu wa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani Kishapu ajitokeza kueleza utekelezaji wa ilani ya CCM Januari hadi Juni 2025, joto la kutetea kiti Oktoba linapanda

    Diwani wa Kata ya Kishapu Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Joel Ndettoson Juni 9,2025 ameendelea kuonyesha usimamizi mzuri ulioleta mabadiliko wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha Januari hadi Juni 2025 Kata ya Kishapu mbele ya...
  8. JamiiForums Tanzania Januari 20 mpaka Februari 18

    Kwenye kujenga mahusiano ya hiari na urafiki wa hiari, kama umezaliwa kwenye tarehe zinazoanzia Januari 20 mpaka Februari 18, wazingatie zaidi waliozaliwa kwenye tarehe zifuatazo mwishoni - zinazoanzia March 21-31 - zinazoanzia May 21-31 - zinazoanzia July 23-31 - zinazoanzia September 23-30...
  9. JamiiForums Tanzania Nimeota uchaguzi umesogezwa mpaka januari

    Alafu pia nimeota tembo mkubwa ameanguka nija panda na kufariki hebu nifafanulieni wajuzi wa ndoto
  10. J

    JamiiForums Tanzania TRA YAKUSANYA TRILIONI 7.53 JANUARI HADI MACHI 2025 .

    TRA YAKUSANYA TRILIONI 7.53 JANUARI HADI MACHI 2025 . Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanisi wa asilimia 101.32 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 7.43. Kwa mujibu wa taarifa...
  11. JamiiForums Tanzania Kati ya Januari - Februari 2025 simu 169 zimepigwa kuripoti matukio ya Ukatili kwa Watoto Nchini

    TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TEN/MET) NA LHRC JUU YA MATUKIO YA KUJERUHIWA NA KUUAWA KWA WANAFUNZI KUTOKΑΝΑ ΝΑ ADHABU KALI YA VIBOKO MASHULENI Dar es Salaam, Machi 11, 2025. Ndugu waandishi wa habari Tarehe 26 Februari 2025 ziliripotiwa taarifa kupitia vyombo vya habari za kufariki kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 18 kikao cha 8 Januari 6, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 kikao cha 8 Januari 6, 2025. https://www.youtube.com/live/v7nIhzdKxfM?si=_aHP4U9aOM7XzizK Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kuzingatia Sera za nje na kuimarisha mahusiano mazuri na mataifa mengine huku ikijikita zaidi katika kujitegemea...
  13. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 31, 2025

  14. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 30, 2025

  15. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 28, 2025

  16. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria: Matokeo yanatarajiwa kuanza kutoka muda wowote kuanzia leo Januari 27, 2025

    Kufuatia hoja iliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com kuwa Chuo Kukuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa na kawaida ya kuchelewesha matokeo ya mitihani, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo. Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Chuo Kuu Huria hakitoi kwa wakati matokeo ya Mitihani, tunalazimika kutoa...
  17. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 27, 2025

  18. JamiiForums Tanzania Serikali yaelekeza Wanafunzi pia wasomee nyumbani kwa Januari 27 na 28, 2025

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...
  19. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 26, 2025

  20. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza na Wanahabari kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, leo Januari 25, 2025

    https://www.youtube.com/live/P1Wh1QZrawc Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali atakuwa akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro na Dodoma kutoa Taarifa ya Serikali kwa Wanainchi Kupitia vyombo vya Habari .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…