israel

  1. Hizbullah warudi uwanjani kuisaidia Iran kupambana na Israel. Hali ndani ya Israel ni tete. Watu wasema hawakuzoea mambo kama haya

    Milio ya ving'ora imerudia ndani ya miji ya kaskazini ya Israel mpakani na Lebanon ikidhaniwa ni droni kutokea kwa Heizbullah. Droni kama hizo zimeonekana zikiingia ndani ya israel kupidia bonde la mto Jordan. Wananchi ndani ya jiji la Te Aviv wakisimulia mapigo ya jana kutoka Iran wamesema...
  2. Khayatollah ampigia simu Trump kumtaka awatulize vichaa Israel

    Katika hali ambayo inashangaza sana na kukasirisha. Ni kitendo cha Khayatollah kumpigia simu Trump kuwa awaambie watu wake Mayahudi kuwa sasa wamerudishiana angalau yaishe. Trump anasema atajaribu kuongea na Netanyau ola shida Netanyau ni mjeuri sana. Khayatollah anasema wameingia sana hasara...
  3. Israel ni taifa Mwamba anayeweza kukuingilia na kukupiga ndani kwako na mkeo kama ngoma tu na humuwezi kwa wowote

    Kitendo cha Joka kuu la ifadhili wa Ugaidi duniani Iran kuingiliwa mpaka chumbani kwake na kutandikwa kama ngoma ni ishara tosha kuwa Israel hashkiki ... Israel Taifa dogo kwa eneo dogo zaidi hata ya eneo La Dar es salaam lakini mziki wake mnene dunia nzima inasimama....hawa majamaa hawacheki...
  4. Israel yasema bado Itatuma tena mabinti wakatalii Iran na kusalimia. Imepata ilichotaka...

    Baada ya mabinti kutumwa kwenda kutia vidole vifinyio vya Irani. Wanasema wanataka waende tena kabla hawajawaachia wanaume kwenda malizia, kufika kileleni. Israel imefanikiwa kabisa katika kushambulia Iran — hususan katika operesheni ya Rising Lion ya tarehe 13 Juni 2025 — lakini mafanikio...
  5. Mpaka sasa tathmini ya Maumivu kwa Iran vs Israel. Hawa Mayahudi hawafai kabisa

    Hali ya sasa nchini Iran imekuwa ya kukaushwa sana, kufuatia mashambulizi makubwa ya Israeli yaliyofanyika tarehe 13 Juni 2025. Hapa ni muhtasari wa hali: Mapigano na Uharibifu Mashambulizi ya Israeli: Operesheni iliyopewa jina la “Rising Lion” iliwashirikisha ndege za kivita zaidi ya 200...
  6. Israel waanza kupiga maeneo ya karibu na makazi ya Ayatollah na Ikulu, ichukuliwe kama onyo watapiga popote

    Ayatollah kama analala kwake, basi amesikia mabomu yaliyopiga maeneo ya jirani...... The Israel Defense Forces carried out several additional waves of airstrikes across Iran early Saturday, concentrating on the capital, Tehran, where explosions were reported near Mehrabad International Airport...
  7. Kwanini Israel iwe na ruhusa kumiliki Nukes; ila Iran kwake iwe nongwa?

    Tuelimishane.
  8. Serikali iko Kimya, Watanzania walioko IRAN na ISRAEL hawajui Hatima yao!!

    Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!! Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!. Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema". Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
  9. Ni nini tunajifunza; vita vya Israel na Marekani kwa upande moja na Irani kwa upande wa pili

    VITA VYA ISRAEL NA IRAN Vita hivi kwa Wachambuzi wengi wa mambo ilikuwa ni jambo lililokuwa likitarajiwa kwa muda sasa hasa ikizingatiwa kampeni ya Israel dhidi ya HAMAS, HESBOLLAH kuanguka kwa utawala wa Syria na Kikundi cha Houthi cha YEMEN. Kampeni hii ililenga kuhakikisha kuwa Israel...
  10. Namna Israel ilivolemaza Iran kwa muda mfupi

    🇮🇱 Uwezo wa Jeshi na Ujasusi wa Israel: Sababu ya Mafanikio Dhidi ya Iran kwa Haraka Iwapo Israel ingeweza kuangamiza uongozi wa kijeshi wa Iran na wanasayansi wa nyuklia ndani ya masaa machache tu, hiyo haingekuwa bahati mbaya bali ni matokeo ya: Miaka ya maandalizi ya kimkakati Uwezo mkubwa...
  11. Iran yapigwa mabomu na Israel kwa siku ya pili, Tehran inawaka moto

