israel

  1. JamiiForums Tanzania Israel inawasihi China kusaidia mateka waachiwe na Hamas

    Wanaukumbi. Maneno mengi majingambo ya Netanyahu na wenzake wamekimbilia China kuomba msaada wa mateka wake huko Gaza, Hamas wao wapo kimya wanatoa kichapo tu huko Gaza. 🇮🇱🇨🇳 ISRAEL PLEADS CHINA TO HELP FREE HOSTAGE Netanyahu has reportedly asked Xi to assist in freeing Israeli hostage Noa...
  2. JamiiForums Tanzania Yahya Sinwar baada ya kuwaponyoka Israel aibuka na kusema Hamas imeshaua zaidi ya elfu askari wa IDF

    Kiongozi mkazi wa Hamas ndani ya Gaza ameibuka kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya oktoba 7 na kusema jeshi lake linapigana vita vikali na ambavyo havijawahi kutokea. Matamko yake hayo yamekuja kwa njia ya maandishi na kuonesha ni matamko ya muda unaoendelea ametoa matamko kuashiria...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Israel yatangaza kuanza kukodisha wanajeshi mamluki

    Israel imetangaza rasmi kuhitaji huduma ya wanajeshi mamluki kutoka sehemu mbali mbali duniani. Tangazo lililotolewa na jeshi la Israel (IDF) imeelezea ofisi za usaili zipo kwenye ubalozi wa Israel jijini New York kwa wahitaji waliopo bara la Amerika ya Kusini na kaskazini huku wahitaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita yaIsrael dhidi ya Hezbollah

    Wanaukumbi. 🚨 🇮🇱🇱🇧HEZBOLLAH MISSILE IMPACT IN ISRAEL KASKAZINI Manara: Zaidi ya 50% ya nyumba, jumla ya majengo 86, yameharibiwa. Metula: Nyumba 9 zimeharibiwa. Waliopoteza maisha wameripotiwa kuwa wanajeshi 5 wa Israel na wapiganaji 18 katika mzozo huo. Zaidi ya Waisraeli 20,000...
  5. JamiiForums Tanzania Israel imemuua Jenerali wa Iran Sayyed Razi Mousa vita vinaweza kuenea sehemu kubwa

    Wanaukumbi. BEIRUT, Des 25 (Reuters) - Shambulio la anga la Israel nje ya mji mkuu wa Syria Damascus siku ya Jumatatu lilimuua mshauri mkuu katika Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, vyanzo vitatu vya usalama vilisema. Vyanzo hivyo vililiambia shirika la habari la Reuters kwamba mshauri huyo...
  6. JamiiForums Tanzania Vita kati ya Hamas na Israel ni kati ya dini na dini au ni kati ya Taifa na Taifa??

    Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!?? Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini??? Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael?? Uislam na Ukristo unahusikaje na...
  7. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa yafanyika Morocco kutaka kufutwa mahusiano na Israel

    Japokuwa Morrocco wamekuwa wakiandamana mara kwa mara dhidi ya Israel, lakini maandamano ya jana disema 24 ndiyo makubwa zaidi kufanyika kwa ajili ya kuitaka nchi yao kusitisha mahusiano yote yaliyokubaliwa mwaka 2020. Maandamano hayo yaliyosimamiwa na chama cha Kiislamu cha Al adl wal ihsan...
  8. JamiiForums Tanzania Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

    Wanakumbi. VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸 Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine. Wiki...
  9. JamiiForums Tanzania Israel yaamrisha Misri iondoe wanajeshi wake eneo la Rafah, inataka kupapiga na ipakalie

    Raundi hii Israel haicheki tena, yaani inatunisha misuli kote maana ni dhahiri hawa waarabu na dini yao hamna siku watakuja kukubali kuishi na Wayahudi kwa amani,================== The IDF has allegedly informed Egypt of its intention to occupy the Rafah border area and asked Egyptian soldiers...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Israel anapata wapi hiki kiburi? Ameweka rekodi ya kuuwa wafanyakazi wengi zaidi wa UN na waandishi

    Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel...
  11. JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuziba mfereji wa Gibraltar ambako meli zinazozunguka Afrika Kusini hupita kwenda Israel

    Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu wakati vita vikiendelea,mori wa vita sasa umepanda kwa Iran na kusema iwapo vita havitasimama basi dunia ijitayarishe kuona taifa hilo likiuziba mfereji wa Gibraltar. Mfereji huo kama ilivyo kwa mfereji wa Sueza na bahari nyekundu nao ni njia kubwa ya baharini...
  12. JamiiForums Tanzania Quran imetaja neno 'Israel' mara 43, lakini haijataja neno "Palestina" hata kidogo

