israel

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi mwingine wa Israel atuhumiwa kumdhalilisha bBikra Maria

    Mwanajeshi mwingine wa Idf akutwa na tuhuma ya kudhalilisha sanamu ya mama Maria kwenye mji wa kikristo lebanon. Mwanajeshi huyo akionekana kwenye picha akimdhihaki mama yake yesu kwa kuvutisha sigara sanamu lake. Hii si mara ya kwanza kwa wanajeshi wa Idf kudhalilisha makanisa na kudhihaki...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Jeshi la Israel asema zaidi ya wanamgambo 2,000 wa Hezbollah wameuawa

    Mkuu wa Jeshi la Israel Luteni Jenerali Eyal Zamir, ametembelea eneo la Khiam akiwa na makamanda wakuu wa IDF, akiwemo mkuu wa Kamandi ya Kaskazini na uongozi wa kitengo. Alifanya tathmini ya uendeshaji, akapokea taarifa za uwanjani, alizungumza na makamanda wa kikosi, na akatembelea...
  3. JamiiForums Tanzania ISRAEL vs THE WORLD

    Israel's survival and economic resilience are heavily anchored in its advanced high-tech sector, which contributes over 50% of the country's annual exports and roughly 19% of its GDP. Despite conflict, the sector grew to $15.6 billion in capital raised by 2025, driven by cybersecurity, AI, and...
  4. JamiiForums Tanzania Rubio: Israel na Lebanon ni wahanga wa Magaidi wa Hezbollah

    Sek Rubio: "Israeli na Lebanon zote zinatafuta amani kati yao. Zote mbili ni wahanga wa Hezbollah."
  5. JamiiForums Tanzania Mtu ameamka tu akaandika "hezbollah anamchakaza israel vibaya mno". Mimi nafikiri ni wakati sahihi JF kuanzisha community notes ili kuuchamba uongo

    mtu ameamka na stress za chuki dhidi ya israel, so ili kuituliza nafsi yake ngoja atunge stori ambayo haina accuracy yoyote na picha za AI kuonesha operation kabambe za uongo😁 Point yangu kubwa kuna matango pori mengi sana humu JF na watu wanaishia kuwa mis-informed. Itengenezwe community...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hezbullah anavyo mcharaza Israel

    Wako wapi wale makenge waliye sema Hezbullah imekwisha Echolima1 Mzee Kigogo Mlaleo Nendeni mkawasaidie mashogo wenzenu kule Lebanon wanacharazwa vibaya sana mpaa magazeti ya mashoga wenzenu wanalia eti Israel hawana experience ya kupigana na Hezbullah hahaha...
  7. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Israel wazidi kupaa licha ya Vita vyake na Iran

    Habari mbaya kwa mashabiki wa Magaidi duniani kote hasa kwa Waarabu-Koko wa Bonyokwa akiwema zitto junior na Mzee wa UHARO Ritz. Licha ya vita na Iran vilivyoanza Februari 2026 na mgogoro unaoendelea tangu Oktoba 2023, uchumi wa Israeli na masoko ya fedha yanastawi na kuonyesha ustahimilivu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Wayahudi wa Ethiopia (Beta Israel): Je, ndio Waisraeli wa mwanzo?

    wanajulikana kama Wayahudi wa Ethiopia, ni jamii ya kale iliyodumisha imani ya Kiyahudi kwa karne nyingi katika maeneo ya kaskazini mwa Ethiopia. Je, hawa ndio Waisraeli wa mwanzo? Kihistoria, Beta Israel waliishi katika maeneo ya Gondar na Tigray. Kwa muda mrefu walikuwa wametengwa na jamii...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Hakuwepo jambo la kifahari na ni aibu kubwa kwa mataifa makubwa ya Marekani na Israel kumuua kiongozi mkuu wa kidini wa Iran akiwa na miaka 86

    Mnamo FEBRUARI 28,2026 Mzee wetu mwenye hekima Ayatollah Ali Khamenei akiwa na umri wa miaka 86 tayari akiwa ameshiba siku akisubiri muda wake kwa amri ya Mungu wake aliuawa. Uamuzi wa kumuua katika umri huo haukuwa ushujaa bali ni ukatili na aibu kubwa kwa majeshi yenye nguvu kama...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Israel ahutubia makamanda na wakuu wa vikosi vya IDF!!

