janabi

Emad Khudhayir Shahuth al-Janabi (Arabic: عماد خضير شهوته الجنابي) (born c. 1965) was an Iraqi blacksmith detained in Abu Ghraib prison where he alleges he was abused by American military personnel and defense contractors.

View More On Wikipedia.org
  1. Profesa Janabi: Wakazi wa Rombo kunyweni maji sana

    Wakuu! Prof Janabi ametuma ujumbe kwa ndugu zetu wa Rombo mkoa wa Kilimanjaro kwamba maji na matunda ndiyo muhimu katika kula na kunywa katika kipindi hichi cha sikuu ya Xmass. Ila Janabi nimekunyooshea mikono juu kwa ushauri wako :D :EZclap: ================ Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali...
  2. Dkt. Janabi akijaribu hii kitu lazima aombe radhi

    Sato mkubwa mwenye kilo 3 abanikwe naviungo na chumvi ya wastani mpaka akauke vizuri, halafu atengwe kwenye meza ya Dr Janabi na kaugali kadogo kama ngumi, pilipili iwepembeni iliyotengenezwa kwa ustadi. Nawatakia usiku mwema.
  3. Kwanini Prof Janabi kafuta CV yake mitandaoni?

    Prof Janabi Aliweka CV yake mitandaoni kwa bashasha sana, ikiwa imejaa karibu kurasa 18 Huko Instagram na Twitter ilikuwa ni hongera tu zinamwagika CV yake ilipofika mikononi mwa Great thinker wa JF imechambuliwa kinagaubaga , Imeibua mambo mengi yanayoleta maswali ,kwanza kaonekana sio...
  4. Itakuwa vigumu Prof. Janabi kupenya ushindani wa Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ila tutumie vigezo sahihi kumpima.

    Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika mahitaji ya mtu anayetakiwa katika hiyo nafasi. Pamoja na hayo nakubiliana na wanaosema CV ya Janabi...
  5. L

    Wasifu Mzito wa Profesa Mohammedi Janabi uliomkosha Rais Samia wenye ubobevu na ubingwa hususan katika Magonjwa ya Moyo

    Majina kamili ni Profesa Mohamed Yakub Janabi ni mtaalamu wa magonjwa ya moyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mshauri wa Rais katika masuala ya afya. Profesa amekua mtafiti mkuu wa majaribio ya chanjo ya VVU (HIV Trial vaccine), Amehudumu kama daktari bingwa...
  6. Timu ya kampeni Prof. Janabi WHO ijumuishe wataalamu wenye uzoefu

    Prof Janabi anatosha WHO. Nashauri timu ya kampeni iwe na watu wenye exposure ya Kimataifa haswa. Huku Peramiho tunawaunga mkono. PIA SOMA - Ikitokea tukapewa nafasi nyingine, Prof. Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndugulile DG-WHO
  7. Prof Janabi kashindwa Muhimbili, Huduma ni mbovu, malalamiko ni Mengi, huko WHO hafai kuongoza.

    Tunapaswa kumuonyesha Raisi Samia kwamba haturidhishwi na mfumo wa huduma za Afya Tanzania, na ikiwemo Hospitali kuu ya Muhimbili unayo simamiwa na huyo anaye pigiwa upatu. Nchi ina mifumo mibovu sana ya Afya, tuwe serious hapa. Huduma za Hospitali ya Muhimbili sio nzuri na zinalalamikiwa...
  8. Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana...
  9. Kwanini Pendekezo la Samia kwa Janabi linaweza kuwa ni changamoto?

    Ikiwa Mkurugenzi Mkuu mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) atafariki kabla ya kuapishwa au kuchukua rasmi ofisi, taratibu zifuatazo zinafuatwa ili kuhakikisha uongozi unaendelea: 1. Uongozi wa Muda: Mkurugenzi Mkuu aliyepo madarakani anaweza kuendelea kushikilia nafasi hiyo kwa muda...
  10. M

    Rais Samia ampendekeza Profesa Janabi kuwa Mkurugenzi wa WHO-Afrika

    Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt...
  11. Mtu kama Dr. Janabi akipewa udaktari wa Timu, wachezaji watapata tabu sana

    Asubuhi mboga za majani na maji bilauri 3. Mchana parachichi 1 na kiganja cha karanga mbichi, maji bilauri 3. Saa 11 jioni kachumbari na maji bilauri 3. Imeisha hiyo.
  12. Janabi amepandisha sana gharama za matibabu Muhimbili anaenda kuwa mshauri wa Rais? Mnataka Watanzania wafe zaidi?

    Ulizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma. Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na...
  13. Ikitokea tukapewa nafasi nyingine, Prof. Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndugulile DG-WHO

    Ikitokea tukapewa nafasi Nyingine, Prof . Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndungulile DG-WHO-africa Tanzania bado tuna akiba ya watu muhimu na wenye taaluma zao wanaojua nini kifanyike wakati gani na muda gani na kwa sababu gani hasa linapokuja katika taaluma ya Afya...
  14. Prof. Janabi: Sijanywa juisi aina yoyote takriban miaka 20

    Wakuu! Mmemsikia Prof. Mohamed Janabi, akiendelea kutupa madini ya kuzidi kulinda afya zetu? Ila hili limeniacha mdomo wazi kidogo kuhusu kunywa juice ambayo tuaamini ni sehemu ya kuboresha afya tena zile juice za kutengeneza mwenyewe. ================== MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya...
  15. Chalamila na Janabi acheni kutafuta Kick kwenye Maisha ya watu

    Hapa Kariakoo jengo limeanguka. Hakuna vitendea kazi Chalamila na Janabi wamefika kupiga stories. Muda mrefu linahitajika greda kuja saidia kuinua nguzo nzito. Vifaa vya kuekolea hamna. Anakuja Mkuu wa Mkoa na Dr. Janabi eti kuokoa? Wanaokoa nini kama si kutafuta kick na attention kwa watu...
  16. Yule bwana (mtekwaji) angekuwa anafuata ushauri wa Prof Janabi tungekuwa tushamsahau

    Wazungu wanakitu kinaitwa intuition, ubonge ambao kila siku janabi anauponda leo umegeuka kuwa mokozi wa Yule bwana hii ndio maana ya za kuambiwa changanya na zako.
  17. Prof Janabi asaidiwe. Ana tatizo la kisaikolojia. Hayupo sawa

    Huyu jamaa Serikali iingilie kati. Hayupo sawa. Its either anataka sana attention au ana tatizo kubwa la kisaikolojia. Hayupo sawa. Hakuna Taifa au Jamii inaweza ishi kwa huu Ujinga anao usema. Hii siyo diet ni ujinga. Na amedhoofu sana.
  18. Ukimwangalia hapa Janabi. Ni kielezo cha Afya Bora ambalo Taifa linapaswa kuwa na watu wa namna hii.

    Janabi amekuwa akisisitiza sana ulaji mwema. Na "LISHE BORA" Huyu mtaalamu wa Vyakula na Lishe. Hivi ndivyo anatamani watanzania wote tuwe, tuwe na mwonekano huu wa Siha njema na Afya pia. Nawaza katika umri wake huu wa miaka 65 plus nadhani watanzania tuna mengi ya kuiga. Sijajua mkewe ana...
  19. J

    SoC04 Janabi kivuli kilichofichuliwa

    Janabi alikuwa kijana mwenye nguvu na azimio kubwa, akiwa na ndoto ya kuleta matumaini kwa kijiji chake na ulimwengu kwa ujumla. Alitamani siku moja awe rais, daktari, au kiongozi mkuu ambaye jamii ingeweza kumshukuru sana. Hata hivyo, alipokuwa akikua, Janabi aliona mwenendo wenye wasiwasi...
  20. Prof. Janabi: 90% ya Wagonjwa wa Figo wanaosafisha Damu Muhimbili ni kutokana na Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu

    Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Prof. Mohamed Janabi amesema kila siku takriban Wagonjwa 150 wa Figo wanasafishwa Damu hospitalini hapo na 90% wamegundulika kuwa na Kisukari na Shinikizo la Damu Amesema kama watu wasipochukua hatua za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…