jamii

  1. Historia ya jamii za kale

    Wote tunajua kuwa binadamu aliumbwa na MUNGU na kutuma rangi, jamii na mataifa tofauti tofauti hii ni katika dini ya kiislamu, wakristo na wayahudi, wana sayansi wakaja na theory yao kwamba binadamu ametokana na nyani na akaanza ku develop kadri siku zinavyoenda ila kuna jamaa mmoja anaitwa...
  2. PreGE2025 Askofu Musomba: Uchawa ni dhambi ya Jamii, anapokosea aambiwe ukweli sio kumsifia tu

    Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine. Pia soma: LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  3. Serikali yatoa maagizo kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa mikoa na halmashauri

    NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Miundombinu), Mhandisi Rogatus Mativila amewaagiza Maafisa Ustawi wa Jamii kuhakikisha wanahamasisha uanzishwaji wa vituo vya kulelea Watoto Wadogo Mchana vya Kijamii katika vijiji/mtaa na kuwasilisha taarifa hii ifikapo Januari 30, 2025. Mhandisi...
  4. Polisi jifunze namna bora ya kuishi na jamii

    Ni asubuhi umeamka zako na unajiandaa kwa ajili ya kwenda kazini ila ghafla unasikia sauti yenye ukali mlangoni kwako ikikutaka utoke nje, unaamua kufungua unakutana na mtu ambaye amevaa jeans na jezi ya Man United pamoja na kofia nyeusi ya New York. Anajitambulisha kuwa yeye ni afisa wa Polisi...
  5. T

    Ni ofisi gani inatoa ajira bila kupitia utumishi na wana mshahara mkubwa?

    Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA Pia ni ofisi gani ambayo interns wanalipwa hela kubwa😂
  6. Ijue Nyumba Ntobhu - nyumba bila mwanaume kwa jamii ya wanawake wa kijaluo.

    Nyumba Ntobhu maana yake ni "nyumba bila mwanamume" ni aina ya muungano wa jadi usio wa mapenzi ya jinsia moja miongoni mwa wanawake wa kabila la wajaluo Mkoani Mara - ushirikiano huundwa kati ya wanawake wakubwa kiumri na wanaojiweza kiuchumi, ambao kwa kawaida wanawake hao huwa ni wajane au...
  7. Rais Dkt. Samia amehimiza jamii kutumia nishati safi ya kupikia

    Rais Dkt. Samia amehimiza jamii kutumia nishati safi ya kupikia.
  8. Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania: Haki za Binadamu zinapozingatiwa amani inaendelea kustawi katika Jamii zetu

    Katika kuelekea Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania, Jumuiya hiyo imesisitiza umuhimu wa kuzingatia Haki za Binadamu kama nyenzo ya kustawisha amani nchini. Akizungumza Septemba 24, 2024 ikiwa kuelekea mkutano huo ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 27 - 29...
  9. Nimefanikuwa Rasmi kufungua akaunti ya Jamii Forums leo .

    Habari zenu wana Jf? Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana.... Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti.. Ahsanteni!!
  10. P

    Wafamasia kesho mna jambo lenu, kipi Cha kujivunia tiririkeni tunufaike kama jamii

    Wafamasia kesho ndo siku yenu kipi mnafurahia na kipi kinawaboa
  11. Helios Towers, kwa Ushirikiano na Camara, Yakabidhi Maabara ya Tehama Shule ya Sekondari ya Jamii ya Wafugaji ya Endevesi, Oljoro, Arusha.

    Kampuni ya Helios Towers, Yakabidhi Darasa la Maabara ya Tehama na Compyuta 26 kwa Shule ya Sekondari ya Endevesi, ambayo ni ya watoto wa wafugaji, Eneo la Oljoro Arusha. Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, kwa ushirikiano na taasisi ya...
  12. Shukrani kwa Jamii Forums kwa kunipa Tuzo 🙏🏽

    Salaam kwenu wanajukwaa. Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa tuzo hii ya kipekee. Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia majukwaa ya kidijitali. Pia, ni heshima kwa Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu...
  13. Afya ya Akili: Sikuwa hivi nilivyo

    Watu wengi mtu anapokosea kufanya jambo, tunalaumu. Wachache hujiuliza amekutwa na nini. Jambo tusilofahamu ni kwamba, kila moja achukuliwe kwa upekee alionao. Haina maana tumpongeze mtu anaevunja taratibu nzuri katika jamii zetu. Upekee hujengwa na sababu za kimazingira, na za kibaiolojia...
  14. Moja ya Makada wa CHADEMA ambao wenye mvuto sana kwa jamii katika ulingo wa Siasa ni Boniface Jacob A.K.A Boni Yai remember the name

    Habari! Mimi ni Moja ya wafuasi wa kutupwa Kule X nafuatilia sana machapisho ambayo hua anayaweka huyu jamaa For sure this Man ni threat Kwa serikali jamaa hua hatumii matusi hata kama baazi ya vijana wengine waliko katika Siasa. Umejiuliza kwanini Boni YAI na sio Martin Maranja? Martin hua...
  15. Napinga kodi yangu kitumika kulipia vyama vyenye kazi ya kuleta taharuki na vurugu kwenye jamii.

    Ni ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
  16. Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii kufanyika Septemba 18-20, 2024

    Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Septemba 18-20, 2024
  17. Je, ulishiriki Stories of Change? Tafadhali angalia PM yako

    Katika mpango mkakati wa JamiiForums (JF) wa miaka 5 (2020-2024), JF ilidhamiria kuendesha shindano lenye kuwawezesha wananchi kushiriki katika kuongeza ubora wa maudhui ya Kiswahili yenye kuchochea mabadiliko. Shindano hili lianza rasmi mwaka 2021 na huendeshwa kila mwaka. Mwaka 2023 kuanzia...
  18. S

    Kilichoiponza azam fc hadi kufungwa bao nne na yanga ngao ya jamii

    Angalia na sikiliza kwa makini katika video hii hapa kocha wa azam akihojiwa
  19. PreGE2025 Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo

    Na MWANDISHI WETU, IGUNGA WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa. Amesema chokochoko za uongo za mbunge huyo zinapogusa sekta ya kilimo hawezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…