israel

  1. U

    Ndege za Israel yashambukia uwanja wa ndege wa Sanaa muda huu

    Wadau hamjamboni nyote? The Israeli Air Force is carrying out strikes on the Houthi-held Sanaa International Airport in Yemen, according to local media. The strikes come after repeated Houthi missile attacks on Israel in recent days. Earlier this month, also after repeated attacks...
  2. Israel yapata kiwewe na ushujaa wa wapalestina.Mbinu za kupambana nao zimewaishia wakati Tsunami ya kimataifa ikianza dhidi yao

    Tayari minong'ono imesambaa kushangazwa na ushujaa wa wapalestina katika kutetea ardhi na imani zao. Viongozi wote wakuu wa Hamas kwa mujibu wa Israel wameshauliwa mpaka makamanda wadogo wadogo na bado hakuna malengo yaliyofikiwa.Ufuatao ni muhtasari wa kushindwa kwa mbinu za Israel, 1.Kwa...
  3. PreGE2025 Gwajima ameweka bendera ya Israel Kanisani kwake

    Sasa Ile bendera ya Israel inaonyesha nini kuhusu imani yake Gwajima.? Waisraeli anadhani wana Dini gani? Askofu Gwajima anataka aonekane kwamba yeye peke yake ndiye mtetezi wa wanyonge. Hao Waisraeli ndio wanaishambulia Gaza sasa hivi? Nani anapenda kuona Wagaza wanashambuliwa namna ile...
  4. Israel ni nchi ya ki-Demokrasi hakuna ubaguzi wowote kwa mtu yeyote

    Kuna watu wengi sana wakishakula Maharage ya jana wanakula mstari wa mbele kueneza uongo wa kila aina kuhusu Israel. Wengi wanaoeneza uongo huo hata hawajui Historia ya Israel na hawajawahi kufika katika nchi hiyo wengi wamemezeshwa uongo na viongozi wao wa kidini na wengine wamevutwa tu na...
  5. A

    Israel itabidi akapige magoti kwa Yemen kama vile baba yake USA

    Tuliwambia Yemen hajawahi kushindwa vita USA ilibidi apige mogoti kwa njia ya Oman, alijipeleka kumsaidia Israel kuiondolea blockade alio wekewa kule Red Sea kipigo alicho kipata kutoka kwa Al Houthi mpaa akachanganyikiwa akaomba poa na Al Houthi ili afiche aibu zake. Israel sa kawekewa...
  6. Nakuambiaje, hii leo Israel abadirishe dini na awe muislam, hautakuja kuona mabango ya free palestine. So the issue ni itikadi wala sio haki ya ardhi.

    Niambie ni lini mwenyaaazi wa JF waliwahi kuandika nyuzi kama hizi ku-condemn yafuatayo👇🏻👇🏻 Ushawahi kusika free sudan? Ushawahi kusikia free syria? Ushawahi kusikia free yemen?
  7. Leo ni Jerusalem-Day huko Israel

    Huko Yerusalemu sherehe za Siku ya Yerusalemu (Yom Yerushalayim) zilianza jana na leo z inaendelea kwa siku nzima. siku ya leo wanasherehekea kuunganishwa tena kwa Yerusalemu tangu vita vya siku 6 vya 1967. 🇮🇱 Katika siku hii miaka 58 iliyopita, Yerusalemu—Mji Mkongwe na Ukuta wa...
  8. Jinsi maneno potoshi juu ya Israel yanavyojibiwa kwa usahihi!!

    Kama raia wa Kiarabu wa nchi, sina budi kutetea sura ya Taifa la Israeli dhidi ya kauli za kipuuzi, za uongo na za uchochezi dhidi ya Serikali zinazotolewa na viongozi wa nchi mbalimbali... Ajabu sana kuona viongozi kama hao wanajitoa ufahamu kiasi hicho!!!
  9. Je Israel itaishambulia Iran?