    Kitabu cha Quran kinataka jina la Israel mara 43 katika maandiko yake, lakini kitabu icho icho hakina andiko lolote linatolotaja neno Palestina (Palestine), kwa lugha nyingi yani jina Palestina halipo kwenye Quran. Na Uislam hautambui taifa la Palestina, lakini unatambua Taifa la Israel...
  13. JamiiForums Tanzania The Guardian: Israel inapoteza vita dhidi ya Hamas lakini Netanyahu na serikali yake kamwe hawataki kukubali

    Wanakumbi. Siku kumi zilizopita, kiongozi mkuu wa kila siku wa Israeli, Yedioth Ahronoth, alichapisha habari zilizopatikana kutoka kwa idara ya urekebishaji ya wizara ya ulinzi. Mkuu wa idara hiyo, Limor Luria, aliripotiwa kusema kuwa zaidi ya wanajeshi 2,000 wa IDF wameandikishwa kuwa walemavu...
  14. JamiiForums Tanzania Algeria yazuia Ndege ya Marekani inayosafirisha Silaha kwenda Israel kutoka anga yao

    Algeria prevents a US aircraft carrying weapons to israel from flying over their space Kwa msaada wa google: Algeria yazuia ndege ya Marekani iliyobeba silaha kuelekea israel kuruka juu ya anga yao. Safi sana الجزاير/Algeria💪🏽❤1🇩🇿
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa yako Israel limetajwa mara 2200 ndani ya Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja

    Wadau hamjamboni nyote Niende kwenye hoja moja Kwa moja Huu ndiyo ukweli wa Maandiko matakatifu Taifa la Israel limetajwa mara 2,200 kwenye Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja Je Taifa la Israel limetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu? Je Palestine imetajwa mara ngapi ndani...
  16. JamiiForums Tanzania Maovu wanayotendewa Wakristo na Waafrika weusi huko Israel

    Yote haya yanatoka kwenye vyombo vya habari na vyanzo vyake vipo> Tafsiri kwa msaada wa google. Israel yatoa taarifa ya kushangaza leo ambapo maafisa wa serikali wanachukulia kwa uzito hivi karibuni kuongezeka kwa wakristo kutemewa mate na Mashambulizi dhidi ya makasisi na uharibifu wa Tovuti...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani inajifanya janja sana.Eti Israel iwamalize Hamas wote lakini ipunguze vifo vya wapalestina wengine.Hiyo si huruma bali ni kuakhirisha kifo.

    Siku za karibuni Marekani imejifanya ina huruma na wapalestina na huku anapeleka silaha na anahimiza Israel iendeleze kazi yake. Kuanzia raisi Biden ,Blinke mpaka wairi wa ulinzi Lord Austin wote wmejifanya wana huruma na kurudia ziara za mazungumzo ya siri na Israel.Wakiibuka hadharani wanasema...
  18. JamiiForums Tanzania Israel yakatalia mbali ombi la HAMAS kwamba iache vita kabisa ili mateka waachiwe

    Hivi kwa anayejua atusaidie kuelewa, baada ya HAMAS kuteka hao watu, walitoa sharti gani mwanzo ili kuwaachia, maana naona sasa wamekubali yaishe almradi Israel iache mapigo zaidi, na hii ni baada ya Israel kuua Wapalestina 20,000 na kuifanya Gaza kuwa shamba. Je sharti la mwanzo la HAMAS kabla...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hamas yasema haitawaachilia tena mateka hadi Israel ikomeshe vita

    Hamas inasema kuwa makundi ya Wapalestina yamepinga matarajio ya kuachiliwa zaidi kwa mateka hadi Israel ikubali kumaliza vita Gaza. Katika taarifa ya Kiarabu iliyosambazwa kwenye Telegram, Hamas ilisema: "Kuna uamuzi wa kitaifa wa Palestina kwamba kusiwe na mazungumzo kuhusu wafungwa au...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS

    Huu ndiyo ulio ukweli mchungu. Ikumbukwe; 1. Israel anajinasibu kupambana na HAMAS akisema hana taabu na wapalestina huku wahanga wakiwa wapalestina; hadi West Bank ambako hakuna HAMAS. 3. Kila vita vinapotaka kusimama, maafisa wazito wazito wa Marekani huenda Israel na vita hurundima upya kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…