Jakaya Mrisho Kikwete (born 7 October 1950) is a Tanzanian politician who was the fourth president of Tanzania, in office from 2005 to 2015. Prior to his election as president, he was the Minister for Foreign Affairs from 1995 to 2005 under his predecessor, Benjamin Mkapa. He also served as the chairperson of the African Union from 2008–2009 and the chairman of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defence and Security from 2012–2013.
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo amemnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Welezo, Zanzibar, Bi. Asma Mwinyi, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Hawaii, Jimbo la Welezo, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Dkt. Kikwete, ambaye alikuwa mgeni rasmi...
Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, licha ya kung’atuka madarakani mwaka 2015, anaendelea kuacha alama kubwa zisizoonekana moja kwa moja katika mfumo wa kisiasa, kiuchumi na kiusalama wa nchi. Kupitia mtandao wake wa wafanyabiashara wakuu kama Rostam...
Ni kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa Kikwete,
Aah Huyu shujaa alifanya mengi sana mazuri na kwa kuwa anaipenda Tanzania hawezi kuona Mambo...
Ndugu zangu Watanzania,
Picha inaongea,picha inazungumza,picha ina maana kubwa sana,picha moja pekee ni zaidi ya maneno Elfu moja.
Hapa Ni Rais wetu mstaafu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Akimtambulisha Mwanae Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete kwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu...
Ndugu zangu Watanzania,
Embu Soma hapo chini habari hii ili uelewe ni namna gani CCM imekuwa ikitoa na kupika viongozi bora na makini ambao wanakuja kuwa Daraja la matumaini Duniani Kwote.
Ukiona CCM imekuletea kiongozi ngazi ya Urais ili umchague katika sanduku la kura. Basi ni lazima ujue...
Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré.
Mkutano huo ulifanyika jijini Ouagadougou Aprili 17, 2025 na kuhudhuriwa na maafisa waandamizi kutoka Serikali zote mbili. Katika mkutano...
Kila kusudi Lina wakati wake na ukifika ni lazima litimie.
Mzee Kikwete alitamani kutuachia Katiba Mpya Lakini Wakati Ule haukuwa na kusudi la Katiba Mpya ndio Sababu alipata Upinzani ndani ya chama chake.
Wakati tulionao sasa ndio wakati wenye kusudi la Katiba Mpya.
Rais Samia akitamani...
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya uongozi wa Baba Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kuongeza kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kulinda...
Ndugu zangu Watanzania,
Ninayo furaha kubwa sana Moyoni Mwangu kumtakia heri ya kuzaliwa mzee wetu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa awamu ya Nne,Mwanajeshi mstaafu,mwanadiplomasia Nguli,Mwana Demokrasia aliyekomaa,Kipenzi cha watanzania na waafrika na DUNIA nzima kwa...
Nachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete.
1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo.
2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi.
3. Aliamini katika checks and balances mahakama na bunge vilikuwa huru.
4. Aliboresha mishshara ya watumishi wa...
💼MHADHARA WA KUMI (10)
Yawezekana mwenzetu umekuwa Bosi au utakwenda kuwa Bosi mpya kwenye shirika, kampuni, taasisi, au ofisi fulani. Najua unajua lakini ngoja tukumbushane; Kuna tabia ya baadhi ya wafanyakazi kwenye maofisi, mashirika, makampuni na maeneo mengine ya kazi huwapokea mabosi wapya...
Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ni kiongozi miongoni mwa viongozi pekee barani Afrika walioweza kuimarisha demokrasia nchini japo kuna baadhi ya madhaifu machache yaliyoweza kuripotiwa, mfano utekwaji wa mwenyekiti wa madaktari Dk. Ulimboka, lakini tukiondoa madhaifu haya Rais mstaafu Dkt...
Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee.
Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji imeandaliwa na Watoto wake.
Pia soma
- TANZIA - Yusuf...
TAMISEMI Ndio Tanganyika yenyewe kwani Mkurugenzi ana Idara zote ambazo kwenye Muungano tunaita Wizara na anao Jeshi la Mgambo kuhakikisha Usalama katika level yake.
Kikwete akiwa Rais aliiacha TAMISEMI kwa Waziri Mkuu lakini alipoingia Shujaa Magufuli aliirejesha TAMISEMI Ikulu akihofia Ule...
Tanzania = Tanganyika + Zanzibar 🙏
• Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria Nyerere.
• Wake wa Ali H. Mwinyi, Sitti na Khadija Mwinyi.
• Mke wa Benjamin W. Mkapa, Anna Mkapa
• Mke wa Jakaya M. Kikwete, Salma Kikwete
• Mke wa John P. Magufuli, Janeth Magufuli
• Mume wa Samia S. Hassan, Hafidh...
Ndugu habari za muda huu, naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali na hata serikalini kama inawezekana tupewe majibu kabla sijatoa ya moyoni.
Kuna tetesi huko huko duniani nazisikia naomba uthibisho wake maana kuuliza si ujinga.
Pia soma: Wafahamu Wagombea wa Uenyekiti Kamisheni ya Umoja wa...
Ndugu zangu watanzania wenzangu,
Ninajua tunapitia kwenye kipindi kigumu sasa tunapojadili juu ya huu mkataba unaolenga kuuza bandari zetu na kuturejesha utumwani kwa waarabu.
Ninachojiuliza mpaka sasa ni wapi alipo Jakaya Mrisho Kikwete? Kuna mtu amesikia kauli yoyote toka kwake?
Mimi...