jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nani alitaka kuja kuniona jana?

    Vipi,mbona hakufika? Kama anataka kuja,anakaribishwa. Niliweka namba yangu jana,0652 079 561. There is no problem. Anaweza kuja. Yaani pale niliposema Lissu yuko mahututi hospitali,yupo mtu mmoja alisema anataka kuja nyumbani kunisalimu. Na sijui inakuwaje kuhusu Lissu watu wanamtania, wanasema...
  2. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Huenda Israel imemuua naibu wa Nasrallah aliyehutubia jana

    Duru ndani ya corridor za kijasusi ndani ya Israel na Lebanon zinatabanaisha kuwa huenda msaidizi wa gaidi aliyeuawa kwa haki na Israel aliyefahamika kwa jina la Nasrallah naye kauliwa usiku wa kuamkia leo. Ikumbukwe, mapema jana alitoa hutuba ya kujikakamua eti wao kama magaidi wa Hezbollah...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Refa uliyechezesha game yetu Simba jana, hatukudai

    1. Ulikuwa upande wetu mwanzo mwisho 2. Ukazui tusifungwe la tatu 3. Maelekezo uliyopewa uliyatekeleza ipasavyo.
  4. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Yanga wa Jana umekuja na kelele nyingi sana kweli Rage alikua Sahihi.

    Habari! Kichwa cha thread kinatosha kabisa sitaki kueleza zaidi ila Makolo mna shida sana. Nyie wakat mnashinda kuna siku mliona mtu anaandika humu nyuzi kusema mnabebwa? Ila shida hua ni pale Yanga akiaanza kushinda tu goli nyingi. Kama nasema uongo Jamii forum nipigen Ban... kuanzia jana...
  5. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

    Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia! Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika (huu ni mfano), ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali msitutoe kwenye reli kwa hukumu ya kifungo cha maisha kwa maafande wahuni, bado tunawaza utekaji wa kutumia silaha za kivita mchana

    Mimi binafsi kila jambo nalipa nafasi yake, sehemu yake na muda wake. Sio mjinga kwamba jambo B linaweza kunisahaulisha jambo A. Wewe ukinitukana leo halafu kesho unipe elfu 10 ya chai ninaweza kuipokea lakini haitanitoa kwenye case ya matusi uliyonitukana jana. Serikali bado tunasubiri...
  7. Puna

    JamiiForums Tanzania Aliyeninyima Connection jana kaja kuniomba msaada

    Maisha ni sanaa na kuishi ni maigizo tu. Dunia hii tunapita nyie mlioko maofisini kama mnaweza saidieni watu wanaoomba Msaada kwenu.Ilikuwa hivi jamaa nilikutana nae miaka mitatu nyuma mwaka 2022, ofisini kwa DC kwa yule Dada ambaye sasa hivi ni Don kule kwenye Chama cha kijani kibichi upande wa...
  8. Nasdaq

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa mchongo Jf wataweka wapi sura zao baada ya ushindi wa 2:0 na total dominance iliyooneshwa jana

    Nukuu ya mwanautopolo lialia Labani og "Kama utakuwa professional kwenye soka la nchi hii jaribu kuweka vikosi vya Azam na Simba kwenye mzani .... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ..." Kosa la Labani og ni kutumia neno professional kwenye kujiaminisha kwamba...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ken Gold Walinyimwa Goli dhidi ya Vibonde Yanga SC siku ya Jana

    Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo. Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine. Diara juu ya mstari, je mpira...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Napinga sana hoja ya kusema watoto ni malaika

    Rais alikuwa anaongea na wale watoto wa shule ya msingi akawaita " malaika" Hili ni jambo ambalo napinga sana. Ni kama mtu akinunua glasi mpya au sahani mpya,haoni sababu ya kuiosha. Mtoto anapaswa kufundishwa mambo mengi,kwa sababu anaweza anajua kuhesabu moja mpaka kumi lakini hajui Amri Kumi...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mikiki ya kisiasa imeathiri sana mood ya Rais Samia, hayo yameonekana jana huko Songea

    Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa. Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za...
  14. USSR

    JamiiForums Tanzania Shambulio la jana Hezbolah makamanda 16 wote waliokuwa kwenye kikao waliuwawa .

    Waziri wa ulinzi wa Iran anakamilisha swali kuwa jana waliuwawa ni viongozi wakuu wa Hizbbolah waliuwawa ikiwa ni pamoja na kiongozi wao wa kijeshi,huu unamaana walikuwa kwenye kikao cha mwisho cha kujibu mashambulizi makubwa baada ya tamko la kiongozi wao mkuu baada ya simu kulipuka . Hii...
  15. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Mechi ya jana Azam vs KMC goli la Iddy Nado kapiga chenga mabeki watano mpaka kipa kisha kufunga, kuna viashiria vya upangaji matokeo?

    Wakuu, Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha, Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi. Kuna viashiria vya upangaji matokeo Najaribu kuiweka clip inagoma...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe jana Kakesha JamiiForums Usiku Kucha na hajaamini kuwa kuna Watu wanapiga Spana za Ukweli na wana Akili

    Cheza na Watu wote, ila siyo wa JamiiForums kwani kuna Wengine hapa wanakujua ndani nje hivyo wakiwa hapa wanapiga Spana za maana lakini ukiwa nao tu Wanakuzuga kwa Kukuonyesha wapo nawe (nimesahau namaanisha) wapo nami GENTAMYCINE.
  17. P

    JamiiForums Tanzania Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

    Sauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon. Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah kulipuka ghafla Utakumbuka kuwa jana Pagers za Hezbollah zililipuka ghafla na kusababisha vifo vya watu...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Washauri wake Wakuu ni hawa Members wetu hapa Mwanafunzi wangu Lucas Mwashambwa na Mchovu ChoiceVariable mlitegemea Jipya Kwake jana?

    Na bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa Madini Tukuka niliyokuwa nawapa lakini sijui kwanini huyu Lucas Mwashambwa hakuchukua Ujiniasi wangu ili...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, zile Hasira zake za jana zinaenda pia na kwa Watu wake hasa wa CCMVU na MK Ima au ni kwa Sisi Watesi, Wamarekani na Wapinzani?

    Nitashukuru kama nikijibiwa juu ya hili kwani najua kuwa hata Watu wa Chamani Kwake nao walipaza sana Sauti zao.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama jana tu Gari limeanza Kufanyiwa Majaribio kama litafaa Mashindanoni mwaka 2025 limeleta shida Njiani je, likirekebishwa litaweza Kutuvusha vyema?

    Na Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa hawakumuelewa Dereva wake Mtata wa Mwanzo. Hata hivyo kwa sasa Mimi wasiwasi wangu mkubwa ni...
Back
Top Bottom