Jamani tuacheni shobo (Ushauri na si kwa ubaya).
Kama tunakutwa na janga, acha tupambane nalo, tuone wapi tumekosea na tujirekebishe. Haya mambo mengine ya kutaka watu wakuposti, wala hayasaidii.
Watu wamepata matatizo, acha wapray wao kwa wao, kama sisi tunavyoachwa tupray sisi kwa sisi...