Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman pamoja na wajumbe wa tume wakizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.
Jaji Chande ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, ameyasema hayo Leo, 28 Aprili 2026 Jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa tume ya Uchunguzi wakati na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29 2025 na waandishi wa habari.
Jaji Chande amsema kuwa kwa siku Tume ya uchunguzi...
Jaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi.
Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa wa amani wakati na baada ya uchaguzi aliahidi kuzungumza na wanahabari...
Akizungumza leo Aprili 27 katika mkutano wa asasi za kiraia 14 zilizotoa msimamo kuhusu Tume ya Jaji Othman Chande, Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu chaa Dr es Salaam, Dk Azaveli Lwaitama amesema hawakubaliani na pendekezo la tume hiyo kutaka iundwe tume nyingine ya kuchunguza jinai, badala yake...
Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume...
Jaji Chande katika mapendekezo yake ya kuimarisha usalama na uzalendo alikuwa anaongea mambo ya ajabu ajabu sana ikiwemo kuhakikisha vijana wote wanaenda JKT na kurudisha na kuimarisha mfumo wa nyumba kumi.
Sababu alizozitoa ni za ajabu sana , zisizo na mashiko kama sio za uongo, kwamba eti...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo.
Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!.
Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akizungumza Aprili 23, 2026 baada ya tukio ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 kuwasilisha na kukabidhi Ripoti yake kwa Rais Samia
Binafsi nafikiri hiyo ndio sababu kubwa ingawa mtazamo wa wengi ni kuwa anakwepa watu kuichambua na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika hiyo ripoti.
Inawzekana ICC wakaidai hiyo ripoti kabla ya kutoa uamuzi wao juu ya Samia na wenzake kama wsshitakiwe au laa kwahiyo wanakwepa /wanajihami
Du
Hawa jamaa kweli naona walijeruhiwa kweli kweli na Samia hawakutaka hata kusogea kusikiliza taarifa ya uongo.
Maaskofu Catholic nawajua vizuri ni watu strict na wakali wamenyooka sana. Yale yaliyotokea kabla ya uchaguzi kwao nadhani walishakata kabisa kamba na serikali ya Samia..
Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo...
Mwenyekiti wa tume ya kushughulikia maandamano ya October 29 Jaji Chande amesema kupitia report yake hiyo kuwa wote waliohusishwa na kutekwa chanzo chake ni kwasababu ya mapenzi, madeni, ugomvi binafsi, uchawi ambazo ni nje na mambo ya kisiasa.
"Lakini pia, Mheshimiwa Rais, kulikuwa na madai ya kuwepo makaburi ya halaiki. Kulikuwa na madai hayo kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo kwa makaburi ya halaiki eneo la makaburi ya Kondo, Kunduchi, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Tume imefanya...
Probative value ya mahojiano/ ushahidi wenu na so called mliwahoji iko wapi bila kusikiliza upande mwingine!
Nilisema mnajiletea aibu mkiwa retired Chief Justices
Ameyasema hayo wakati akiwasilisha Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam ambapo Tume hiyo imetoa mapendekezo yake
Mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande
Serikali kuweka...
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030.
"Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane...
Jukumu la Jaji Chande katika uchunguzi wa Lebanon lilihitaji uchambuzi wa kutoegemea upande wowote chini ya shinikizo. Utaalamu huo huo utahakikisha ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwenye mtukio ya 29 Oktoba sio tu inaaminika bali inatolewa kwa kuzingatia sheria za ushahidi na kanuni za kibinadamu...