jaji

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kufika Mahakamani ni Haki yetu, si kosa Kisheria

    Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria: Vitisho hivi ni vya nini? Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi. Tuna hata haja ya kutunishia misuli? Jambo moja la hakika, hatutakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Maneno ya Jaji Warioba kuhusu Katiba Mpya

    ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amepigilia msumari kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya, na kutaka maoni ya wananchi yasipuuzwe kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza walishirikishwa kuitengeneza. Akihojiwa jana kwenye kipindi cha dakika 45 kinachorushwa hewani na...
  3. JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi mwambie Rais ukweli kuwa kauli yake ni kinyume na Sheria na Katiba ya JMT

    Baada ya purukushani za mitandaoni wiki nzima kati ya wanaharakati, wanasiasa na Serikali kuhusiana malalamiko mbalimbali ya kisheria na kikatiba. Hili lilipelekea matamko, vitisho, kejeli na kashfa mbalimbali kutoka katika majukwaa mbalimbali na hata kufikia jana tulijionea kuwa Kada wa Chama...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Werema: Dai la Katiba Mpya lisibezwe

    Jana niliweka uzi hapa nikasema huenda Mama swuala la Katiba analiunga mkono ila inabidi atumie watu nje ya chama chake kuliibua kwasababu wenzake ndani ya chama hawalitaki. Nikaongeza ni suala la muda tu makundi mengine yataibuka na kuunga mkono agenda ya Katiba Mpya. Huyu keshaanza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe : Jaji Warioba alivyomueleza Profesa Shivji waziwazi kuwa si mkweli na ni kugeugeu na mpotoshaji

    Source: Warioba amshukia Prof Shivji | Mwananchi Dar es Salaam. Mjadala wa Mabadiliko ya Katiba jana ulihamia nje ya Bunge wakati Jaji Joseph Warioba alipomchambua mhadhiri maarufu nchini, Profesa Issa Shivji akimueleza kuwa si mkweli bali mpotoshaji wa Rasimu ya Katiba. Jaji Warioba, ambaye...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Namshauri Jaji Mkuu ajiuzulu

    Kinachofanyika mahakamani kwa miezi mitatu mfululizo ni ishara kwa muhimili wa mahakama kushindwa kutekeleza wajibu wake na kutekeleza maelekezo ya serikali. Kwa kuwa mkuu wa muhimili wa mahakama ni yule yule aliyekuwepo wakati watu wanaonewa na kubambikiwa kesi na kwa kipindi chote hicho...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tuchukulie umepata nafasi ya kuwa Rais kwenye nchi hii, Waziri, Katibu Mkuu wa Wizara, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, n.k. Je, ungewafanya nini?

    Hebu kulalamika na kulaumu tu pause kidogo. Chukulia umepata nafasi ya kuwa Rais wa JMT, Waziri Mkuu, Waziri, Katibu Mkuu kwenye wizara, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mbunge, Diwani, na kadhalika na kadhalika. Ki ujumla we ni mtu uliyepo kwenye system na kuwa sehemu ya maamuzi kwa ajili ya nchi...
  9. JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

    Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
  10. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

    Nimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa wala maadili ya kuwa mwamuzi wa haki za Watanzania,anastahili kuwa jela au jehanamu. Mytake : NI AIBU...
  11. JamiiForums Tanzania DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji, Rais Samia umekosea sana

    Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia. Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu tunakiona hakiko sawa na kinakwenda kutuharibia zaidi mhimili wetu wa sheria. Nitaweka sababu za msingi sana...
  12. J

    JamiiForums Tanzania DPP kuteuliwa kuwa Jaji ni promotion? Niliiona kwa Feleshi na sasa kwa Biswalo

    Nauliza tu kwa wajuzi wa protokali huko wizara ya Katiba na Sheria. Kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania hadi kuwa Jaji wa mahakama kuu kanda fulani, ni kupanda cheo au kubadili tu nafasi? Ramadhan Kareem!
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Martha Koome mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu Afrika Mashariki

    Tume ya kupitisha jina la atakayekuwa Jaji Mkuu wa Kenya baada ya kuisha muda wa Jaji mstaafu David Maraga imepitsha jina la Jaji Martha Koome kuchukua nafasi hiyo. Koome anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu nchini Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla. Si haba, akina mama wanazidi...
  14. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Jaji Mwangesi Pokea Mzigo toka kwa CAG

    Jaji Mwangesi Pokea Mzigo toka kwa CAG Kila mfumo una uwezo wa kujiharibu. Demokrasia ina uwezo wa kujiua. Udikteta una uwezo wa kujiua ndani yake. Uliberali unayo sumu yake. Si sumu ya kuua mifumo mingine bali kujiua. Tumeona jinsi awamu ya tano ilivyotengeneza sumu ya kujiua. Ilipobana Uhuru...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Jaji Feleshi na Biswalo Mganga

    Amani iwe nanyi! Naomba niwashauri tu! Achaneni na wote waliokuwa wanapinga maovu ya Hayati Magufuli. Hawa ni pamoja na; 1. Fatma Karume 2. Jebra Kambole 3. Mdude Nyangali Na wengineo wote. Napenda ku waambie wakati haupo upande wenu. Rudisheni uwakili wa Fatma karume haraka iwezekanavyo maana...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Jaji Rweyemamu ni funzo la kuishi wa uadilifu

    Mitandao yote na kila kona watu wanalia au tunalia kifo cha Jaji Regina Reyemamu. Hutokea kwa nadra sana jaji akifariki halafu umma wote usikitike kw sauti moja kama inavyotokea leo kwa Jaji Rweyemamu. Hii ni uhibitisho kwama Jaji Rweyemamu alitenda haki. Tena wanaomlilia wengi ni wale wenye...
  17. JamiiForums Tanzania Jaji Imani Aboud Achaguliwa Kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

    Jaji Imani D. Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aligombea nafasi ya kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Katia Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje ya Umoja wa Afrika, Jaji Imani amechaguliwa kuwa jaji kwa muhula wa pili wa miaka 6, ambapo...
  18. JamiiForums Tanzania Hii hapa hukumu ya Kiswahili iliyotolewa na aliyekuwa Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania Mh. Galeba

    Nimeisoma hukumu hii na kwa maoni yangu JPM ametenda haki kumpandisha cheo. Aidha nitoe rai kwa vyuo vyetu vikuu vione namna ya kutambua mchango wa Jaji Galeba wafikirie kumpa Udaktari wa heshima.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amuapisha Jaji Zephrine Galeba kuwa jaji wa mahakama ya Rufaa

    Jaji wa Mahakama Kuu wa Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba alietuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufaa kutokana na kuandika Kiswahili katika moja ya hukumu alizowahi kuzitoa. Leo Rais Magufuli anamuapisha rasmi Dodoma, kuwa nami kukujuza yanayojiri. === 10:22 Asubuhi: Jaji Galeba anatia saini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…