jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Jamaa kutambulisha ma-Ex girlfriend wake wote ukumbini

    Last week Kuna harusi moja, niliitafuta clip yake nikaipata. Bwana harusi amewatambulisha ex wake ukumbini, lakini aliwaomba wasisimame, hi inaonesha aliwaharika kwenye sherehe. Bwana harusi huyo alimuuliza mke wake(Bibi harusi) Kama atakuwa amemkwanza lakini alisema hapana, Kitu hiki...
  2. JamiiForums Tabia za mke wa jamaa zinamchanganya

    Wanawake wa pwani Wana mambo
  3. JamiiForums Picha: Jamaa anaswa akichinja mbwa kwa ajili ya kuwauzia watu mishikaki

    Habari zenu wana JF. Pichani hapo jamaa aliekamatwa akichinja mbwa, akiwa na mbwa huyo, ameshamchinja tayari. Akijiandaa kwenda kumchuna na kumkatakata mishikaki. Wazee wa kupenda mishikaki pili pili, muwe makini na wauzaji wenu. Kuna siku watu wataanza kulishwa na paka aisee.
  4. JamiiForums Karia hana uwezo wa kuendesha soka, aondoke tu

    Nilimaanisha karia hana uwezo wa kuendesha soka Jamaa amekaa kihasira. Si kwa Haji tu, ila ana uwezo mdogo sana wa kuendesh soka, huyu aonde tu.
  5. K

    JamiiForums Ndoto niliyoota ni reflection ya utumbuaji wa Bosi wa Bandari na Mkurugenzi wa Jiji

    Habari za mchana wadau, Basi bhana, jana nikiwa ndani ya treni kama kawaida nikielekea home. Basi bhana ghafla nikaskia taarifa ya habari kutoka Idhaa ya Kiswahili sauti ya Japan, nikaskia mtangazaji akisema "Dar-es Salaam, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametengua nafasi ya bosi wa...
  6. JamiiForums Jamaa anaswa live na CCTV akiiba Mil 7.7 ofisini

    Mtu mmoja ambaye hajajulikana amevunja milango na kuiba fedha taslimu pamoja na vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh. 7,760,000 mali ya Shirika la Jiokoe na Umaskini yaani Stars of Poverty Rescue Foundation (SPRF) lililopo katika Manispaa ya Singida mkoani hapa. Mkurugenzi Mtendaji wa shirika...
  7. JamiiForums Jamaa yangu ana Pass degree ila kapata kazi kwenye multinational company bila connection

    Sio kwamba nimesimuliwa hapana. Huyu jamaa yangu alihitimu bcom in accounting kutoka pale udbs miaka kadhaa iliyopita. Basi majuzi kati tuko nae ghetto tunapiga mvinyo tukaona tangazo kutoka kwenye kampuni kubwa mafuta lenye makao makuu yake huko Uingereza wakihitaji mhasibu kigezo ni uwe na...
  8. JamiiForums Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

    Mwanaume mmoja kachukua hatua ya kuua mtoto baada ya kugundua kuwa mtoto sio wake, baada ya kuchukua Simu ya mkewe na kuona anawasiliana na Baba wa mtoto. Nafikili Jamaa alikuwa anatoa na huduma kabisa za mtoto yani alimchulia mtoto ni wake. Jamaa kaua mtoto lakini Sasa anashikiliwa na Jeshi...
  9. K

    JamiiForums Kuna jamaa yangu amechanganyikiwa baada ya kukosa ajira za ualimu

    Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikuwa this time lazima alambe ajira. Surprisingly hajaona jina lake. Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
  10. JamiiForums Jamaa anasa dis train ya Katiba Mpya kwa mbele ya behewa

  11. JamiiForums Nje ya Dharau na Nyodo zake za Kiasili, ila Kocha Mourinho ni Bonge la 'Genius' halafu anatupenda na kutujali mno Waafrika

    Jose Mourinho wants FIFA to stop African players from representing other countries other than that of their origin. He believes once this is done, Africa countries would start winning the World Cup. Chanzo: Africa Archives Binafsi huwa ninawapenda Watu wenye Dharau, Nyodo na Jeuri Kiasili, ila...
  12. M

    JamiiForums Dk Slaa mbona unakaa kimya? Huoni kinachoendelea? Wale jamaa waliokuwa wanakutonya kuhusu upigaji wapo kimya?

    Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana. Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa. Sasa hivi kuna harufu mbaya sana inanukia juu ya ufisadi na wewe ulishaisikia. Please hebu ongea kitu maana sasa tunaelekea...
  13. JamiiForums Jamaa atupwa JELA MAISHA kwa kumlawiti mtoto wa dada yake

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na fidia ya Tsh. Milioni 10, Ramadhan Musa Chewa (34), Mkazi wa Pawaga, Iringa kwa kosa la kumuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike wa dada yake mwenye umri wa miaka 12. Hakimu Mkazi Mkuu, Ally Said Mkasiwa amemesema mtuhumiwa...
  14. JamiiForums Kuna jamaa kutoka Ukraine kanistua tufanye biashara ya Mchongo

    Maisha haya yana risk nyingi sana. Jamaa kanipa dili zito sana. Eti huko Ukraine kuna Bunduki kibao zikizotelekezwa, anaziuza kimagendo kuja huku Africa. Kanishirikisha kwamba nikiweza nimcheki tufanye biashara. Gharama za kusafirisha mpaka mzigo kunifikia ni juu yake. Yani nawaza sana hii...
  15. JamiiForums Vladmir Putin mbona haonekani kwenye majukwaa ya Kimataifa?

    Tatizo Nini?
  16. S

    JamiiForums Jamaa aliyemla lecturer wake amenizidishia ujasiri

    Yule jamaa aliyetuletea stori yake ya kumtafuna lecturer wake kanizidishia ujasiri kwa sasa kila demu naona nammudu hata awe amenizidi kipato namna gani wademu wa hovyo wote napiga chini natafuna watoto wa kishua
  17. S

    JamiiForums Kuna jamaa sijawahi kumuona akipigiwa simu sasa sijui simu ya nini kuwa nayo

    Sijawahi kumuona mchizi akipigiwa simu miaka yote asa sijui simu ya nini wakati watu hawakupigii
  18. JamiiForums Uungwana: Rejesha gharama za kufanikisha mkopo uliopatiwa na rafiki, ndugu au jamaa

    Salaam Wakuu, Nataka nizungumzie tu chembe ya uungwana ambayo inaweza kuwa na manufaa makubwa maishani mwetu. Ni vema kuonesha uungwana unapopatiwa mkopo wa fedha na ndugu, jamaa au rafiki. Uungwana wa kwanza ni kuhakikisha una dhamira ya kulipa pindi unapokopa, kisha kupambana juu chini...
  19. JamiiForums Wazazi wapendeni na kuwajali watoto wenu ni ndugu zenu, marafiki na jamaa zenu wakati ambao wote uliokuwa nao watakuwa na wanao

    Natumai kazi zinaendelea! Niende kwenye mada moja kwa moja. Asilimia kubwa wakipata pesa uwekeza kwenye mapenzi na ndugu na marafiki Visa ni vingi tunaishi navyo watoto watavipata kupitia kwa ndugu, jamaa, jirani, marafiki wa wazazi , wanaona,watalirelate lakini mwisho wa siku mzazi atamlaumu...
  20. JamiiForums Jamaa yangu ameomba mchango wa kufanya birthday party

    Imajini watu tunagongea hadi vocha za simu halafu kuna bwege mmoja anafanya kazi na kujiita mwanasheria halafu anatuma msg anataka mchango wa birthday yake mwezi ujao. Huyu jamaa ni hasara taslimu. Yaani kuzaliwa kwake yeye iwe kero kwa wengine? Na mimi toka azaliwe sijaona faida yake kwangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…