ivory coast

Ivory Coast, also The Ivory Coast and formally Côte d'Ivoire, officially the Republic of Côte d'Ivoire, is a country located on the south coast of West Africa. Ivory Coast's political capital is Yamoussoukro in the centre of the country, while its economic capital and largest city is the port city of Abidjan. It borders Guinea to the northwest, Liberia to the west, Mali to the northwest, Burkina Faso to the northeast, Ghana to the east, and the Gulf of Guinea (Atlantic Ocean) to the south. The official language of the republic is French, with local indigenous languages also being widely used that include Baoulé, Dioula, Dan, Anyin, and Cebaara Senufo. In total, there are around 78 different languages spoken in Ivory Coast. The country has large populations of Muslims, Christians (primarily Roman Catholics) and various indigenous religions.
Before its colonization by Europeans, Ivory Coast was home to several states, including Gyaaman, the Kong Empire and Baoulé. The area became a protectorate of France in 1843 and was consolidated as a French colony in 1893 amid the European scramble for Africa. It achieved independence in 1960, led by Félix Houphouët-Boigny, who ruled the country until 1993. Relatively stable by regional standards, Ivory Coast established close political and economic ties with its West African neighbors while at the same time maintaining close relations to the West, especially France. Ivory Coast experienced a coup d'état in 1999 and two religiously-grounded civil wars, first between 2002 and 2007 and again during 2010–2011. In 2000, the country adopted a new constitution.Ivory Coast is a republic with strong executive power vested in its president. Through the production of coffee and cocoa, the country was an economic powerhouse in West Africa during the 1960s and 1970s, though it went through an economic crisis in the 1980s, contributing to a period of political and social turmoil. It was not until around 2014 that the gross domestic product again reached the level of its peak in the 1970s. In the 21st century, the Ivorian economy has been largely market-based, and it still relies heavily on agriculture, with smallholder cash-crop production being predominant.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    Mwandishi wa Ivory Coast ahoji AFCON 2027 kufanyika Afrika Mashariki yenye barabara mbovu na miundombinu mibovu

    Katika mkutano wa CAF uliofanyika hivi karibuni, Kuna kipande cha video cha mkutano huo kimeibua maswali mengi hususani kwa watu wa Afrika Mashariki, ikiwemo wakenya ambao kwenye kurusa za mitandao yao ya kijamii video hii imekuwa ikisambaa sana. Video hii inamhusu muandishi wa habari kutokea...
  2. R

    Waziri Mkuu wa Ivory Coast ajiuzulu

    Rais wa Côte d'Ivoire, Alassane Ouattara, amekubali kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Robert Beugre Mambe pamoja na serikali yake siku ya Jumatano, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais. Hatua hiyo inafungua njia ya kuundwa kwa serikali mpya kufuatia uchaguzi wa wabunge uliofanyika Desemba 27...
  3. R

    Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara ashinda tena Urais kwa awamu ya nne kwa 89.77%

    Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ameshinda kwa kishindo muhula wake wa nne kufuatia matokeo ya awali yaliyotangazwa Jumatatu — ushindi uliokuwa umetarajiwa baada ya wapinzani wake wakuu kuondolewa kwenye kinyang’anyiro kwa sababu ya kutokidhi vigezo. Soma pia UCHAGUZI MKUU IVORY COAST...
  4. Waufukweni

    Mke wa rais wa zamani wa Ivory Coast ateuliwa kuwania urais Oktoba 25, 2025

    Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast Simone Gbagbo (76), ameonekana katika orodha ya Wagombea watano walioidhinishwa rasmi kugombea katika Uchaguzi wa Rais mwezi ujao. Atakabiliana na Rais Alassane Ouattara (83), ambaye alichukua mamlaka baada ya yeye na mume wake wa zamani, Laurent Gbagbo...
  5. DELETED ACCOUNT

    Kwanini Pacome haitwi tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast?

    Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari. Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Ivory Coast: Wananchi maelfu waingia mtaani kumkataa Mgombea Urais wa chama tawala kugombea muhula wa nne

    Maelfu ya raia wa Ivory Coast waliingia mitaani mjini Abidjan, mji mkuu wa taifa hilo la Afrika Magharibi, kupinga kuondolewa kwa viongozi wa upinzani kwenye uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Ivory Coast, ambayo ndiyo uchumi mkubwa zaidi katika Afrika Magharibi...
  7. R

    Rais Ouattara wa Ivory Coast atangaza Kugombea tena nafasi hiyo, akiwa na Umri wa Miaka 83

    Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametangaza kugombea tena urais Oktoba mwaka huu akiwa na umri wa miaka 83, licha ya ahadi yake ya awali ya kuachia nafasi kwa viongozi wapya. Uamuzi wake unakuja wakati wapinzani wake wakuu kama Laurent Gbagbo na Tidjane Thiam wamezuiwa kugombea, hivyo kumpa...
  8. U

    TANZIA Aliyekuwa mshindi wa Quran 2024 amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16

    Inalilah waina ilahi rajiun Ibrahim sow kutoka Ivory coast. Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16. ==== Mshindi wa Mashindano ya Quran Tukufu Ibrahim Sow raia wa Ivory Coast amefariki. Taarifa kutoka vyombo mbalimbali Nchini Ivory...
  9. BLACK MOVEMENT

