jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Live on Jambo Tanzania: Sera Mpya ya Elimu, Mtaala Mpya wa Elimu: Rais Samia apewe Maua -Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda

    Wanabodi, Namuangalia Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda akizungumzia hatua za utekelezaji wa sera mpya ya elimu na mtaala mpya wa elimu, kiukweli kabisa Rais Samia apewe maua yake! Wale wenye access angalieni... Ukiondoa the landmark ya Baba wa Taifa kutoa bure elimu ya msingi, na JPM...
  2. Tabia ya wachaga kurudi kwao Kilimanjaro kila ifikapo mwisho wa mwaka ni jambo zuri na la kuigwa na makabila mengine

    Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka, Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo 1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa takribani mwaka mzima kwenye harakati za utafutaji. 2. Kusherehekea kumaliza mwaka salama kwa...
  3. N

    Gigy Money asaidiwe

    Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili.. Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa...
  4. U

    Nawaita wataalamu wa ndoto, wachawi , wajuvi wa mambo, wadadisi, wanazuoni, mafundi wa masuala ya kiroho. Mnipe jawabu ya hili jambo

    Suala langu: Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc. Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya. Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota...
  5. Kanuni ya ulimwenguni inasema lazimisha mpaka upenye, kanuni ya Kimungu inasema jambo likikataa liache

    Hello habari! Umri wangu huu wa miaka utu uzima nimejifunza mambo mengi mno. ASili ya binadamu ni kupenda jambo zuri hasa lile ambalo anahisi anaweza kulifikia. Duniani kuna maelfu ya kazi, malaki na mamilioni ya wanaume kwa wanawake. Kuna fursa nyingi za kiuchumi, kuna courses nyingi za...
  6. M

    Naomba ushauri juu ya hili Jambo linanipa changamoto sana

    Kwema ndugu zangu!! Ninachangamoto imekuwa ikinipa mawazo Sana Kwani hii hali ilinitokea anzia mwaka jana ambapo nilikuwa mtu wa kuchoka mwili sana kwa kipindi kirefu kama miezi Kama 5 au 6 hivi, katika miezi Kama mi3 hivi nilipoanza kuchoka nilianza kuhisi labda Sina mazoezi mwilini ambapo...
  7. Hivi ni kweli waweza kuomba jambo kwa Mungu likatokea?

    Ilinichukua muda sana kugundua yafuatayo katika maombi: 1. Yesu ametupatia mamlaka kufunga chochote hapa duniani, au kufungua chochote hapa duniani, na kitafungwa au kufunguliwa na mbinguni. maana yake ni kwamba kitatimia hivyo hivyo kama ulivyotamka. Unaweza kuamuru chochote ambacho maadui...
  8. S

    Taharuki: Jambo Tv Youtube Channel yafungiwa kwa muda usiojulikana

    TV ya Mtandaoni Jambo Tv imefungiwa na huwezi kuona tena video na matukio yote yaliyowekwa kwenye Youtube Channel ya Jambo Tv. Sababu za kufungiwa chombo hicho bado hazijulikani ila kuna tetesi zikiwahusisha mawaziri 4 wanaotuhumiwa kwa kashfa mbalimbali za ufisadi. Tupaze sauti watanzania wote...
  9. J

    Wale watumiaji wa Tecno tunateseka sana na hili jambo

  10. Mtaji wa biashara yangu umeanza kukua, sasa naomba mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  11. Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  12. Hivi kwanini hakufanya muendelezo wa hili jambo?

    In the holy books our almighty has reveal kuwa amemuumba binadamu kutokana na udongo(adamu) na kumtoa mwenza wake katika ubavu wa kushoto uliopinda!je swali kwanini hakuna muendelezo wa huu umbaji?wa kumtoa mwenza pembeni huenda kungepungua maslay queen na madanga wa mchongo.
  13. Wana yanga sc tuna jambo letu ikifika saa 7 kamili usiku tunatambulisha uzi wa kimataifa

    𝐔𝐙𝐈 bora kwa Mashindano Makubwa Afrika ni Saa 7 Usiku! Mwananchi Kaa Tayari….. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
  14. Kuelekea kumtangaza Mwl. Nyerere kama Mtakatifu, ninasihi Kanisa Katoliki wafanye jambo kwa ajili ya CCM kutambua mchango wa chama kwa Mwalimu

    Akiwa mwasisi wa CCM, Hayati Mwalimu Nyerere aliungwa mkono na chama kwenye uongozi wake hadi kukawa na msemo wa "ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI"... Kwa hakika kwenye maisha yake CCM ilikuwa bega kwa bega na Mwalimu Nyerere. Ninawasihi wakatoliki wafikirie kufanya jambo kwa ajili ya Chama Cha...
  15. Mwanamke akikuambia jambo litafakari kwa umakini sana

    Wanawake wapo na Intuition power kubwa Sana hivyo akikuambia jambo ebu nenda ulitafakari kwa umakini Sana. Wanawake huwa wanazilewa Sana sauti za ndani kuliko hata sisi wanaume hivyo akikuambia Jambo litafakari kiundani . Mfano Mama yako akikuambia Mwanangu fanya hivi naona utafika sehemu...
  16. T

    Mwenezi Makonda awatibua wasaka Urais ndani ya CCM

    MAKONDA ANAWADISTURB WASAKA URAIS NDANI YA CCM NA HILI NI JAMBO JEMA Watu wengi huwa hawajui kwanini huwa tunawachapa wasaka urais.Pale tunapobaini pasi na shaka kuwa kiongozi fulani ndani ya serikali na Chama anatengeneza mtandao wa kusaka urais huwa hatumuachi salama. Wasaka urais ni watu...
  17. Naomba idadi ya Wachangiaji hapa Jamiiforums isipungue leo kuanzia Saa 1 Kamili za Usiku

    Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
  18. Hawa wabunge sio wazalendo. Dodoma hili jambo lingepitishwa haraka

    Yaani hii ndio ingekuwa ni Tanzania pale Dodoma saa hii viti vilikuwa vinaumia kwa makofi maana ni swala ambalo wangesema tumechelewa sana 😅 Tanzania Ila Tanzania muda mwingine unawaza kwanini haya mavituko yanafanyika kwenye mamlaka zetu nyeti kiasi kwamba hawaoni aibu hata chembe 😂
  19. S

    Huko dunia ya Ulaya kuna jambo gani kuhusu Afrika?

    Mfalme Charles wa Uingereza Kaingia Kenya Kwa ziara ambayo ilijulikana kabla. Lakini tukasikia na Rais wa Ujerumani naye Kaingia Tanzania kwa ziara ya kikazi. Kule Kenya Mfalme huyo amejutia yale yaliyowasibu wakenya wakati wa Kupigania uhuru wao na huku Tanzania tunaambiwa Rais huyo...
  20. Dada yangu zingatia sana kuolewa liwe jambo lako la kwanza

    Ewe dada yangu, mama yangu, shangazi yangu. Katika maisha yako weka sana kipaumbele kuolewa. Hata na wewe baba yangu jitahidi sana kupambania kuozesha mabinti zako kwa hali na mali. Huo mzigo unaoung'ang'ania ipo siku utakuja nikumbuka. Ukiona una mabinti wawili watatu wapo tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…