israel

  1. Israel watajutia milele kwa walichokifanya huko Iran

    Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana. Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story Majibu ya Iran yataishangaza dunia Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya...
  2. U

    Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

    Wadau hamjamboni nyote. Mlipuko mkubwa ulisikika muda mfupi uliopita karibu na kambi ya kijeshi ya kijeshi katika mkoa wa Hamedan magharibi mwa Iran, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti, kufuatia shambulio kubwa la Israel dhidi ya nchi hiyo. "Saa chache zilizopita, mlipuko mkubwa...
  3. U

    Baraza la Usalama la UN kukutana kwa dharula kujadili shambulizi la Israel dhidi ya Iran

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kukutana baadaye leo Ijumaa kujadili mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran, wamesema wanadiplomasia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, aliomba kikao hicho kupitia barua kwa Baraza hilo lenye wanachama 15, akisema kuwa "Israel sasa...
  4. M

    Israel furaha yake ipo kwenye uvumbuzi wa siraha na kupiga adui zake kama mlivyo Watangawizi, furaha yenu ni mikopo na kufungana jela

    Israel, kazi zingine ni kama gelesha tu Ila chaguo lao namba moja, ni tekenorojia hasa ya uvumbuzi wa siraha na uwezo wa kuzitumia Wamewekeza akili mingi kwenye jambo hilo kuliko kingine chote Hii hasa ni kutokana na nchi zinazoizunguka Israel kutoa matamko ya kijinga kuwa eti wataifuta...
  5. Trump asema waliokua wanashupaza shingo wameuawa, Israel inaandaa kushambulia tena

    Napata raha hadi naumwa, Trump alionya Iran kwamba watapigwa wakashupaza shingo, makamanda waliokua na misimamo mikali leo wamewahishwa kwa mabikira, Israel imesema bado haijakamilisha mapigo na hakuna kenge wa kuizuia, itapiga mpaka ifikie malengo yake, anga ya Iran peupe hamna ulinzi wowote...
  6. Tetesi: Netanyahu kakimbia Nchi kuokoa kiwiliwili chake

    Waziri mkuu wa Serikali ya magaidi ya Israel amekimbia Taifa lake baada ya Iran kutangaza vita rasmi na kupandisha bendera nyekundu. Gaidi huyo amekimbia huku akindikizwa na fighter mbili za wanamgambo wa kiyahudi. BREAKING: Netanyahu is running away from Israel for now. According to a special...
  7. Ayatollah wa Iran yupo ndani ya crosshairs za Israel

    Kwa makobazi wa kike na wa kiume, hii ni ngumu kumeza. Sasa ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kiongozi wa Iran asiyegusika. Hiyo ni pamoja na Ayatollah pamoja na Rais wa Iran. Sitoshangaa Israel ikiwa inajua hadi kitanda anacholalia Ayatollah kikoje. Israel imeonyesha uwezo wa kuwafyekelea...
  8. Times of Isarael: Israel Ilijenga kituo cha drones ndani ya Iran

    🚨🇮🇷🇮🇱 Israel imetumia miaka mingi kujiandaa kwa shambulio dhidi ya maeneo ya nyuklia na makombora ya Iran, ikiwa ni pamoja na kuingiza silaha na majeshi ya vikosi maalum kwa siri ndani ya nchi hiyo, kwa mujibu wa afisa wa usalama wa Israel. Wakala wa Mossad wanaripotiwa kuanzisha kituo cha...
  9. Drones zote za Iran zimepigwa chini, anga ya Israel salama

    Iran licha kupigwa na mindege ya Israel kwa awamu nne, 4 waves, ilishindwa kuangusha hata ndege moja, au hata kuzuia makombora, imepigika haswa, sasa Iran ikajibu kwa kutuma drones, zimepigwa zote chini.... IDF rescinds order to stay near shelter after intercepting Iranian drones ByAMICHAI...
  10. Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

    Israel yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran Usiku wa kuamkia leo Juni 13 Israel imefanya mashambulizi ya anga kwa nchi ya Irani huku ikilenga maeneo muhimu na viongozi katika mji wa Tehran. Shirika la Habari la Tasnim la Iran...
  11. Bei ya mafuta ya kula itakuaje Baada ya Israel kuishambulia iran