    Mkuu wa Wafanyakazi, Eyal Zamir, alishiriki leo katika mkutano wa kamandi ya juu ya IDF, ambapo alihutubia mkutano huo. Maelezo Muhimu aliyoyatoa IDF ni jeshi la Nchi ya Israeli, jeshi lililojengwa juu ya maadili na nidhamu ya hali ya juu. Hata baada ya zaidi ya miaka miwili na nusu ya mapigano...
  11. JamiiForums Tanzania UAE; Kulindwa na Air-Defence za Israel

    Habari hii najua haitawafurahisha Waarabu-koko wa BONYOKWA lakini ujweli ndiyo huu- Kulingana na ripoti ya Axios, Israeli ilituma kikosi kamili cha Iron Dome pamoja na vifaa vyake na wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Israeli kwenda Umoja wa Falme za Kiarabu kwenda kuilinda nchi hiyo dhidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Matokeo Ubaoni Vita ya Iran Vs Israel

    Kwa hali ya sasa ya vita kati ya Iran na Israel (na pia kuhusisha Marekani), ukweli ni huu: 1. Iran ndiyo imeathirika zaidi (kwa kiwango kikubwa) Vifo na majeruhi ni wengi zaidi Iran Miundombinu muhimu (kama mafuta, gesi, na kijeshi) imeharibiwa vibaya Uchumi umeanguka: Sarafu kushuka Ajira...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel ashtushwa sana na jaribio la kumuua Rais Trump, amshukuru Mungu kuwa Trump na mkewe wako salama

    Netanyahu ‘shocked by the attempted assassination’ of Trump Today, 9:56 am ) Prime Minister Benjamin Netanyahu says he is “shocked by the attempted assassination” of US President Donald Trump at a gala dinner in Washington DC. Netanyahu says he is relieved that Trump and the first lady are...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume!!

    Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume; daktari anasema uvimbe ulipatikana 'miezi michache iliyopita,' Waziri Mkuu alipata tiba ya mionzi miezi 2.5 iliyopita, na ugonjwa huo umetoweka. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu afichua kwamba alifanyiwa matibabu ya saratani ya...
  15. JamiiForums Tanzania Wairan wenyewe ni mashabiki wa US na Israel ila wewe mwenzangu wa daraja mbili unalaani vikali matendo ya mabwenyenye😁😁

    Ni kipi haswa ulichosimamia😁😁 muuaji ayatollah anaeua watu wake kwa ajili ya madaraka au watu wa iran ambao kiasili ndio wenye nchi? Hakuna unajua wewe zaidi ya ushabiki, unashibikia IRGC kwa maana wana wakilisha unyama ulionao ndani yako na unyama wa itikadi mnayo share nao.
  16. JamiiForums Tanzania How UAE and Israel “stole” rains from Jordan, Iraq and Iran

    In the year 2011, the former Iranian president Mahmoud Ahmadinejad said: "They are stealing our rains." No one believed him. How Were the UAE and Israel Stealing Jordan's, Iran's, and Syria's Rain? The theory circulating to explain the increase in rainfall in Iran, especially after the recent...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz aionya Iran!

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz, mwishoni mwa tathmini ya hali kuhusu Iran: Israeli imejiandaa upya kwa ajili ya vita dhidi ya Iran. Jeshi la IDF limejiandaa katika ulinzi na mashambulizi na malengo yamewekewa alama tayari kwa kushambuliwa!! Tunasubiri amri tu kutoka Marekani hasa ili...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu kwa miaka 78 zimeshindwa kuifanya chochote nchi ya Israel

    Kwa miongo kadhaa, vichwa vya habari vya Iran na nchi za kiarabu viliendelea kuahidi kuangamizwa kwa Israeli. Wataalamu kutoka Iran na nchi za kiarabu walisema Taifa la Israel haliwezi kudumu. Walikosea kila wakati walipobashiri Israeli haikuokoka tu, ilijenga, ilipigana, na kustawi. Bado tuko...
  19. JamiiForums Tanzania Sherehe za miaka 78 ya Uhuru wa Israel Rais Isaac Herzog atoa salamu!!

    Salamu kutoka kwa Rais wa Israeli Isaac Herzog kwa jamii za Wayahudi duniani kote katika Siku ya Uhuru wa Israeli ya miaka 78.
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa Mambo ya nchi za nje wa Israel waomba radhi!!

    Matokeo na Hitimisho la Uchunguzi Kuhusu Mwenendo wa Askari wa IDF Aliyeharibu Alama ya Kikristo Kusini mwa Lebanon Uchunguzi uligundua kuwa wakati wa shughuli za IDF katika eneo la kijiji cha Kikristo cha Debel kusini mwa Lebanon, askari wa IDF aliharibu alama ya kidini ya Kikristo huku askari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…