jambo la kawaida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vien

    JamiiForums Tanzania Naogopa sana kuomba msaada; Kwangu kukwama si jambo la kawaida

    Mimi ni mtu ambaye naona aibu sana kuomba msaada. Sijawahi kuzoea maisha ya kutegemea kwamba siku nikikwama nitampigia mtu simu aniokoe. Kwa namna nilivyojijenga, naona kuomba msaada ni hatua ya mwisho kabisa, na huwa najitahidi nisiifikie. Kwa sababu hiyo, nimejifunza kuishi kwa mipango...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni Jambo la kawaida watu mnaofahamiana kukuchukia unapofanikiwa. Usiwalaumu.

    NI JAMBO LA KAWAIDA WATU MNAOFAHAMIANA KUKUCHUKIA UNAPOFANIKIWA. USIWALAUMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Mafanikio yapo ya aina nyingi Sana. Yapo mafanikio ya kiuchumi, kimahusiano, kisiasa, kimitandao ya kijamii n.k 2. Ni MTU asiye na uelewe pekee ambaye atataka mafanikio alafu...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uovu hustawi zaidi kwa msaada wa wale wanaoufanya uovu uonekane jambo la kawaida

    Nilipokuwa shule ya sekondari nikisoma historia ya Ulaya, hasa kuhusu ukatili uliotekelezwa chini ya Hitler na Mussolini, nilikuwa nadhani kwamba dunia—hasa Ujerumani—lazima ilikuwa imejaa watu wakatili na waovu. Sikuweza kuelewa jinsi uhalifu wa namna hiyo ungeweza kutokea bila kulaaniwa kwa...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Sativa: Siku hizi kuokota MAITI mitaani imekuwa jambo la kawaida

    Sativa ambaye pia aliwahi kutekwa na watu wasiojulikana, Anaona kuwa intelijensia inatumiwa dhidi ya CHADEMA badala ya kulinda wananchi. Sativa pia amesema utekaji wa raia unaoendelea na kusema wananchi hawana kinga halisi kwenye maisha yao licha ya haki zao za kikatiba. Fikiria jeshi la polisi...
Back
Top Bottom