    Habari, Baada ya Israel kuishambulia iran Leo usiku ,Bei ya mafuta ya kula itapanda au itashuka ????
  12. E

    Kiuwezo Iran kazidiwa mbali sana na Israel Aache wananchi wake waishi kwa Amani

    Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi . Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
  13. Tuendelee kupata matamko ya Hayatollah Khomein kuhusiana na vita ya Israel vs Iran. Toka Al Jazeera

    Wakati Makobazi yanasema Israel imepiga upepo. Khayatolla aanza kutoa Milio. Tupate habari toka Al Jazeera. Nuclear Sites zimepigwa na Makamanda kuuawa. Na Nuclear scientists wameuawa pia.
  14. Israel imekuwa ikiimezea/itamani Iran muda mrefu sana. So whatever inachofanya sasa ilishajiandaa na kupiga hesabu

    Huu ushahidi wa mwezi wa 4 Waziri akisema atakuja ponda ponda kichwa cha nyoka baada ya kumaliza vidagaa vyake.
  15. Inawezekana kabisa kwamba Israel inaweza kuwa na majasusi wenye asili ya Kiirani, au hata Wayahudi wenye uraia wa Iran

    Historia ya Wayahudi wa Iran ilianza Iran (zamani ikiitwa Uajemi) imekuwa na jumuiya ya Wayahudi kwa maelfu ya miaka. Kabla ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, kulikuwa na zaidi ya Wayahudi 80,000 nchini Iran. Hata baada ya mapinduzi, Wayahudi wengi walihamia Israel, Marekani, au Ulaya — lakini...
  16. Trump asema marekani itajilinda na kumlinda Israel

    Rais wa marekani Donald Trump amesema taifa lake litajilinda na kumlinda Israel kama Iran ikijibu hii ni kufuatia mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran. === Rais wa Marekani Donald Trump alieleza katika mahojiano na Fox News kwamba Marekani itailinda Israel iwapo Iran itajibu mashambulizi...
  17. Kwa nini hii Israel ya Sasa inaonekana kufanikiwa kuliko Israel za zamani ambazo hazikuwa na ukaribu na wazungu isipokuwa Mungu tu?

    Tangu kuwepo KWA Taifa hilo limekuwa ni taifa la kuonewa sana. Kipindi lilichokaa KWA amani ni wakati wa Mfalme Suleiman tu. Sababu za kufanikiwa kwao ni ukaribu wao na Mungu wao, sababu za kufeli kwao ilikuwa ni umbali wao na Mungu wao. Mfano Waliteswa na Wafilisti Walikuwa watumwa wa Wairaq...
  18. W

    Orodha Isiyo rasmi ya maafisa wa juu wa jeshi la Iran waliolengwa na Israel

    Mohammad Bagheri – Mkuu wa majeshi ya jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Chief of Staff of the Armed Forces.) Hossein Salami – Kiongozi mkuu wa Jeshi la walinzi wa mapinduzi ya kiislamu (commander of IRGC.) Amir Ali Hajizadeh – Mkuu wa Kikosi cha Anga cha jeshi la walinzi wa mapinduzi ya...
  19. Tetesi: Mkuu wa majeshi ya Iran na wanasayansi wa nyuklia wauawa kwenye shambulizi la Israel

    Kumekuchaa....jamaa wamewahishwa kwa mabikira. The likelihood is increasing that the Iranian General Staff, including the Iranian Chief of Staff Mohammad Bagheri, and senior nuclear scientists were killed in the opening strike of Israel's Operation Rising Lion, early Friday morning. Dozens...
  20. W

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani "Marco Rubio": Israel wamejichukulia maamuzi yao, sisi hatuhusiki kwa lolote lakini ole wao Iran watuguse !

    Statement from Secretary of State Marco Rubio “Tonight, Israel took unilateral action against Iran. We are not involved in strikes against Iran and our top priority is protecting American forces in the region. Israel advised us that they believe this action was necessary for its self-defense...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…