    Netanyahu amesema kama mazungumzo ya US na Iran yatashindikana juu ya Iran kuachana na urutubishaji wa mabomu ya nyuklia basi Israeli itashambulia vinu vya nyuklia vya Iran upesi iwezekanavyo. Ayatollah Khomenei kasema hawezi kukubaliana na hoja za Marekani za kuachana na utengenezaji wa zana...
  10. Utitiri wa makombora ya Israel yarushwa maeneo kadhaa kukabiliana na ballistic na droni kutoka Yemen

    Houth wamebadili mtindo wa urushaji wa makombora yao kuishambulia Israel.Tofauti na zamani wapiganaji hao kutoka Yemen wameongeza kasi ya kusihambulia Israel hasa uwanja wa Ndege wa Ben Gurion. Kwa sasa Houth wamefanikiwa kumudu kurusha hata kombora 3 za ballistic kila baada ya siku 2. Katika...
  11. Wafadhili wakuu wa Ugaidi duniani Qatar watoa salamu za pole kwa Taifa la Israel baada ya wafanyakazi wake kuuliwa kwa Ugaidi wa Kipalestina nchin USA

    Qatar condemns killing of Israeli embassy staffers in Washington Qatar Munafiq, mfadhri mkuu wa magaidi duniani ambaye pia ni ndumilakuwili chui mwenye ngozi ya kondoo, inalaani mauaji ya wafanyakazi wawili wa ubalozi wa Israel mjini Washington - ambayo yalifanywa na mtu mwenye silaha ambaye...
  12. Waarabu kumshindwa Israel katika hii ramani ni jambo la kushangaza

    Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani. Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana. Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa...
  13. Shirika la ndege la Israel El Al laibuka na faida nono!!!

    El Al iliripoti kuibuka kwa asilimia 19 katika faida ya robo ya kwanza, na kufikia dola milioni 96 licha ya mashirika ya ndege ya kigeni kupunguza safari za Israeli. Mapato yalipanda 5% hadi $774 milioni, wakati sehemu yake ya soko ilishuka hadi 44% kutoka 62% mwaka uliopita. Mkurugenzi...
  14. VIDEO-Askari wa Israel wakiwapa maji Wapalestina

    Video kama hii Aljazeera hawawezi kuionyesha maana itawaumbua unafiki wao!!!
  15. Mawaziri Wakuu wa Israel na Uingereza wabwatukiana!

    Uingereza kusitisha mazungumzo ya biashara huria na Israel; Wizara ya Mambo ya Nje yasema hatua hiyo 'haitaizuia' Israel katika 'pambano lake na Magaidi' Kufuatia tangazo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy mapema leo la kusimamisha kwa Uingereza mazungumzo ya makubaliano ya...
  16. Majeshi ya Israel yanamsaka Izz ad-Din al-Haddad kamanda pekee aliyebakia hai!!!

    Huyu ndiye afisa mkuu wa mwisho wa mrengo wa kijeshi wa Hamas ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa wasanifu wa Oct 07,2023 na bado yuko hai - Izz ad-Din al-Haddad, Kamanda wa Brigedi ya Gaza. Yeye ndiye shabaha inayofuata, shabaha inayofuata ya kuondolewa. Gaidi huyu wa kudharauliwa anayelivunjia...
  17. Jeshi la Israel IDF linajitayalisha Na "shambulio Ambalo Halijawahi Kushuhudiwa". Tangau Kuanza Kwa Vita

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameelezea kuwa Israeli itaendelea kudhibiti Gaza nzima licha ya shinikizo la kimataifa ambalo linaitaka kuondoa kizuizi cha vifaa vya misaada ambacho kimeiacha eneo hilo ukingoni mwa njaa. Jeshi la Israeli, ambalo limetangaza kuanza kwa operesheni mpya limewaonya...
  18. Waziri Mkuu wa Israel aruhusu tena misaada kupelekwa Gaza

    Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri la usalama mapema leo jioni. Katika taarifa ya kuthibitisha uamuzi huo...
  19. Nchi za kiarabu zakutana Iraq na kupiga picha ya pamoja siku moja kabla ya Israel kuanzisha operesheni ya kuiteka Gaza.

    Mataifa ya kiarabu yameendelea kujitusi yenyewe kwa kufanya kikao nchini Iraq na kuondoka bila matamo yanayoendana na wakati. Katika mkutano huo wa 34 mataifa hayo yamerudia azimio la kuijenga upya Gaza na kwamba wanapinga kuhamishwa kwa wapalestina kutoka ardhi yao hiyo. Mkutano huo...
  20. Mwarabu mmoja Amtemea mate Mwanajeshi wa kike huko Tel Aviv Israel

    Raia mmoja wa Israel mwenye asili ya kiarabu leo akiwa kwenye usafiri wa Umma wakati anashuka alimtemea mate Mwanajeshi wa jeshi la Israel IDF kisha kukimbia tukio hilo lilinaswa na kamera za cctv zilizomo kwenye basi hilo. Juhudi za kumtafuta zinaendelea baada ya wataalamu wa Forensic-lab...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…