jaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yamesababisha majeraha kwa taifa, maridhiano ni hatua muhimu kuponya taifa

    Jaji Chande amesema kuwa tume imebaini kuwa kuhusu maridhiano na katiba mpya, tume imebaini kuwa matukio ya Oktoba 29 pamoja na changamo vimesababisha nyufa na majeraha kwa taifa hivyo maridhiano na muafaka wa kitaifa ni hatua muhimu katika kuponya majeraha, kurejesha amani, kuaminiana...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Kituo cha Polisi Salasala kilivamiwa na watu zaidi 150 wenye silaha, polisi walitumia mabomu na baadae wakakimbia baada ya kuzidiwa nguvu

    "Ile ni ngazi ya kwanza ambayo polisi tu, kwa sura yake na nguo alizovaa, inasambaza makundi yaliyokusanyika. Lakini yapo pia maeneo mengine kutokana na kiwango cha tishio kwa uhai wa askari au raia wengine, ililazimu kutumia hatua nyingine zile za juu, na ziko hatua sita. Mfano, kituo cha...
  3. JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Kauli Mbiu zilizochochea machafuko

    Baadhi ya kauli Mbiu zilizochangia machafuko ni Oktoba tunatiki, Oktoba tunatoka, no Reform no Election, Samia Must Go.. Jaji Chande
  4. JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Wagombea walioenguliwa walichochea machafuko

    Baadhi ya wagombea waliokatwa kwenye vyama vyao walichochea chini chini machafuko: Jaji Chande
  5. JamiiForums Tanzania CV ya Mwenyekiti wa Tume ya matukio ya 29/ 10, Jaji Mohamed Chande Othman

    Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kuna kijana Usariver alipewa shilingi 50,000 na kuahidiwa Tsh. Milioni 5 ili ashiriki (maandamano)

    "Kuna kijana mmoja, Usariva Harusha, mwenye umri wa miaka kumi na sita. Alishawishiwa, alipewa Shilingi elfu hamsini ashiriki, na walimuahidi—na kwa maneno yake—walimuahidi watampa Shilingi milioni tano akishiriki. Na kwa ushahidi wake, anasema 'walinipa mchongo utakaonitoa kwenye umaskini'...
  7. JamiiForums Tanzania Jaji Othman awasilisha Ripoti Tume ya Amani

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma Muhtasari wa Ripoti ya Tume hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23, Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Washiriki wa ghasia walibeba silaha mbalimbali jambo ambalo haliruhusiwi kisheria kwenye maandamano ya amani

    .......tatu, washiriki wa ghasia za wakati na baada ya uchaguzi mkuu walibeba silaha za aina mbalimbali, zikiwemo mawe, nondo, mkuki, sururu, fimbo, marungu, visu, vibiriti, vipulizi, bunduki, manati, kombeo, rato, mapanga; jambo ambalo haliruhusiwi kisheria katika maandamano ya amani. Hii ni...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande, sawa maandamano yalikiuka sheria. Sasa, jibu swali hili

    You might be sahihi as per my heading, kwa hiyo serikali ilikuwa na uhalali wa kuwaua waandamanaji wasio na silaha? na kuwazika in mass graves?
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Jaji Chande: Chanzo cha Vurugu na Uchoche

    Jaji Chande VICHECHEZO 🚨Wanasiasa na wanaharakati walikuwa chanzo cha vurugu - vichochea mahsusi vilitumika na wanaharakati kufanya vurugu 🚨 Mitandao ya kijamii ilitumika kuchochea vurugu- content creators walichochea kutofanyika kwa uchaguzi 🚨Wanaharakati walitumia majukwaa kufanya vurugu...
  11. JamiiForums Tanzania Jaji Chande ameshatuangusha, kwamba hakuna utekaji unaohusisha wa kisiasa na serikali?

    Wakuu, Imeisha hiyooooo! Kwamba utekaji wa kina polepole, soka na wenzake, mdude na wenzake ilikuwa ni mambo ya kijamii na masuala ya madeni au wamejipoteza. Ndo maana anaishiwa na pumzi akiwasilisha hiyo ripoti, si hata Mungu aingilie kati hapa hapa🙄🙄.
  12. JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Baadhi ya Wanasiasa na wanaharakati walishawishi Wananchi kushiriki ghasia

    Jaji Chande amesema baadhi ya Wanasiasa na wanaharakati walishawishi Wananchi kushiriki ghasia
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Baadhi ya video zilikuwa halisi na nyingine zilitengenezwa kwa akili unde

    Uchambuzi wa video na picha ulikuwa sehemu kubwa katika uchambuzi wa tume, hususan katika kuelewa madhara ya kibinadamu. Jumla ya picha mnato 450 na picha mjongeo (video) 880 zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambazwa mitandaoni kwa zaidi ya mara moja." Picha hizi...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kwa mujibu wa Jeshi La Polisi watu 758 walipotea, watu 448 hawajapatikana

    Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  15. JamiiForums Tanzania Jaji Chande Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 asema 'picha baadhi zilikuwa halisi nyingine zilitengenezwa kwa akili unde'

    Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, anasema "Jumla ya picha mjongeo 450, picha mjongeo 880, zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambaa mitandaoni kwa zaidi ya mara moja. Picha hizi zilipatikana na ziliwasilishwa na mashuhuda wa matukio...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Moja ya mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande itakuwa ni kuachiliwa kwa wafungwa wote wa kisiasa mlengwa mkuu akiwa Tundu Lissu

    Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume. Pia, mtarajie habari ya maridhiano kupitiia hii tume. All in all, wajue hatudanganyiki.
  17. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Ripoti ya tume ya haki - Jaji Chande

    MAPENDEKEZO YA TUME YA HAKI JINAI NCHINI YAANZA KUTEKELEZWA Kamati ya Kusimamia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Kurekebisha Mifumo ya Haki Jinai nchini imekutana na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wanaowakilisha nchi na taasisi zao nchini. Kamati hiyo imewahakikishia...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mambo muhimu ambayo Tume ya Uchunguzi ya Jaji Chande imeyapuuza

    Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe: 1. Chanzo cha machafuko Tume haijataja chanzo cha tatizo ni nini kwa kuwa kinagusa mamlaka moja kwa moja...
  19. JamiiForums Tanzania Mfahamu Jaji Mohamed Chande Othman

    1. Mohamed Chande Othman ni jaji mwenye uadilifu mkubwa na ujuzi wa hali ya juu katika sheria. 2. Amewahi kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania (2010-2017), akiongoza mahakama kwa haki na uwazi. 3. Aliaminiwa na Umoja wa Mataifa kufanya kazi za haki za binadamu, jambo linaloonyesha uaminifu wake. 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…