Huyu ni jamaa yangu wa mda sana, anafanya kazi bank kubwa hapa nchini, pia ana washkaji zake kwenye bank zingine.
Leo kanishaningaa sana nilipopigwa na butwaa baada ya kuona mtumishi wa serikali anapush Bentley kwenye shughuli zake za kikazi, akaniambia broo "kwasasa watumishi wa gavoo wana...
Huwa siwaelewi baadhi ya Watanzania, kuna huyu mshikaji huwa namuona anavyosifia CCM na ni mwanachama kindaki ndaki wa chama tawala, ila humkosi kwenye ufuatiliaji wa kila kinachofanywa na wapinzani Kenya, husifia sana na kushabikia matukio yote ya upinzani ikiwemo ukosoaji wa serikali na hata...
Kuna jamaa yangu kanishirikisha kisa chake na mkewe ili nimpe ushauri.
Kisa chenyewe ni hiki,huyu jamaa yangu alisafiri kikazi huko mkoani akakaa kama wiki tatu hivi.
Sasa karudi juzi home kwake kakuta mkewe kajinyoa mavvvvzi yote. Jamaa anasema utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa wananyoana...
Wakuu,
Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa Jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa na wala hajanipigia kuniambia lolote ila naona status zake whatsapp anajipost maeneo ya starehe.
Alivyonikopa aliniambia anataka kuongezea pesa ya kodi ya nyumba...
Habarini wadau, ningependa kushare na nyinyi humu jf kuhusiana na mkasa wa rafiki yangu ambaye sasa hivi yupo kama haelewi.Alikuwa na mahusiano na binti mmoja hivi kwa miaka kama miwili iliyopita, baadae mahusiano yakawa yameisha. Amekaa baada ya miezi 8 ya mahusiano yao kuisha, yule mwanamke...
Huyu mshikaji wangu nashindwa kumuelewa,tuko nae kwenye harakati kitambo tu ila naona ni kama kaanza kuwa na roho ya kichawi hivi.
Yeye ameanza hizi harakati za kupiga paper za ajira za serikali kitambo tu na kwa maelezo yake hajawahi kufika oral hata moja.
Sasa me mwaka huu nilimuambia tukaze...
Habarini za usiku ndugu zanguni ?
Sitaki niwachoshe , Mimi ninafanya kazi sector fulani , Niliamua kuingia mahusiano na binti mmoja wa mtaani ninapoishi , mwanzoni aliniambia hana mtu mwingine kabisa na akitokea hawezi kumkubali sababu ananipenda mimi ,kiukweli niliupenda msimamo wake...
Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005
kiwanja kilikua kimepimwa Kwa maelezo yake wakati ananunua muuzaji alitoa mawe ya namba za kiwanja kimya kimya ndio zkamuuzia mwaka 2018 jamaa akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka...
Wakuu heri ya jumapili.
Sijajua ni kuchanganyikiwa au vipi,kuna jamaa yangu kafunga safari kaenda huko kwao Magu kwa mganga ili tu awekwe sawa kwa ajili ya hizi kazi za tra zilizotangazwa majuzi.
Jamaa mwanzo alinidokeza hilo jambo na akawa ananishawishi na mimi niunge tera but mimi sio muumini...
Basi bwana katika kujitafuta tafuta mwanetu tumuite Jina "machimu"
Tuliishi kwa upendo sana wote tukiwa level moja hali ya chini
Siku zinakwenda "machimu" akapata deal chunya akaenda kupiganisha makarashani/maduara(migodi midogo) mchizi kapiga Bingo
Mara ghafla kanununua range rover, anapanga...
Hii code ni nyepesi sana kuna baadhi ya watu wataing'amua.
Nilipokuwa advance form 5 jamaa yangu/ rafiki yangu alinishirikisha kitu kwamba anahitaji kugombea kuwa head prefect wa pale skul.
Mimi sikumpinga, huyu mwamba tulikuwa ni watu wa utani sana na kuzinguana sana ila mwisho wa yote tukiwa...
Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani.
Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake.
Sasa bana siku za hivi karibuni namuona jamaa amefululiza kupiga tungi sana so jana nikapata wasaa wa kukaa nae kujua kulikoni mipombe kila...
Wakuu,
Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3.
Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida.
Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake.
Wakati anamlilia Kajala hadi akazidiwa na Harmo mke wake alikua mbaya?
Sasa...
Nlikuwa mkoa fulani kikazi two days ago. Soon baada ya kutoka nchi za watu nikafikia huko. Huwa mara nyingi nafikia hizi Hotels zetu za 3 au 5 Star. Basi nimejiandaa siku hiyo naingia kwenye lift nakutana na mke wa jamaa anarekebisha blauzi.
Amechoka kiasi kwa mwonekano na pembeni kuna jamaa...
Nanukuu kama ilivyosimuliwa na muhusika, " Niliingia katika mahusiano na binti mmoja alikuwa akiishi na wazazi wake. Tulikuwa vizuri mpaka ikafikia nikawa namhudumia kama mke vile, kuanzia kula yake, kuvaa na hata akiumwa nahusika na kila kitu. Ikafikia wakati akahama kwao, akaenda kupanga na...
Amemgonga huyu ndege bwana afya na bodaboda mpaka kifo mbele ya mashahidi lukuki.
Wanasheria wa mtaani wanadai ana kesi nzito sana hapa ya kujibu.
Kwa kuanza tu ametoroka mjini ameenda kujificha.
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Leo rafiki yangu wa tangu tukiwa watoto alinipigia simu kwamba anataka tuangalie mpira pamoja na ana jambo ambalo anataka nimshauri, hivyo basi nitafute sehemu nzuri tulivu ili tuwe tunaangalia mpira na kuongea.
Basi nikamwelekeza sehemu jirani na...
za leo wakuu
kuna jamaa yangu mmoja alinipa hifadhi home kwake maana niliingia mjini mambo hayajakaa sawa. sasa juzi kanambia kuna manzi anakuja ili wainjoy sikukuu so nicheki utaratibu na mahali pa kukaa, sijajua ataondoka lini huyo demu. Ila jamaa ana chumba na sebule na mi nilikuwa naangusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.