    Myahudi amechafukwa, mpaka sasa ngoma inazidi kuwa moto, Iran wamefaulu kuua mtu mmoja Israel ila wao wanaendelea kupoteza, wamepigwa makambi ya kijeshi, viwanja vya ndege, na miundo mbinu mingine ya muhimu na Israel wamesema hadi watimize malengo kipigo kiko pale, watapiga hadi mifumo ya...
  12. Unatabiri nini mwisho wa vita hii Iran vs Israel

    Moja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka mingi kufanikisha HIKI kinachofanyika ndani ya Iran. Iran itapigwa kirahisi sana kisha itafuatia...
  13. Mfadhili mkuu Israel kaamrisha wanamgambo wake wote waingie kwenye mapango

    Marekani imeamrisha wanajeshi wake wote kwenye base za mashariki ya kati waingie kwenye bunker ili kuokoa viwiliwili baada Iran kuanza maangamizi ndani ya Israel U.S. Servicemembers at two bases in the Middle East were ordered into bunkers during tonight’s Iranian ballistic missile attacks...
  14. General wa Israel kaliwa kichwa mapema

    General wa Israel aliyechelewa kuingia kwenye mapango ametafunwa mara moya na makombora ya Iran 🇮🇷🇮🇱 | BREAKING: Highly credible reports confirm the Israeli Navy Commander has been killed in Iran’s precision ballistic missile strike — a seismic blow to Tel Aviv’s military command.
  15. K

    Jinsi Iran ilivyoshusha mvua ya mabomu Tel Aviv na miji jirani kujibu mashambulizi ya Israel ndani ya Iran!!

    Iran hajachukua muda mrefu, amejibu mapigo, tusubirie vita kamili kati ya Iran na Israthuku USA akiichagiza Saudia na vibaraka wake wamtulize Iran, safari hii USA atafeli kutumia vibaraka na itambidi aingie front mwenyewe, Houthi na wao nawaona punde wakiungana na Iran kushusha makombora kwa...
  16. Waonyesha uwezo wao Tel aviv na Jerusalem hapakaliki

    Iran imeidhabu Israel kwa makombora tiifu na kubomoa Jiji la Tel aviv Kambi za jeshi na makao mkuu ya Wizara ulinzi ❗️What is known about Iran's retaliatory attack on Israel: ▪️The Iranian Armed Forces have launched an operation against Israel in response to strikes on Iranian territory...
  17. W

    baadhi ya makombora ya masafa marefu ya Iran yametua Israel muda huu, Israel yajiandaa kufanya shambulio zito zaidi usiku wa manane

    Baadhi ya makombora ya masafa marefu kutoka Iran yamefanikiwa kutua Israel huku mengi yakidakwa angani na mitambo ya ulinzi wa anga. Mashambulio haya yamelenga maeneo yenye wakazi wengi, lakini hadi sasa hakuna taarifa za vifo, kwani watu wamekuwa wakitafuta hifadhi kwenye vyumba maalum vya...
  18. I

    Je, Israel Imezuia Vita vya Nyuklia au Kuianzisha?"

    ISRAEL NA IRAN 2025 KUCHOKOZA FUKUTO LA VITA KUBWA ZAIDI MASHARIKI YA KATI Je, Israel Imezuia Vita vya Nyuklia au Kuianzisha?" Na MALEKOGJ Katika saa za giza alfajiri ya Ijumaa, jeshi la anga la Israel lilianzisha kile kinachoitwa Operation Rising Lion shambulizi la anga kubwa zaidi...
  19. M

    Vimondo vya Iran vyaanza kutua Israel

    Fuatilia live hapa https://www.youtube.com/live/9gIWtJP2rAQ?si=BssY2fnzyNQvaTkf
  20. W

    Orodha ya viongozi na wanasayansi waliouawa na viwanda vya nuclear vilivyoharibiwa na Israel

    Mashambulizi haya yametikisa misingi ya ulinzi wa Iran, uu si mzozo wa kawaida, ni vita ya akili, ujasusi na teknolojia. Ndani ya lisaa pekee usiku wa manane Israel waliweza kushambulia viongozi wakuu wa majeshi ya Iran na wanasanyansi wakubwa wa nuclear, Israel haipigani vita, Inajilinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…