    SI KWELI Ivory coast yametokea Mapinduzi ya Kijeshi

    Kuna taarifa zisizo lasim kwamba Raisi wa Ivory Coast kapinduliwa na haijulikana alipo, Sasa sijapatavtaarofa rasimi. Huenda Wafaransa wamefanya yao huko.
  10. Tajiri Tanzanite

    Kisasi cha Simba kutolewa na Stellen Abidjan ya Ivory Coast mwaka 1993 kwenye fainali ya shirikisho

    Hapo vip!! Hii ndio muda wa Simba kulipa kisasi kwa mdogo mtu na wajina mtu Stellen bosch tarehe 20.04.2025. Hawa wakina stellen,wanataka kumzoea Simba vibaya hasa hasa kwenye hizi hatua nyeti. Tukumbuke kombe la shirikisho kipindi hicho ilikuwa na majina tofauti tofauti kwa kila msimu...
  11. JanguKamaJangu

    Waratibu wa Shindano la urembo la Miss Ivory Coast 2025 wapiga marufuku matumizi ya Wigi

    Waratibu wa Shindano la Urembo la Miss Ivory Coast Mwaka 2025 wamepiga marufuku matumizi ya washiriki kuvaa nywele bandia (Wigs) au kuongeza nywele bandia katika sehemu za nywele zao Mratibu wa Shindano hilo linaloanzia hatua ya awali katika Miji 13, Victor Yapobi amesema “Tunataka Washiriki...
  12. milele amina

    Utabiri: Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika Kutoka Ivory Coast, West Africa

    Katika miaka ya hivi karibuni, shirika la afya duniani (WHO) limekuwa na jukumu muhimu katika kushughulikia changamoto za afya zinazokabili nchi mbalimbali, hasa barani Afrika. Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika anatarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, na kuna uwezekano mkubwa kwamba atakuwa...
  13. Waufukweni

    Tidjane Thiam aukana Uraia wa Ufaransa ili kugombea Urais wa Ivory Coast

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Credit Suisse, Tidjane Thiam ,62, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kushiriki katika uchaguzi wa urais wa Ivory Coast unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba. Mwaka 2023, Thiam alichaguliwa kuwa kiongozi wa PDCI moja ya vyama...
  14. Dalton elijah

    Ivory Coast :Aukana Uraia Agombee Urais

    Alliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Credit Suisse, Tidjane Thiam ,62, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kushiriki katika uchaguzi wa urais wa Ivory Coast unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba. Mwaka 2023, Thiam alichaguliwa kuwa kiongozi wa PDCI, moja ya vyama...
  15. Mindyou

    Rais wa Ivory Coast awafukuza wanajeshi wa Ufaransa nchini Ivory Coast

    Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara ameamuru Wanajeshi wa Ufaransa nchini mwake kuanza kuondoka kuanzia Januari hii. Katika ujumbe wake mnamo Desemba 31, 2024, Rais Ouattara amesema “tumechukua uamuzi kwamba Wanajeshi wa Ufaransa waanze kuondoka Côte d’Ivoire kwa njia iliyopangwa.” Ufaransa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    Timu ya Taifa ya Ivory Coast timu bora ya Taifa ya wanaume

    Timu ya Taifa ya Ivory Coast ambao ni mabingwa watetezi wa AFCON , wametajwa kuwa timu bora ya Taifa kwa upande wa wanaume
  17. Mkalukungone Mwamba

    Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast, kuwania Urais mwaka 2025

    Familia imenogewa na kiti cha Urais baada ya Mume sasa Mke naye akitamani kiti hicho! =================== Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast, Simone Ehivet Gbagbo ametangaza kuwa atagombea katika Uchaguzi wa Urais wa 2025, akisisitiza kwamba anataka kuijenga Ivory Coast mpya. Amesema kuwa...
  18. GENTAMYCINE

    Kama hiki nilichokiona katika Clip ya Mchezaji Pascal Sergi Wawa akiwafundisha Soka Vijana wa Ivory Coast ni kweli namshauri aachane tu na kuwa Kocha

    Yaani Clip nzima Yeye ni Kufoka tu huku akiwatukana Wachezaji Vijana na ninahisi hata mbeleni labda Aliwapiga pia.
  19. Dalton elijah

    WHO yazindua chanjo mpya dhidi ya Malaria, Ivory Coast

    Utafiti unaonyesha kuwa chanjo mpya ina ufanisi zaidi ya 75% katika kuzuia magonjwa na vifo vikali katika mwaka wa kwanza na kwamba kinga huongezwa kwa angalau mwaka mmoja zaidi kwa kupata chanjo ya ziada yaani booster. Zaidi ya 94% ya takribani visa milioni 249 vya malaria duniani na vifo...
  20. L

    Dickson Job arudishe posho zote alizolipwa kwenye safari ya Afcon Ivory Coast

    Mchezaji mfupi kuliko wote nchini akiwqzidi madifenda wa zamani akina George Magere Masatu au Paulo John Masanja Dickson, Dickson Job ameachwa katika kikosi cha stars kwa madai ya kugomea kucheza beki wa kulia kwenye mchezo dhidi ya DRC. Huyu bila kupepesa macho wala kuleta ushabiki, ingekuwa...
Back
Top Bottom